Binafsi nimekuwa nikimfahamu Mzee Bayi toka nikiwa mdogo ila sikuweza kujua kiundani kwamba kwanini hadi leo dunia inamheshimu mno kwenye riadha wakati wapo wanariadha wengi wa enzi zake waliofanya vizuri na hatuwakumbuki.
Serikali yetu inabidi ibadilishe mitaala ili historia za mashujaa wetu...
Tanzania kuna vituko , tunaomba uelewa wa matokeo ya mitihani huu na idadi ya waliochaguliwa. PURA wamefanya vituko kupitia Tume ya Ajira, majina kujirudia na watu kulingana maksi.
Tume ya Ajira ifutwe tu.
INTERVIEW NO. Nyingi zimefanana na number moja kuchaguliwa Mara Tatu Tatu
Habari!
Waswahili wanasema kama huwezi kuwapiga basi ungana nao ili nawe uanze kuwapiga maadui ambao awali mlikuwa marafiki.
Uza hata mashamba, achana na kufanya vitu visivyoleta tija.
Ukiingia serikalini umeula, yaani ni mwendo wa kula asali tu.
Box la peni serikalini linauzwa mpaka elfu 50...
Mwanangu leo kabla hujalala naomba unisikilize kidogo, ninalo neno nahitaji kukuusia huenda likakufaa kimaisha. Kama si leo basi kesho na kama si kesho basi mtondo ..
Mwanangu tupo chini ya mbingu, sababu ya Mungu. Yeye asiye na majungu, mwenye upendo usio na ukungu agaae riziki kwa mafungu...
Katika ukanda mmoja wa Kusini wa Bara la Asia, palikuwa na mfalme mmoja ambae alitawala himaya yake kwa weledi na ufanisi mkubwa mno. Mfalme huyo alikuwa akipenda sana haki na utiifu mno, kiasi kwamba aliwaadhibu vikali mno wale wote walioenda kinyume na sheria na taratibu za himaya yake...
Habari wana JF, sipendi ongelea sana sana mambo ya siasa, lakini kadri siku zinavyokwenda na mwelekeo wa maisha yetu in general unavyozidi kuyumbishwa, nazidi kujenga parallels na plot nzima ya moja ya vitabu vyangu pendwa, 'Animal Farm' kilichoandikwa na George Orwell.
Yaani ni kama uongozi...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha TLP, Augustino Mrema amefariki duninia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu.
Mrema (77) aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, amefariki dunia leo Jumapili, Agosti 21, 2022, asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...
Wakuu habari za majukumu mbalimbali ya ujenzi wa Taifa.
Ni miezi kadhaa sijaleta thread hapa, tangu nilete ile thread ya jinsi nilivyopoteza 1.8M ndani ya siku chache.
Leo nimekuja tushare mambo mbalimbali ambayo nimeyapitia na nimeyaona hadi umr huu, yanaweza kukufundisha au kukupa exposure...
Kila mwaka maelfu ya vijana wanahitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali ila changamoto imekuwa kwenye kupata ajira.
Mfumo wa nchi hii kama hauna mtu yeyote wakukuunganisha na sekta yeyote aiseeeh utasota sana kupata ajira hata kama utakuwa na vigezo kupita wengine.
Nina kaushuhuda kangu haka...
UTANGULIZI
Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu isiyokuwa rasmi ( hutolewa nje ya darasa ( pasipo kufuata miongozo maalumu)
Hapa Tanzania, elimu...
Sirjeff Dennis, CEO Exxon is the influencing leader behind the booming investing mania in Tanzania and East Africa. He started his entrepreneurship career at the tender age of 17 years and found himself fortunate enough to receive significant exposure to global opportunities that helped him...
Habari zenu wote? ni matumaini yangu wote ni wazima. Naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni kuu
Mimi kijana wa kiume umri miaka 30, mwenyeji wa Dar es salaam ila kwa sasa nimeamishia makazi mkoani Iringa kujaribu maisha na huku baada ya kufanya ivyo nikiwa Dar kwa muda mrefu sana bila...
Kwa wote wanaotaka kushiriki shindano la Stories of Change Tafadhali someni kwa makini vigezo hivi. Hakikisha andiko lako limekidhi kabla ya kutaka kuchapisha.
Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:
Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za...
Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu huu ndio uhalisia wa kitaa
1: Umekaa zako kwa raha mstarehe, ghafla unakumbuka umri wako🙄
2: Kaka unawaza kumuoa?Mwenzako bado anahesabu viewers za Whatsapp+screenshot za waliom-wish birthday yake.
3: Ewe mwanadamu...
Kumuua mpenzi au hata kumjeruhi ndo upumbavu wa mwanaume asiyechepuka. Kuna umuhimu wa kila mwanaume kuwa na mchepuko angalau mmoja ili kuepuesha stress zisizoeleweka.
Wanaume wenye akili na wanaojitambua lazima awe na mchepuko ili njia kuu inapoleta shida inakuwa rahisi kuachana nae kisha...
NI gari flani zamani ukinunua Scania wanakupa kama nyongeza 😎..
.
Wadau wengi wamevinunua ili kufanyia biashara ya mizigo sasa basi ni vyema tukapata ABCD zake, maana usipovielewa vitakupasua kichwa..
.
Suzuki Carry imezaliwa toka Tanganyika inapata uhuru 1961 mpaka leo bado kinazalishwa and as...
Habari wakuu
Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake
Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja,
Duka lenye wateja...
Habari wanaJF
Mara kadhaa nimehoji na kuuliza kwanini iwepo kuoa na kuolewa sababu nini hasa, watu wanazingua wanatoa majibu mepesi et oooh hata mimi sijui, iko hivo ni jadi, matakwa ya Mungu, kivipi kwani kila ndoa ni ya Mungu, kwani kila jadi ni nzuri na haipingwi, kwani kutokuoa haiwezi...
Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
Nilikuwa natembea barabarani mara paaap mbele yangu kama mita 30 hivi wakajitokeza wadada watano wako pamoja wanakuja uelekeo wangu yani mimi naenda kwao na wao wanakuja kwangu. Basi kidume nilichofanya nikayaelekeza macho yangu kwenye sehemu ya chini ya vitovu vyao pale kwenye V nikiwakazia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.