Nauza vitabu ya course ya udaktari
Kwa wale wanafunzi wa medical doctor
Vitabu hivi vitawapa sana madini
Niko dar es salaam
Contact 0657710078
Bei maelewano
Kwenye hatua ya kwanza kama nilivyosema lazima ujue jamii inachangamoto gani. Changamoto zipo nyingi sana hata mtaani kwako na nyingine ni za kitaifa au kidunia kabisa, kwahiyo kadiri changamoto inavyokua kwa watu wengi basi ndio unajihakikishia soko kubwa.
Tunaendela kwa mifano sasa ili upate...
Habari ya muda huu wana jukwaa, leo ningependa kuwapa faida ya namna ya kuanzisha au kukuza biasra kwakutumia mbinu ambazo zinafanyakazi hasa katika mazingira yetu ya kiafrika.
Wengi wetu tunapotaka kuanzisha biashara tunajiuliza kuwa ni biashara gani inalipa ili uweke pesa zako zikupatie...
Barcelona ilikuwa klabu ya kwanza katika mchezo wowote kuingiza $1bn katika mapato ya kila mwaka lakin kwa sasa ina deni karibu $ 1.4bn na hii katika miaka ya karibuni. Barcelona imekuwa katika misimu yote mibaya baada ya usiku wa Berlin mnamo Juni 2015 iliposhinda fainali yake ya nne ya Ligi ya...
Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani.
Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi kutofaulu bilakupoteza shauku.
Ndoto zetu zote zinawezakutimia ikiwa tuna ujasiriwa kuzifuata,na siku...
Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira!
Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?
Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
Naomba ufafunuzi jamani wa some terms of game theoroea kwa ufasaha sana mana pale udsm hakuna lecturer anayejua hii topic kisawasawa wote wanapapasa tu na inaonekana walikalili tu.
1. Nash equilibrium na jinsi inavyofanya kazi. Naomba ufafanuzi kwa kiswahili.
2. Zero sume game
3. Pay off...
WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA
Vitabu hivi vina historia ya kusisimua ya wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika katika chama cha TANU lakini historia imewasahau.
Ukianza kufungua ukurasa wa kwanza hutokiweka chini hadi umemaliza kukisoma.
Soma mazungumzo ya Tewa Said Tewa na...
Ameandika Pastor Dr.Zakayo Nzogere (PhD), Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la MICC Mwanza.
Pamekuwa na matamko mengi yanayokinzana kutoka kwa watumishi wa Mungu kuhusu UVIKO19.
Wapo wanaosema ni maandalizi ya “Mpinga Kristo” na alama ya Mnyama 666; na wengine wakisema ni mlipuko wa kawaida usio na...
#Hakika Jf ni mnyukano, Nami ni nani nisiunge mkono.
Kilicho bora milioni tano, kuwa balozi si kibano.
Nitashinda huu mtifuano, ukinipa hiyo yako tano.
Kwa maandishi Ambatano, na hoja changamano.
#Tulilisubili hili shindano, Kuleta hoja chanya.
Jf sio mvutano, nawe waweza jichanganya.
Kwa...
Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya na ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya pia ukitenda mazuri leo kesho yako hakika itakuwa nzuri yakupendeza na yenye kufurahisha kwa kila mwenye macho na maskio.
Hivyo...
Uchumi ni nini?
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali.
Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au dunia.
Sayansi ya Uchumi...
Ashukuriwe Mungu kwamba mpaka leo wapo wanawake wanaompenda mwanaume kwelikweli. Yaani toka moyoni.
Ila wapo kwa uchache sana, hawa ukiwa nao kwenye uhusiano huteseki. Mnaishi maisha ya kusaidiana. Akiwa vizuri anakutoa, ukiwa vizuri unamtoa. Mkichalala wote mnafarijiana mnafurahi.
Maajabu ni...
Kwa mtazamo wangu binafsi naona jamaa amefikiria vizuri sana.
Serikali yetu ya CCM hii tusilaze damu tuchukue fasta.
Na wapinzani nawaonya, Serikali ya CCM ikichukua huu ushauri hahahahahaha mtapoteana miaka 50 mbele huko. Nimemwelewa sana.
Document hii nimepata kwenye group moja la WhatsApp...
Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake.
Wapendwa wanajf habari za usiku,
Leo akili imetulia nimeona nitoe simulizi fupi ya jinsi nilivyoweza kupoteza tsh 1.8M.
Mara baada ya kugraduate pale SUA na (BSC GM) na kushindwa kupata tempo nilijichanga katika kazi mbalimbali kama nyuzi zangu baadhi za nyuma zilivyoelezea mishemishe zangu...
Wakuu,
Mwezi mmoja uliopita nilikuja nyumbani (kwa wazazi) kwa ajili ya Pasaka, hapa nyumbani pia nilijumuika na mdogo wangu wa mwisho (anasoma chuo) hapa nitamwita Denis (sio halisi) na mtoto wa Bro wangu (form two) hapa nitamwita Rama.
Namshukuru Mungu Tumesherehekea vizuri Pasaka na kila...
Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang.
=====
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!
1. Mwambieni CAG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.