Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefiwa na baba yake mzazi, kifo kilichotokea Januari 11, 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo.
Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nyota huyo wa zamani wa FC Saint loi Lupopo ya DR Congo huku...
Nimesikitishwa Sana Kusikia eti Simba imeifunga timu ya Madrasa huko Tunisia CS Sfaxien...! Hawa jamaa ni Mabingwa mara nne wa michuano ya CAF miaka ya karibuni.
Hawa wanaosema hivyo, ndo Wale wale Waliosema mmenunua Ugomvi na watunisia mkienda kwao Kisasi kinawahusu.
Sasa toeni Kauli...
Kiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari kulipa kwa mafungu ya Tsh milioni 200 kila mwaka.
Soma: Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje...
Hapo mwanzo Simba haikuonekana timu tishio. Kila mshabiki wa Simba hakuwa na tumaini na timu yake. Ndipo Mo akasema, anarudi kwenye uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi. Ikiwa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza.
Mo akamleta Camara akasaidiane na Manula, Salim na Abel. Mo akamwambia Camara, kwa...
KenGold imemsajili winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kwa mkataba wa miezi sita huku ikikaribia kuwanasa Kelvn Yondani na Obrey Chirwa.
Timu hiyo inaonekana kuweka kipaumbele kwa wachezaji huru ili kutolipa ada za uhamisho katika dirisha hili dogo la usajili linaloendelea kwa...
Kusema kuwa Gusa Achia Twende Kwao imeiva kiasi kwamba kila anayekanyaga anakula 4 au 5 sio kweli, uongo, uongo, uongo.
Kitendo cha jamaa kuhamia KMC na kujifanya wanafanya mazoezi maana yake yale mambo waliyokuwa wakoyafanya pale Chamazi yamehamia kule Kinondoni.
Simba watapata wakati mgumu...
ligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia.
kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza mtelemko, Kipimo cha ukweli ni mechi za kimataifa (MECHI 3 POINT 1)
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa klabu ya Yanga imekamilisha taratibu zote za kumtumia Abdihamid Moallin kama kocha msaidizi namba mbili wa kikosi chao ambapo ameanza kutambuliwa kikanuni katika mchezo wa leo Desemba 29 dhidi ya Fountain Gate.
Vilevile Kamati ya...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Wakati wenzao wakifungua mabox ya zawadi Leo,upande wa pili wao wamefungua midomo na kutoa milio ambayo Kwa takribani siku kadhaa haikuwepo baada ya mabingwa wa nchi Young Africans Kuwa na mwenendo mbaya katika ligi kuu ya NBC pamoja na Ile michuano ya...
Akihojiwa leo baada ya ushindi wa goli nne,amekiri ule sio uwezo wa Yanga kwani walikwenda kuwaangukia wazee na yeye anasema walichomoa waya mmoja wa mechi za ligi.
Hata hivyo bado waya wa mechi za kimataifa hawajachomoa hadi viongozi waeleweke.
Ameendelea kusema kuwa,wakieleweka tu hata...
Kibu Denis ndio kiungo mshambuliaji pekee aliyebaki kuokoa jahazi la Simba, mechi ya leo angeimaliza mapema kabisa.
Kwa sasa tutake tusitake mchezaji Kibu Dennis ana umuhimu mkubwa sana ndani ya timu yetu, bila yeye Simba haionekani kabisa kucheza dimbani.
Tukubali tusikubali Kibu Dennis...
Sitaongelea kuhusu kubebwa na kushinda kimipango, hilo lipo wazi kila mwenye utima analiona wazi
1. Simba inakuzwa tu, ila wachezaji ni averaged players. Yaani wana hadhi ya kucheza Pamba Jiji au Ken Gold
2. Wachezaji wanakata moto
Fitness ya wachezaji wa Simba ipoc chini mno, yaani nawaza tu...
Kuna hii trend imeibuka ya wachezaji kushuka viwango (na wengine hawajawahi kuonyesha hivyo viwango) kutokana na tabia zao mbofu mbofu za nje ya uwanja halafu wanadai wamerogwa, wanakimbilia kuombewa badala ya kurudisha kwanza nidhamu ya kazi.
Itakuwaje mabeki pamoja na magolikipa nao wakidai...
Baada ya maombi mazito hatimaye mtoto wa mfalume aweka rekodi yake msimu huu
Hat-trick' ya kwanza kwenye ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 imefungwa na Prince Dube
Tangu ligi ianze Dube amekuwa na wakati mgumu katika ufungaji na ikafika hatua mashabiki wa Yanga na wadau wa soka kuanza kusema...
Mpaka SASA Kamwe anadiwa bilioni kumi na nne; Huyu jamaa ataweza kweli kushindana na Sandaland na Azam mahakamani?
Azam FC imempatia taarifa rasmi Afisa Habari wa Yanga SC, Haji Ally Kamwe, kudai fidia ya TZS 10,000,000,000 kwa tuhuma za kuichafua klabu hiyo kwa madai ya kuzima taa uwanjani...
Hivi nyie 'nyuma mwiko' hamkui Tu! Mnatushangaza Sana, mmekuwa wa ku-copy and paste. Kila 'Nguvu moja' ikianzisha Jambo, basi Nyuma mwiko' lazima waige.
Kwa nini mnapenda Kula makombo! Tumemwacha Okrah nyie mkambeba, Baleke, Mkude na Chama mkamtolea udenda.
Haijaisha, tumekwenda South Africa...
Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10
Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇
“Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa...
Jamaa bana wana slogan inafurahisha sana, gusa achia twende kwao, hiyo ndio slogan ya Mjerumani.
Ukiangalia wanachokifanya uwanjani hamna lolote, hakuna gusa achia twende kwao
Ngojeni wakaliwe huko ugenini
Uto wamepumzika kufungwa kwa muda baada ya kupiga bomu mochwari na kujisifu wameua kumbe wameua maiti.
Kocha wa Yanga Mzee Saidi Ramadhani aapa kuivunja rekodi ya Man City ya kucheza mechi 7 bila ushindi. kocha huyo amenukuliwa akisema atalifanya hili mzunguko wa pili.
Prince Dube...
Hivi jina la club yenu ni lipi!?, Young Africans ( Waafrika wadogo) au ni Yanga wale yange yange ndege 🤔.
Wichi izi wichi!?.
Kumbe swala la kuhama hama mara Rangi ya jezi, mara viwanja halijaanza Leo ni tangu enzi maana hata jina mlihama kutoka young Africans mpka Yanga.
Aliyesema uto wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.