a Askofu Bagonza
AKILI na IMANI
Hivi kipi kinaanza? Kipi kinawezesha kingine? Imani ndiyo inakuongoza kuwa na akili au akili inakuongoza kuwa na imani na kuitegemea?
Wanaopuuza umuhimu wa kutumia akili, wawaulize wazazi ambao kwa bahati mbaya wana watoto au jamaa waliopungukiwa na akili, kwa...
SHIKAMONI/MARAHABAA
STORY YAHUSU: NILIVYOIBIWA BOBABODA MAGOMENI JIJINI DSM
Nipo zangu kijiweni nikisubiri abiria mara paap wanakuja wanaume wawili mmja mtu wa makamo miaka 40/55 amevaa miwani meusi akionekana ni mtu mwenye ulemavu wa macho (kipofu) na mwingine ambae ni kijana Kati ya miaka...
Hamis Kigwangala ambaye ni daktari wa afya ameandika meengi katika mtandao wake wa instagram. Kwa tafsiri rahisi ni kwamba anashauri herd immunity.
Kutokana na mwenendo wa serikali katika mapambano dhidi ya corona Je,huu ndio msimamo wa serikali?
Mbona maambukizi mapya hayatangazwi,mbona vifo...
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge...
Salaam sana jf,
Naomba kukuwekea hapa, Magari tofauti tofauti kutoka kampuni mbali mbali za uuzaji magari nje, pamoja na bei zake hadi gari kufika bandari ya hapa Dar es salaam (CIF).
Tutaangalia kwa pamoja na kusaidiana ushauri, na kwa ambaye huwenda ameona gari anayohitaji ama kuipenda...
MWANAMAMA shupavu waziri mkuu wa Israel wa zamani alisimamia operation moja Kali Sana ya kijasusi iliyoanza mwaka 1972 na kuisha miaka ya tisini takriban miaka 20 .
Operation hii iliongozwa na shirika la ujasusi la Israel mossad.
Hii ilikuwa ni baada ya wanariadha wa Israel kuuwawa wakiwa...
Amani kwako.
Huko kwa wakoloni ikiwepo Marekani huwezi kumtuma mwanamke akulete maji ya kunywa au kumwagiza mtu na wewe umekaa tena ume-relax, maana yake kila kitu anajihudumia mwenyewe hakuna utumwa wa kuamrishana.
Wala Marekani huwezi kumkaripia mwanamke faini yake ni inafikia laki 600,000...
Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na akiwa na shida atakwenda Ulaya au China.
Nina ushauri kwa RPC wa Kanda Maalum Lazaro Mambosasa. Kwa...
Mama ni Maisha.
Picha ya kweli baada ya operation iliyodumu kwa masaa 7.
Mtoto aliyezaliwa yupo mikononi mwa Mama yake, na upande wakulia ni daktari akiwa analia kwa uchungu sana.!
Uyo Mama alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa zaidi ya miaka 11, ikafika wakat akakata tamaa kabisa yakuja kupata...
Wataalam wanashauri unywaji maji mengi, lakini ukweli ni kwamba yaweza kuwa hatari kubwa.
- Yadaiwa maji huongeza uwezo wa kufikiri na kupunguza maumivu ya kichwa
- Wataalamu wanahoji athari za kunywa maji kupindukia
- Wanashauri unywaji wa lita moja mpaka mbili ni hatari
- Hivyo ni kwa...
Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya)
Just kabla sijaanza, ukitaka kuona mafanikio ya hii biashara wewe muuzaji uwe mtaji wa kwanza. Kichwa chako kiwe mtaji dukani pia mazoea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.