soma

  1. Doctor Mama Amon

    Catholic Bishops, Contraception and SOMA sex argument: Why was homosexuality primed over coronavirus during Magufuli’s funeral?

    Arch-Bishop Renatus Nkwande, Mwanza Arch-Diocese Abstract Mourning seasons have historically been used by opinion formers and decision makers as grand opportunities for performing their prophetic roles of criticizing the oppressive historical culture associated with the dead, on one hand, and...
  2. Niite Profesa

    USHAURI: Nina Diploma ya Ualimu. Je, naweza soma Degree?

    Habarini WanaJF, Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0 Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari. Alama...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Ujumbe kwa Rais Samia Suluhu: "Hatari ya Mtawala kujipa sifa za Mungu"

    HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
  4. D

    Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

    Hakika shambani kwa bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache. Heri wamchaao bwana maana ufalme wa mbinguni ni wao. Agrey mwaniri sasa ni mpakwa mafuta. Ni mchungaji aliyeamua kuacha kondoo 99 na kumtafta yule mmoja aliyepotea ili asishambuliwe na mbwa mwitu.
  5. mgendege

    Kwanini vitu vinapanda bei sana siku hizi?

    Pole na majukumu wa Tanzania wenzangu kwa kulijenga taifa letu. Jamani huku kwetu mkoa wa Songwe sasa ndoo ya mafuta ya kupikia elfu themanini nayo ni Toka nchi jirani ya kwetu ni elfu themanini na tatu na hayapatikani .sukari ya Tanzania Hamna kabisa napo ukibahatika ni tsh 3,500kg. Cement...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna sababu ya kuzuia kumsherekea Mwokozi wa Ulimwengu

    HAKUNA SABABU INAYOZUIA WATU WASIMSHEREKEE MWOKOZI WAO Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Imani zipo tofauti, kila mtu anaamini katika kila anachoona ni sahihi. Linapokuja suala la dini serikali lazima iwe makini hasa, sio serikali, mtu yeyote yule awe makini sana. Mimi ni Msabato kwa asili...
  7. Nyankurungu2020

    PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
  8. kikoozi

    Soma kwa makini unipe ushauri kwa hili

    Habarini za uzima wakuu, poleni na majukumu yanayo wazonga, mungu atupiganie kwenye maradhi yeyote yale. naombeni niwape story fupi kabisa ndeni mnipe ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu binafsi ambayo yatatokana na mawazo yenu bora kabisa. Mimi nilitolewa kijijini na shangazi yangu kuletwa...
  9. M

    #COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi wanaoambiwa watu wetu ili kuwapooza, badala ya kufanya jitihada ya dhati ya kuwalinda, na kuwaokoa na janga la COVID 19. Ni kwa sababu hii nimeona vema kuandika...
  10. W

    Covid-19 attack levels: Dondoo muhimu za kujua na hatua za kuchukua

    COVID ATTACK LEVELS Level 1 - Inatibika Level 2 - Inatibika Level 3 - Hatari na ngumu kutibika Kwa Level 1 & Level 2 dawa zifuatazo zimewasaidia wengi: Azithromycin, Amoxillian&Clavunate Potassium, Junior Aspirin, Ped zinc, Vitamin C na Prednisolne. Tusisahau: Tangawizi, Malimao na...
  11. Lycaon pictus

    SOFTWARE Soma vitabu vya kiswahili kwenye hii app

    Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa. https://play.google.com/store/apps/details?id=app.b.maktaba
  12. JituMirabaMinne

    Kabla hujabadilisha automatic gearbox ya gari lako soma hapa

    Ili gari yenye gearbox ya automatic(automatic transmission) iweze kubadilisha gear kuna taarifa kuu mbili ni lazima zipokelewe na mfumo wa kompyuta(control unit) ndio gear zitaweza kubadilika. Taarifa hizo ni:- 1. Speed ambayo driving shaft/tairi zinazunguka. 2. Speed ambayo engine...
  13. mathsjery

