Historia inatuambia, imekua ni changamoto kubwa sana kupima ubora wa golikipa, kuliko nafasi yeyote uwanjani kutokana na sababu kadha wa kadha(ambazo nitazieleza japo kidogo hapo mbeleni).
Lakini wengi wetu hatukuona tabu, kwanini tuendelee kuumiza akili zetu? Basi tukachagua njia nyepesi...