story

  1. Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  2. Nilitegemea ununuaji wa umeme toka Ethiopia uwe ni Top story TZ badala yake Simba na yaga zimetamalaki.

    Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia. Yaani distance kutoka Ethiopia na rufiji imekaaje aisee.hizo TL losses. Tunapigwa mchana kweupee
  3. Story gani haiwezi kukosa hapa kwenye kijiwe hiki cha bodaboda?

    Twende kazi unahisi wanapiga story gani hapa?
  4. The story of Allyson Felix with Nike

    When Allyson Felix became pregnant, Nike was prepared to cut the terms of Felix''s endorsement by as much as 70% due to the pregnancy, and told her to “know your place and just run.” Amid all of this, she was forced to have an emergency c-section seven months into her pregnancy because of a...
  5. Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
  6. K

    Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

    Habari zenu wana JF Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )...
  7. Tupatiane True Story yoyote ila iwe Fupi na Precise

    Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani. Hadi...
  8. M

    Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  9. Short Story: Simba wa Mizimu

    SIMBA WA MIZIMU Siku moja nilikwenda katika kijiji kimoja kilichokuwa kikishambuliwa na ndovu mara kwa mara. Nilipokuwa nikipitia njiani, nilimwona mtu mmoja juu ya dungu lake akiezeka paa la dungu kwa makuti ya mkoche. Nilipopita pale chini la dungu, yule mtu akanitazama kisha akacheka...
  10. A Safe Haven for Dreams: A story of Fendi from Kigoma

    In 2022, Fendi (pseudo name) a young girl from Kigoma faced a life-altering challenge. After sitting for her Mock exams, a practice test before the form IV national exams, she discovered she was pregnant. The news led to her dismissal from school, and she returned home. Soon after, she suffered...
  11. True story!! Kwenye mapenzi tuwe makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Wakuu kwema? Leo mida ya asubuhi nimepokea simu kutoka kwa rafiki yangu/mdg wangu jinsia ya KE. Akanielezea mkasa ambao alitaka nimshauri. Nimeona sii vibaya nikishea hapa jukwaani huenda akapata mawazo mazuri zaidi. Huyu rafiki yangu ni kama mdogo wangu maana kaka yake amewahi kufanya kazi...
  12. Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

    Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa. Yaani mwendazake alivaa pajama ili...
  13. Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

    Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu. Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
  14. Canada is the next india

    Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration. Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
  15. Graduating from Aid Dependency is an UphiIl Battle. Is Tanzania Poised to Become the Next Success Story Among the Beggar Nations?

    The question of whether a nation heavily reliant on external aid (“beggar nation”) can graduate from such dependency is complex. It requires a multi-dimensional analysis incorporating economic, political, and social factors. Below, I’ll address this question with a specific focus on Tanzania...
  16. Wivu wa Mbowe unamsukuma kujaribu kutengeneza story ambaz hazipo.

    Dunia ilimsikia Magufuli akimuahidi Lissu Cheo, akawaomba hadi wazee wa Singida waongee na kijana wao. Leo Mwenda zake ameenda zake, hatukumsikia Lissu akiirudia kauli ile ya Magufuli ili kuchuMbowe credits Badala yake leo Mbowe ndiye amejivalisha uhusika wa Tundu Lissu, anatembea na story ile...
  17. Nimeamini uchawi ni story za kusadikika tu.

    Niko mapumzikoni kijijini kwetu huku kwenye moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Sasa kuna sehemu hapa kijijini kwetu pana mti mkubwa watu wanapaogopa sana,wenyeji wanasema ikifika saa 1 jioni ndio mwisho wa kupita hapo vinginevyo tegemea kukutana na mambo ya ajabu. Sasa mimi hivi ninavyoandika saa...
  18. Another short story

  19. Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  20. Uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mfumo mpya wa Kieletroniki itabaki story!

    Nawasilisha hii hoja nikiwa na nia njema. Kama kuna mwenye update atoe ushirikiano ili tufahamu ni lini huu mfumo utaanza kutoa huduma hasa katika kipengele cha Uhamisho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…