songwe

Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

    Wakuu! Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo =================== Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote...
  2. K

    RC Songwe apongeza msaada wa magodoro 60 kwa Wagonjwa, vitanda 40 vya Shule na madawati 100

    Wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Songwe watapa msaada wa madogoro 60, Shule 40 na madawati 100 kwa Shule za Msingi Londoni na Sai. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga sehemu ya faida wanayopata kurudi kusaidia jamii, ametoa pongezi hizo leo Oktoba 22...
  3. Pre GE2025 Songwe: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100 ukiwa umemegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na lile la mto Songwe. Makao makuu yako Vwawa. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa...
  4. Songwe: Vyoo vya Kituo cha Mabasi Mpemba Tunduma vyarekebishwa

    Vyoo vinavyotumiwa na Wanaume katika Kituo cha Mabasi cha Mpemba kilichopo Tunduma vimerekebishwa na sasa vinatumika. Awali, Mdau wa JamiiForums.com alisema kati ya sehemu 10 zinazotumika kwa haja ndogo ni 3 tu ndio zinatumiwa, nyingine ni mbovu. MKURUGENZI – TUNDUMA Akizungumzia suala hilo...
  5. LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

    Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100, ukiwa ulimegwa kutoka Mkoa wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na Mto Songwe. Makao makuu ya mkoa huu yako Vwawa. Mkoa wa Songwe una majimbo sita (6); Momba, Tunduma, Songwe, Vwawa, Mbozi na Ileje, ambapo Jimbo...
  6. L

    Pre GE2025 Mapokezi makubwa ya Rais Samia Mkoani Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mapokezi makubwa, mazito na ya heshima aliyoyapata na kupewa Rais Samia alipokanyaga ardhi ya Mkoa wa Songwe kwa hakika nawashauri CHADEMA wasijaribu wala kusubutu kusimamisha Mgombea Urais uchaguzi ujao maana wakijaribu na kupuuzia ushauri huu watakwenda kuvuna aibu...
  7. Kwanini wakati RC Chongolo anatambulisha Mawaziri leo Songwe ni Mmoja tu Mchengerwa alitajwa nae kwa Furaha, ila Wengine waliishia Kutajwa tu na RC?

    Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC Chongolo alipokuwa akitambulisha Mawaziri kisha akitizame kwa umakini sana hiki nilichokiulizia...
  8. Songwe: Mfamasia akutwa amefariki, mwili wadaiwa kuokotwa ukiwa na majeraha

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Agostino Senga amesema uchunguzi wao kuhusu kifo cha aliyekuwa Mfamasia wa Kituo cha Afya cha Isansa, Wilayani Mbozi, Mkoani Songwe aliyetambulika kwa jina la Daudi Kwibuja (30) hakijatokana na ajari kama ilivyodhaniwa kutokana na mwili kuokotwa kando ya...
  9. L

    Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko kali,,kubwa na la ajabu sanaa kuwahi kushuhudia.limetetemesha na kuitikisa nyumba mpaka nikaona mlango...
  10. O

    Songwe: Mbaroni akidaiwa kumuua mumewe akishirikiana na hawara

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Watuhumiwa hao ambao majina yao hayajatajwa wanadaiwa kumuua Victor Mwakapenda (41), mkazi wa mtaa wa...
  11. Songwe: Polisi yawakamata wanaotoa Mikopo ya Kausha Damu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kipindi cha mwezi Aprili, 2024 linawashikilia watuhumiwa 424 kwa tuhuma ya kujihusisha na matukio ya Ukatili wa kijinsia, Uvunjaji, Wizi, mauaji, utapeli kwa njia ya mtandao, Kujifanya mtumishi wa serikali, Kughushi nyaraka, dawa za kulevya, ukiukwaji wa sheria...
  12. Descendants of river Songwe karibuni. Wewe mwengine ni descendants wa wapi ?

    Mimi ni miongoni descendants of Songwe River wenda kuna watu wengine humu na share nao same Ancestors. Nimekuwa inspired na jamii za Asia katika kutafuta asili yangu finally nimeweza kuipata. Nina miaka miwili sasa nimekuwa nikizuru mto Songwe na nafikiri utakuwa utaratibu wangu wa kila mwaka...
  13. R

    Si sahihi kupeleka watu walioshindwa katika mikoa ya kimkakati kama Arusha na Songwe

    Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma. Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
  14. Katibu Tawala Songwe: Mke mwenye pesa haachwi kisa Mchepuko

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amewashauri Wanawake kujiimarisha kiuchumi ili kuwa na maamuzi katika Familia huku akisema Wanawake wakiwa na fedha itakuwa ngumu kuachwa na Wanaume zao na hata kama Wanaume zao wakiwa na michepuko ila hawatowaacha wa njia kuu wenye pesa...
  15. Karibu sana Mwenezi Paul Makonda ndani ya Songwe

    Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa. Karibuni sana,Kidumu chama cha...
  16. Kwahiyo Mbeya na Songwe utaratibu ni kupaki barabarani kupeana zamu ya kupita?

    Pale Inyala unapoteza dakika 30 wanasema mnasubiria malori yanapita muda wake tofauti na magari mengine. Pale mteremko wa Mbalizi ni hivyohivyo halafu tena ukiingia mkoa wa Songwe kuna sehemu utaratibu ni huo. Chakushangaza barabara ni nzima kabisa ila wameweka huo utaratibu kwasababu kuna...
  17. Waziri Mkuu amekemea Songwe, lakini ni aina tatu za watu zinatuponza

    Na Elius Ndabila 0768239284 Habari wanajamii forumu. Ni muda sijaandika hapa Zaidi ya kusoma. Nilikuwa msomaji kidogo , kwa hiyo mkiona kuna makosa kwenye andiko basi mjue ni uzee. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Majaliwa amehitimisha ziara yake ya kikazi jana Mkoani Songwe...
  18. Mhandisi Bishanga: Barabara ya TANZAM inayojengwa kwa njia nne kutoka Igawa (Mbeya) hadi Tunduma (Songwe) km. 218, inagharimu trilioni 1.33

    Serikali ya awamu ya sita imeendelea kufungua Nchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo Mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa barabara ya kimkakati ya TANZAM inayojengwa kwa njia nne kutoka Igawa (Mbeya) hadi Tunduma (Songwe) yenye urefu wa km. 218 kwa gharama ya shilingi trilioni 1.33 Pia...
  19. B

    Kamati ya Siasa Songwe yatembelea walioathirika na mvua Ilasilo

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Songwe ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mhe. Solomon Itunda imetembelea na kufanya ukaguzi wa athari zilizosababishwa na mvua na upepo katika Kijiji cha Ilasilo Kata ya Galula. Katika ukaguzi huo kamati hiyo imebaini nyumba saba zimebomolewa huku 11 zikiwa...
  20. Uwanja wa Ndege Songwe Kujengewa Chumba Maalum cha Baridi (Cold Room) Kuhifadhi Mazao

    Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…