soka la bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simba wanaungua ugonjwa wa lose of insight, hawaponí

    Lose of insight ni ugonjwa ambao mgonjwa hajui kama anaumwa na hajui kama anaumwa nini, hivyo hatafuti matibabu bila watu wengine kumsaidia. Simba hawaamini kama Yanga ni Bora pamoja na kucheza finali ya CAF confederation, kucheza robo finali CAF champions, kutoka sare na Mamelods, kucheza na...
  2. Simba inadhaminiwa na GSM kimya kimya?

    Naanza kupata mashaka. Inawezekana Simba nayo inadhaminiwa na makampuni ya GSM kimya kimya. Kwanini kila wakicheza na Yanga wanafungwa? Hii ni mara ya nne mfululizo hawapati matokeo. Nasema hivi kwa sababu imejengeka dhana kwamba timu zote zinazofanya biashara na GSM zinagawa points kwa Yanga...
  3. Hivi siku akatawala Rais ambaye ni mshabiki wa Simba atakubaliana na siasa uchwarwa kwenye mpira wetu

    Hapo vip!! Binafsi mimi nikiwa Rais alafu nimsikie waziri anayesema yanga ni timu ya serikali,nitamtembeza kichura kutoka Dar es salaam mpka kigoma. Kwanza atanikumbusha haya machungu ya namna Simba ilivyohujumiwa kwa mpira ambao umekaa kisiasa kabisa. Lakini pia nitamrusha kichura kwasababu:-...
  4. Hivi mlitegemea timu ya Shirikisho imfunge timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika?

    Inashangaza sana baadhi ya mashabiki wa Simba kutupa lawama kwa mwamuzi wa mchezo wengine wakitoa lawama kwa serikali, Swali la msingi ambalo wanajisahaulisha, Hivi kweli walikuwa serious wakitarajia kuifunga Young africans? Wanapaswa kushukuru mbinu aliyoingia nayo kocha wa Yanga (kuamua...
  5. Derby ya Kariakoo isiamuliwe na Mtanzania tena

    Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea? Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni...
  6. Nimethibitisha juzi tarehe 19.10.2024 Yanga hana uwezo wa kumfunga Simba ila refa ndio anaweza kumfunga Simba

    Hapo vip!! Sina maneno mengi ila mpira umeonekana yanga alizidiwa kila kona na Simba. Na Simba tumeona amezulumiwa bao,nasema amezulumiwa kwasababu kama Kayoko anaweza kuruhusu mpira uliotoko nje kuchezwa na kuhalalisha goli,kwanini aliona lile bao la Simba ni Offside? Lingine kwa mujibu wa...
  7. T

    Manara: Asichokijua Mwabukusi ni kuwa mpira ni ajenda kubwa sana nchi hii kuliko hata siasa

    Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata. Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu...
  8. U

    Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby

    Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga. 1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli. 2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA...
  9. K

    Yanga inatosha!

    Ni fahari iliyopitiliza, lakini hali hii itadumaza soka la Bongo. Yanga imeendelea kupaa kiufundi na kuzipita timu nyingine kwa mbali, ikiwemo mtani wake Simba, huku sisi mashabiki wa Azam tukikomaa na timu zingine ambazo zina uwezo wa wastani, ikiwemo Makolowidi. Kufungwa mfululizo kwa...
  10. M

    Hivi Simba amewahi kumfunga Yanga mara nne mfululizo?

    Tupeni takwimu nani amewahi kufungwa na mtaani wake mara mfululizo , au Yanga Jana kavunja rekodi. Soma Pia: Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
  11. Ramadhani Kayoko anawapa salam

    Salaaam toka kwa Kayoko.
  12. Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa

    Unajua sisi wasomi tunajua takwimu ni kitu unachoweza kukitumia kwa manufaa yako kulingana na angle uliyoamua kuitumia, wakati huo huo kumbe kwa angle nyingine kuna takwimu zinaweza kukuhukumu vibaya, kwa hiyo jambo la msingi ni kujifanya zile takwimu zinazokuhukumu hauzioni au kuzizingatia...
  13. Njia iliyobaki ya Simba kuchukua ubingwa wa NBC 2024-25 ni hii hapa

    Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo. Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu: 1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa...
  14. Tuache kumlaumu Refa Kayoko kama kichaka cha kufichia Udhaifu wa Simba SC, kuanzia kikosi chake na aina ya uongozi wake

    Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?
  15. Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC

    Simba Sc imeendelea kunyanyasika mbele ya Wananchi Young Africans Sc baada ya kupoteza mechi nne mfululizo ya Derby Kariakoo kwenye michuano yote. Simba Sc dhidi ya Yanga Sc kwenye michezo minne iliyopita: Simba Sc 0-1 Yanga Sc (Ligi Kuu) Yanga Sc 1-0 Simba Sc (Ngao ya Jamii) Yanga Sc 2-1...
  16. Tufanyeje ili wanasiasa wenye agenda zao wasiingilie michezo? Ni wavugaji wanaoua michezo

    Leo ilikuwa mechi ya watani wa jadi SIMBA na Yanga. Maarufu kama Deby ya Kariakoo. Michezo pia ni siasa.. Lakini pale inapokuwa ni siasa safi bila agenda za siri nyuma yake.. Kinyume chake ni uchuro wenye nuksi mbaya na laana! Mimi ni mwana SIMBA original kabisa.. Na Nilikuwa na imani kubwa...
  17. Simba bado inamuhitaji John Bocco

    Simba baada ya kukurupuka na kumwachia nahodha wakutumainiwa John Bocco, imeendelea kuwa mnyonge kwa Yanga. Capten fantastic hawezi kukubali unyonge wa kufungwa na Yanga Mara kwa Mara. Hata Zile 5 angekuwepo tusinge fungwa 5. Hata hivyo Bocco mpaka Sasa ameshaingia kambani Goli mbili JKT...
  18. C

    Ni vema Simba washinde derby hii, lakini!

    Kwa maslahi mapana ya utani wa jadi, itapendeza Simba wakishinda. Kwa miaka mingi, watani hawa wamekuwa na matokeo yanayokaribiana, timu moja haikukubali kuwa mteja kwa awamu tatu kama ilivyo sasa. Ili kuendeleza utani wa kiwango kilichopo, ni vizuri Simba wapambane washinde ili kuwarejesha...
  19. Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko ziwa Nyasa hii ni kuelekea dabi ya kariakoo kati Simba na Yanga. Je italipa kwa timu ya wananchi?

    Safari ya Nyasa hiyo unaambiwa Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko, Kesho kazi ipo😁🙌 Vipi mambo yatalipa kwa timu ya wananchi Yanga mbele ya watani zao Simba? Tusubiri tuone bandugu. Soma Pia: Kamanda Jumanne Muliro atoa tahadhari watakaoenda kwenye dabi ya Simba na Yanga kudumisha amani na...
  20. Kamanda Jumanne Muliro atoa tahadhari watakaoenda kwenye dabi ya Simba na Yanga kudumisha amani na kuepuka vurugu

    Presha inazidi kupata kulekea hapo kesho 19 Oktoba kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo itakyowakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo huu utakaochezwa katika Dimba la Benjamin Mkapa. Sasa ulinzi na usalama napo umechukua nafasi. wale watakaojifanyia kupagawa basi watakutana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…