Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA
Na Happiness Shayo-TABORA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia huku akitoa rai kwa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa...
Tunajua mko bize kuwaza mnashindaje kwa kishindo cha furushi la mwizi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Ingawa tangu muanze "kushinda kwa kishindo" sisi watanzania hatuoni kishindo chochote cha kimaendeleo kwenye maisha yetu.
Israel kaanzisha vita huko Mashariki ya kati, na kwa mtazamo tu...
Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online
Kipengele muhimu usifanye kujaribisha
Zingatia sana
Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua
Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi labda Messi na wengine kama yeye
Jifunze jinsi itakayo kusaidia kupangilia mawazo ya kufanya online...
RAIS SAMIA AZINDUA SOKO LA MADINI YA VITO NA DHAHABU TUNDURU
-Ni soko la Madini la 43 nchi nzima
-Apongeza ushiriki wa sekta binafsi
-Waziri Mavunde aelezea ukuaji wa makusanyo ya maduhuli
📍Tunduru, Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua...
Habari ndugu zangu,
Natafuta Masoko ya Mkaa na Mbao...Na bei zikoje. Nachana mbao za mti wa Mtondoo na Mkurungu kwa saizi zote kulingana na mahitaji ya mteja.
Nina uwezo wa kusuply gunia 200 hadi 300 kwa mwezi za mkaa...Nina vibali vyote vya wakala wa misitu (TFS) Nasikia pia kuna soko la...
Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza.
Mi naona...
Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho.
Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1.
Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Amani iendeleee wananchi .
Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani
Huu uzi uwafikie watu wote
Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
Salaam,
Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu.
Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc.
Vipimo vikoje kwa kila zao.
NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza rejareja gengeni.
Nawasilisha.
BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana.
KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa, DC na Mkurugenzi wa Temeke wametoa Ufafanuzi
Mbunge wa Jimbo la Mtoni, Abdulhafar Idrissa Juma...
Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro.
Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu ukiwa umezagaa, huko Moshi Manispaa.
Wananchi wameshindwa kuelewa shida Iko wapi? Na tatizo ni...
TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO
📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP
📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme
📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki....
Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect
Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye Hisa,hebu tujuzane juu ya Kampuni.
1.
KAMPUNI : Ni biashara iliyo sajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.