Kwa club kubwa kama Simba Sports Club sikutegemea wao kufanya hiki walichofanya, wamechukulia ajali ya dodoma jiji kama Advantage ya kufunga goli nyingi, shida walizopata Dodoma jiji wameona ni fursa ya kushine, wameingiza kikosi chenye booster za kutosha, Walipania !!
Dodoma jiji walipata...
Nani anaifuatilia ligi ya bongo nani anajali matokeo nani anajali mechi zinazochezwa ni wapuuzi wachache waliounga mkono upuuzi uliofanywa na Yanga na wapuuzi waliounga mkono Simba na bodi ya ligi.
Unaweza ita washamba...bongo mpira wake ni wa matokeo ya mfukoni na uchawi iko wapi ligi yenye...
Wakuu,
Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mala ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya Yanga SC December 5 2023
Soma Pia: Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex |...
Wengi tumejikita kwenye habari za kanuni na mabaunsa ila ngoja nipanue kidogo mjadala wa kwa nini derby ya Simba na Yanga haikuchezwa tarehe 08/03/2025.
Msichukulie huu uzi serious sanaaana ila unaweza kusaidia kupanua mawazo kidogo wakati huo huo ukitoa burudani ya hapa na pale. Tujadili bila...
"Naomba nitumie nafasi hii kuwapongeza coastal union Kwa kukubali kucheza na Yanga Kwa maana Kuna timu ni kubwa jinga ilikula Kona"
WAGOSI wa Kaya msijilaumu sana kwa hichi kinachowatokea maana wananchi wanasema hii haikuwa dhahama yenu ila hawana jinsi na huyu Top score wa Ligi Clement Mzize...
Ikiwa TFF na Bodi ya Ligi wataamua Mechi ya Yanga ni Simba ichezwe tena, hilo litakuwa ni tukio kubwa la Match fixing kuwahi kutokea katika Soka la Afrika na duniani.
Na kwa kuwa inaonekana ni hujuma ambayo ilipangwa mapema(premeditated) kwamba Yanga wagomee mechi ya marudiano ili Simba wapewe...
Kuna viongozi wa Serikali wanaiiharibu sana hii team kiasi kwamba wote tunaonekana hatuna akili. Wote tunaonekana vilaza. Tufanyeni mambo kisomi. Huu upumbavu hautatusaidia hata kidogo. Ni mambo ya kipuuzi. Na msitake kuleta madeko na hatimaye kuja iharibu Ligi yetu kipuuzi tu.
Unaweza kujiuliza,unasajili mchezaji unamlipa karibia milioni 600 kwa mwaka,unasajili wachezaji wa kimataifa wengi,halafu huwezi kushinda bila uchawi?!!
Unaamini uchawi lakini unacheza mechi za kimataifa unashindwa kufunga goli hata moja?
Hivi hii nchi watu wana akili au kamasi?
Unahonga pesa...
Kama mmojawapo kati ya simba , yanga na TFF angekuwa na akili za kutosha haya yasingetokea.
Simba:
Hata kama kanuni zinaruhusu kufanya mazoezi kwenye huo uwanja ila hakukuwa na sababu yenye mantiki kufanya mazoezi kwenye huo uwanja. Mna uwanja wenu wa mazoezi wa siku zote , sasa kipi cha maana...
Kuna jambo limenistua kidogo baada ya kusikia taarifa za bodi ya ligi kuhairisha mchezo kati ya Yanga na Simba kwa lengo la kwenda kufanyia uchunguzi madai ya Simba kuzuiliwa kuutumia uwanja wa Benjamini Mkapa kwa mazoezi siku moja kabla ya mechi. Tamko la Bodi ya ligi limetolewa masaa machache...
Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za...
Ni muda muafaka sasa wa kuachana na soka la bongo na kurejea kwenye soka la Ulaya ( EPL, La Liga etc)
Miaka ya tisini soka la bongo lilikuwa on fire.
Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa Simba na Yanga kweli kweli.
Siku ya mechi basi Dar yote ilikuwa ni njano na nyekundu.
Kutokana na...
Habari!
Kwa mfumo wa soka la Bongo hapa hakuna mabishano na ukibisha labda tu uamue ila ki uhalisia Kwa soka la Bongo linavyoendeshwa Kwa Hisia Kali za Mashabiki Tena kuangalia upande mwingine wanawasema vipi.
Tegemeeni Fadlu kufurushwa endapo atapata matokeo Mabovu vs Yanga na akatolewa na Al...
Sioni ajabu hii Yanga kushindwa kwenda mbali kimataifa kwani mechi zinazochezeshwa na waamuzi wa nje,wanacheza mpira na sio mieleka wakati wa kukaba ndio maana wanafungika vizuri sana.
Waamuzi wetu hapa huona sana mchezaji wa yanga anapoguswa na kujiangusha pale anapozidiwa ujanja,lakini...
Wakuu
Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani?
Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo?
Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
ahmed ally
ali kamwe
ally kamwe
derby march 8
derby ya kariakoo
habari
jumamosi
kamwe
kamwe afungiwa
kufungiwa
kutaka
simba na yanga
sokalabongo
ujinga
Katika kampeni iliyoanzishwa na Benki ya NBC ambaye ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu, mimi kama mdau wa mpira nimeshangazwa kama si kuchekeshwa na kusikitishwa na Kauli za Mwigulu, kwanza ametoa tuhuma kuwa uwanja tena eti wenye jina maalum kwamba pametolewa penati tatu, yeye anaujua mpira ama...
Wachambuzi ๐๐ก๐๐๐๐ข ๐๐๐ฎ๐๐ & ๐๐๐ฆ๐๐๐๐ซ ๐๐๐ข๐ mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi na kuamua kuwaweka Job, Paccome, Aziz & Chama nje? Hakuna tuhuma za kupanga matokeo hapa? Je ni kweli GSM anahusika na kuharibu ligi yetu? Tunasubiri makala zenu Waheshimiwa. ๐
Hapo vip!!
Nimefanya uchunguzi wangu wa muda mrefu dhidi ya timu ya Simba na Yanga,kwa namna wanavyopata ubingwa ila nikagundua haya.
Kwa soka la Tanzania,club ikiwa na uongozi imara alafu timu ikawa ya kawaida inauwezo mkubwa wa kuchukua ubingwa mara nyingi sana.
Lakini pia ukiwa na timu...
Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix
Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars
Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja
Kila la heri Juma
Siamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji.
Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans...