soka la bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kama Singida Black Stars wameamua kuipeleka Yanga Zanzibar basi wapeni kombe lao tena Yanga, kinachoendelea sasa hivi ni kiinimacho

    Uwanja wa Liti ni mgumu sana na kwa aina ya wachezaji wa Singida, Yanga hakuwa na uhakika wa kutoboa mechi hiyo, Singida wametoa sare moja t na JKT na wote aliokutana nao amewaua, wana wachezaji wenye uwezo wa kupambana na klabu yoyote ile nchini, hivyo gemu ingechezwa Liti kule kwao mkubwa...
  2. kipara kipya

    TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

    Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi...
  3. Mkalukungone mwamba

    Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

    Coastal Union VS Yanga SC NBCPremierLeague Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Tarehe: Novemba 26, 2024 Muda: Saa 10:00 jioni Mechi imeanza karibu kupata burudani ya Soka
  4. D

    Arajiga apewi mechi za Simba . Tukiongea Ligi Ina rushwa ?

    I will be short Lini umeona Simba mechi yake anachezesha arajiga ?? Yanga mechi 3 . Azam fc . Ila Simba mechi zao zote ni za bahasha . Leo Refa kawa onea sana Namungo . Karia kavuta pesa za mo . Kuwapa ubingwa wa mezani Simba . Kila mechi ya Simba refa anamakosa ya kibinadamu .
  5. G

    Naweza kupata wapi orodha ya mechi za ligi kuu zinazochezeshwa na Arajiga ?

    Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya kutosha, mfano ni leo kenglold wamebebeshwa kilo 4 na Azam. Ni wapi naweza kupata orodha ua mechi...
  6. vibertz

    Takwimu za kocha Gamondi akiwa Yanga hadi sasa

    Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA) Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0 Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2...
  7. uran

    FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

    #nguvumoja#... UPDATES... VIKOSI VINAVYOANZA LEO. updates... DK 5' Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe. 1-0 DK 10' Game On Simba wanamiliki ball kwa kasi kali 1-0 DK 14' Simba wanapata free kick nje. kidogo ya lango la Namungo FC. Anaipiga Joshua Mutale...
  8. K

    Binafsi mimi sijaona makosa ya refa Ramadhani Kayoko kwenye mchezo wa Simba na Yanga

    Nakupongeza sana Refa Ramdhani Koyoko kwa kusimamia sheria zote za mpira wa miguu kati ya Klabu ya Simba na Yanga. Timu yeyote iwe Yanga au Simba ikishindwa lazima ilalamike. Wanaokulaumu wanakuonea ulichezesha vizuri sana. Binafsi mimi sina timu ninayopendelea. TFF msiwasikilze...
  9. kavulata

    Kama haki ingetendeka Simba wangekuwa na pointi 3 tu mpaka sasa

    Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya Dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
  10. L

    Baada ya kuwasikiliza na kutafakari sana naunga mkono hoja za wazee wa Simba kwa asilimia 100%

    Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko. Ukweli ni kuwa...
  11. MwananchiOG

    Yanga yaweka rekodi Afrika, yafikisha mechi 22 bila kufungwa

  12. SAYVILLE

    Sababu ya kwa nini hatuoni faida za anachokifanya Denis Kibu

    Wanasema kwa mpira wa sasa, magoli mengi yanatokea kwenye mipira ya kutengwa. Wengi wanadai Denis Kibu sio mchezaji mzuri kisa hana magoli au assist nyingi ila wanasahau ni mmoja wa wachezaji wenye kuchezewa faulo kuliko mchezaji mwingine katika ligi ya NBC (ni mtazamo tu ila sina takwimu...
  13. R

    Amazing: sub iliyowapa ushindi Yanga

    Sub ya maana kabisa hii. ##Usilolijua sawa na usiku wa Giza.
  14. L

    Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiitandika Prisons kwao

    1. Mechi ilikuwa nzuri kwa upande wetu na hasa binafsi nilifurahishwa sana na upangaji wa kikosi pale Fahdu alipomweka Awesu Awesu kucheza namba 10 na Augustine Okajepha kucheza kiungo wa juu yaani namba ila kocha alinikera mno alipomtoa Awesu Awesu wakati akiwa Bado anautaka mpira huku...
  15. gonamwitu

    Yanga timu mbovu haiwezi kushinda bila timu pinzani kupewa kadi nyekundu. Simba timu bora imeshinda bila nyekundu

    Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu? Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa...
  16. Vichekesho

    Kwa Simba hii, tutegemee kumaliza nafasi ya 4 sio ya 3

    Inakata moto kipindi cha 2. Dakika 20 zamwisho wachezaji wanahema tu. Yani kocha ana mzuka ila wachezaji wako hoi. Tukikutana na Singida Black Stars sijui itakuwaje. Soma Pia: Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024
  17. Mwanongwa

    Haya magari yote ya polisi yanatafuta Nini uwanjani

    Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba katika dimba la Sokoine. Kitu Cha tofauti katika uwanja huo na viwanja vingine ni kuwa utaratibu wa Sokoine stadium magari yanaruhusiwa kuingia ndani ya uwanja Tazama magari hayo ya polisi yalivyo mengi. Hivi hawawezi...
  18. Nehemia Kilave

    Kibu Denis ana kitu gani cha maana ambacho sisi mashabiki hatukioni?

    Huyu mchezaji anapewa muda wa kutosha. hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli. Mwisho kabisa hatuoni akifunga. Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi mashabiki hatukioni makocha wanakiona?
  19. Mkalukungone mwamba

    Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024

    Baada ya kutoka kuchapika dhidi ya mtani wake leo Simba SC anakibarua kizito mbele ya wanajelajela Tanzania Prisons Tanzania Prisons VS Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024 4:00 PM Dakika, 5 Simba wanapata goli la kuongoza Dakika,13 Simba wamekuwa na umiliki mzuri...
  20. Mkalukungone mwamba

    Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024

    Kivumbi kingine kwa timu ya Wananchi Yanga SC katika ligi kuu ya NBC leo tena kuondoka na alama tatu? 🏆 NBC Premierleague ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 22.10.2024 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Usiku Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeanza karibu kupata burudani ya soka Dakika, 36 mpira bado...
Back
Top Bottom