    Sikai na SMS kwenye simu, nikishasoma nafuta

    Je, labda huwa nakosea? Nikishasoma SMS nafuta, huwa sikai na SMS kwenye simu. Sababu ilikuwa ni jinsi navyojikuta nimetumiwa text nyingi na mtu ambaye naweza kuwa namfahaamu na nime msave kwa jina. Halafu wakati huo huo natumiwa text na huyo kwa namba ambayo sijaisave siku zinaenda kwa kasi...
  14. School face

    Hii tabia Musoma inakera sana

    Habari wana JF, Moja kwa moja niende kwenye mada. Kumekuwa na tabia ya ajabu sana na ya kusikitisha sana hasa kwenye kumbi mbalimbali za starehe yaani ukiingia kwenye kumbi nyingi za starehe hapa Mjini Musoma Kuna kuwa na vijana wengi sana wa kike na wakiume. Lakini jambo linalo nisikitisha...
  15. K

    Ukitaka mawazo chanya, soma posts na mada za wapinzani mitandaoni

    Pitia mitandao yote utagundua watu wanojenga hoja za kisera, kisheria, kikatiba, kiuchumi, kijamii na anga nyingine ni makundi haya Wanaharakati Wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani Baadhi ya Wastaafu katika utumishi wa Umma hasa wale ambao hawana bodi Wala chombo Cha kuongoza Baadhi ya...
  16. E

    Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayo soma form five na six ndio inayosomwa U.S, China na mataifa mengine duniani.

    Habari za Leo wakuu, Kumbe Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayosoma form five na six ndio hiyo hiyo inayosomwa U.S, China, Ufaransa na mataifa mengine. Tofauti ni moja tu sisi hutufanyi practical za tunacho kisoma. Ila hesabu, na maelezo yote ni yaleyale. Principal ni zile zile. Na...
  17. Kategele

    Kuishi kwingi kuona mengi: Soma kisa nilichokiona Kawe

    Picha linaanza napokea simu kwa ndugu zangu upande wa mama watoto wangu wanasema, samahani tunakuja kwenye maombezi kwa Mwamposa wewe kama mwenyeji tunaomba utupokee ili utupeleke kwa Mwamposa tukaombewe. Nikasema ok poa nitawapeleka nyie njooni. Ijumaa wakaingia ndani ya jiji la Dsm...
  18. Youth Worker Tanzania

    Kwa yote utakayofanya, wewe ndie muhusika mkuu kwa asilimia mia moja, juu ya maamuzi yako utakayoyatoa

    Hakuna atakayekuja chumbani au mezani kisha akakulazimisha kuelewa unayojifunza darasani kwa ngazi yeyote uliyopo. Vema ukajitambua aina ya usomaji ulionao ,Kwa maana ni kwa njia ipi unaitumia ili kuelewa yale unayojisomea. Kuna mtu uelewa kwa kusikiliza,mwingine kwa kupitia discussion au yupo...
  19. Mao Tanzania

    Pendekezo: Tanzania tuwe na ufalme, tuteue ukoo mmoja!

    Za pilika ! Nimekuwa nikifuatilia michakato ya Uchaguzi ya vyama vingi toka 1995. Mimi ni mdau wa "utulivu" yaani tuwe na jamii tulivu. Kwanini naongelea UTULIVU? . Utulivu ndo hasa kitu pekee halisi kinachoweza kuwepo katika kundi la binadamu wanao kaa/Ishi pamoja. Kiasili hakuna usawa wa...
  20. yuda75

    Usikimbilie kumtambulisha mpenzi wako soma kwanza mchezo

    Sikuizi mapenzi ni kusomana sana tena kwa umakini wa hali ya juu, unaweza mpeleka mpenzi wenu kwenu akakuta mambo sivyo na alivyo kuwa anategemea so tarajia atabadilika mana mategemeo yake ni tofauti na alicho kuta kwenu au kwa ndugu zako SOMA MCHEZO Unaweza ukamtambulisha mpenzi wako kwenu...
Back
Top Bottom