Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari...
Suala la kula kupindukia hata kama mtu hakipendi chakula hiko kivile ni suala limezoeleka hapa duniani pengine wewe msomaji ni katika wao.
Kula chakula kingi sana ni ulafi na kushindwa kujizuia na kuidhibiti nafsi yako ipasavyo.
Kwa kawaida mwili wa binadamu tumbo lake ili ajihisi ameshiba...
NGUZO KUU TANO ZA MAISHA
Na, Robert Heriel
Maandishi ya Robert Heriel kwa Lugha ya Kiswahili.
Maisha ni kuishi, na kuishi ndio maisha yenyewe. Hapana shaka ndoto ya kila mwanadamu ni kuishi maisha mazuri na ndio sababu watu wanahangaika kuhakikisha maisha yao yanakuwa mazuri.
watu wengi...
Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya.
Ndugu yetu Membe kaingia siasa kwa mdundiko wa wengi.
Wapiga mdundiko walipotuliza ngoma sasa ndo tunaona mambo dhahiri...
Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume.
elewa kwamba.
1; Wanawake wengi Siku hizi wana wanaume wawili. Yaani waziri wa fedha na waziri wa ndani..
2...
Si wananchi, si Polisi, si Wanajeshi si Vyombo vya Usalama si wafanyakazi serikalini,wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo mbioni tu wakitakiwa kuilinda CCM, ambayo bila ya kuwatisha watu kwa barua za kuhudhuria mikutano na...
Watoto hufanya kile wanachokipenda ila mtu mzima kabarikiwa uwezo wa kuujua uhalisia, kubuni mipango na kuifata.
Kuna kitu muhimu ambacho hakikwepeki mimi na wewe tunapotumia pesa, si kingine bali ni "HESABU", yawezekana ni wengi tu tunazijua hesabu lakini hapa ni kuhusu kuzitumia...
Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu muda mrefu madarakani.
Bila kupepesa macho, Rais huyo alitoa jibu moja tu; He tamed the army...
Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa.
====
Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
Ugonjwa wa figo
Figo ni ogani inayoshirikiana na moyo. Kuathirika kwake kuna athari kubwa kwa mfumo wa damu na mapigo ya moyo.
Magonjwa sugu ya figo hutokea pale ogani hiyo inapopoteza uwezo wa kutenda kazi zake kikamilifu.
Tatizo huanza taratibu na kudumu kwa muda mrefu hadi kuonyesha dalili...
Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi.
Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma.
Basi ndipo nilipoanza kupiga kitabu kwa bidii ili nifike Mlimani. Hapo ilikua ni shule ya Msingi...
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah
======
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
“When You smoke herb it reveals you to yourself. All the wickedness you do is revealed by the herb – it’s you conscience and gives you an honest picture of yourself.”
— Bob Marley
Tafsiri:
Ukivuta bangi inakutambulisha ulivyo. Mambo yote maovu unayofanya baada ya kuvuta bangi yanafunuliwa kwako...
Naomba niwatie moyo wote wanaotafuta kazi bila mafanikio .
Wakati nimemaliza degree yangu miaka ya nyuma kidogo, nilikaa kwa muda wa miaka miwili bila kupata kazi, Kila ninapopeleka application siitwi, ila nakumbuka niliitwa katika shirika moja kubwa tu lisilo la kiserikali kwa ajili ya...
Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana
Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu Awaweke SAWA
else mkishindana mtatuongezea majani pale kinondoni ama mbwen na ununioo
Anza kuchukua...
Habari yenu wanaJF
Poleni na Majukumu ya kila siku, Leo nimekuja kusimulia mawili matatu nayopitia katika harakati zangu nishare nanyi ndugu zangu.
Wanajf mimi Ni muhitimu wa BSc Education(Mathematics and geography) , kama post zangu nyingi zilivyojieleza huko nyuma. Nilihitimu mwaka 2019...
KWA WALIO KOSA SELECTION FORM FIVE. Soma hapa👇👇👇👇👇👇👇👇
Usipate stress kwa waliokosa nafasi kujiunga kidato cha tano na wanao itaji kurudia mitiani kidato cha NNE, SiTA, na QT shule ya HELP VISION OPEN SCHOOL... Reg No. IAE/OS/0570 .... inawatangazia wanafunzi, wazazi, walezi.. Wote...
Wakuu habarini za Mda Huu, Nina Kisa kimoja leo kama mnavyojua baada ya kumaliza Chuo Basi tunavyosubiri milioni Basi tunatafuta Buku.
Jana majira ya saa 4 Asubuhi nikiwa katika kijiwe changu cha kuchimba mchanga mgumu alitokea mteja mmoja aliyekua kavalia nadhifu sana akiwa ameshuka bodaboda...
Wadau mpoo habari za kitambo kidogo
Leo mekuja hapa naona watu wengi wanapost thread kuhusu programming ila wengi wanishia njiani. Kwa hiyo kuna wengi wanopenda kujifunza wanaishia njiani hawajui wapi pa kuaznia na wapi pa kuishia sasa leo nataka nikudokeze kitu kidogo nikupe mwanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.