story

  1. R

    Untold Story: Mjue Simon Magus, mchawi tishio kutoka Israel aliyekaribia kuufuta Ukristo Duniani

    Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo. Tunathubutu kusema...
  2. BabaMorgan

    Ukipata Fursa ya kwenda Thailand kuwa makini Lady boys is real story

    Hususani wale wazee wa kimasihara unaweza kujiona bonge la mjanja kwa kujiokotea dodo la kula kimasihara kumbe na wewe upo kwenye menu kutesa kwa zamu sasa toto kama hilo juu na lenyewe lina machine. NB. BONGOZOZO alishawahi kumhoji lady boy huko Thailand ukienda kwenye page yake utayaona...
  3. R

    Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

    1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend 2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend 3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno 4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na...
  4. Magical power

    Wewe ndio Mfalme wa story yako hapa Duniani

    WEWE NDIO MFALME WA STORY YAKO HAPA DUNIANI : Hapa Duniani unavyoishi Tambua,wewe ndio kiongozi wa story yako😎 Na story yako inaandikwa na wewe mwenyewe maana,ndiye mwenye ufahamu wa halisi wa hali na mapito yako😎 Wengine wote ni wapenzi watazamaji,na wengine ni wapenzi waburudikaji,na wengine...
  5. Man Middo tz

    STORY FUPI: Fikiria kwanza Kabla ya kujaji

    SOMA ILI UJIFUNZE KITU, AMINI HUWEZI KUTOKA BURE Siku moja Dokta aliingia haraka sana hospitalini mara baada ya kupigiwa simu iliyomtaka akafanye upasuaji. Baada ya kufika hospitalini alibadilisha nguo zake haraka na kuelekea moja kwa moja katika jingo upasuaji. Kufika katika lile jingo la...
  6. appoh

    Story ya msanii ya mwaka 2087 hii hapa

    Msanii huyu alikua mkubwa sanaa anapesa nyingi kumpa mwanamke gar ya thaman kwake ni kama kumnunulia kanga Kuna muda alikua anapita tu mitaa ya kariakoo sasa hiv imebadilishwa jina inaitwa appoh street bas huyo msanii alikua anagawa tu pesa au akipita mtaan asipokupa hela hasikii hela yaan...
  7. Mgosi Mbena

    Wakuu niko natoka Kigoma kwenda mwanza!! Niwekeeni story ya kutembea nasoma

    Wakuu, Iwe kuhusu vita migogoro, Visa katika utafutaji Najua kuna nyuzi humu zingine sijawai ziona
  8. Pascal Mayalla

    Developing Story: Magomeni, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga na Kuua Mwanamke. Gari yadakwa, Dereva Asepeshwa na Polisi!

    Wanabodi This is a developing story Yaani story muendelezo Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo...
  9. Man Middo tz

    STORY: Kijana Shujaa (Precision Air)

    SIMULIZI: KIJANA SHUJAA….. “Ilikua ndoto yangu kuja kufanya jambo kwaajili ya Taifa” SEHEMUYA KWANZA (01) Man Middo Kabla hajatimiza ndoto yake kijana shujaa alikua kapuku tu muuza dagaa katika mwalo wa Nyamkazi, Bukoba pembezoni mwa ziwa victoria. Kwa muonekano wake hata wewe unaesoma...
  10. REJESHO HURU

    Kiukweli huyu mchezaji wa soka zamani Alphonce Modest anahitaji msaada

    Unaeweza tazama maswahibu anayopitia Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar, Pamba, Simba na Yanga. Hapa tunamzungumzia, Alphonce Modest, beki aliyesifika kwa kukaba kwa nguvu na akili, kupandisha timu kwa kutengeneza mashambuliaji na kupiga krosi...
  11. MENEMENE TEKERI NA PERESI

    Gari dogo la kukodi mkoani Kagera na mwanamke wa kupiga naye story za kimkakati

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu ,salamu haikuongezei thamani . Mwenzenu nipo mkoani Kagera specifically katika mji wa Bukoba mjini ,popote mlipo mnaojua mnakodisha magari madogo kwaajili ya kufanya michakato yangu ,tafadhali naomba mnitafute PM ,kwa kuandika namba yenu Kama kichwa Cha...
  12. ukwaju_wa_ kitambo

    Story ya Philibert Kabago

    Inaendelea... Kundi la Boy with Voice liliendelea harakati zake hadi ilipofika mwaka member wa kundi hili " Hamad saleh alipotangulia mbele za Haki, ilikuwa tarehe 12 /12/2010.. kwa hivyo Baada ya msanii Hamad kutangulia mbele za haki , na hapo nyuma wakati yupo hai tulikuwa tunafanya nyimbo...
  13. Mwl.RCT

    Cristiano Ronaldo's Brother Hugo: A Story of Addiction, Redemption, and Family Support

    Cristiano Ronaldo's Brother Hugo: A Story of Addiction, Redemption, and Family Support Cristiano Ronaldo, one of the world's most renowned footballers, is known for his incredible skills on the pitch and his numerous accolades. However, behind the scenes, the Portuguese superstar has faced...
  14. 650

    Mpende utakavyo lakini usimwamini kupitiliza

    #1 . Mpende utakavyo mpenda lakini usimwamini kupitiliza . #2. Kama unataka kumpoteza harakat , mjali sanaaa alaf mpe kila anachokitaka. #3. "Wee date na wote wawili uone yup yupo serious " hivo ndo gals wanaambiana. #4. Kama mwanaume Mungu, Wana, maokoto na dua za Mama yako ndo zitakusave ...
  15. Choosen85

    Hawa ndiyo wanaume halisi nje ya hapa ni mvulana

    Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa. Lakini hawajuani majina halisi. Utasikia wakiitana, Bro, Mzee...
  16. mpndz

    Natafuta Story book

    WADAU natumai wote hamjambo, shida yangu hapa mweye kuwa na pdf ya MWENE'S ROUGH DAY (story book) pls aiweke hapa
  17. Logikos

    Why Public Private Partnership Dont Work (The other Side of the Story)

    Wakati tunapigia chepuo hii PPP's kwamba ndio magic wand nimeona nilete pdf hapa (report by David Hall) ambayo kwa hoja za mwandishi ni kwamba PPP's zimegubikwa na sintofahamu za kutosha na loopholes za Upigaji na kwa nchi kama yetu ya mafisadi huenda hii ikawa ni kuongezea watu mirija ya...
  18. Chase your dreams

    Story Yangu

    SEHEMU YA KWANZA 1. (Mimi sio mwandishi mzuri mtaniwia radhi) Wazazi wangu siwezi kuwaita Masikini ila ni wazazi wenye kipato cha chini. Shughuli zao mpaka Leo ni kilimo na ufugaji wa kawaida. Licha ya kipato duni wazazi wangu walijitahidi kuwekeza kwenye elimu kwa hakikisha tunapata elimu...
  19. Analyse

    Analyse Story Collection

    Pamekuwa na pm nyingi watu wakiomba link ya simulizi ambazo nimeshawahi kuziweka majukwaani. Mara nyingi nimekuwa najitahidi kuwapatia hizo link, ila muda mwingine nashindwa. Nimeamua kuzikusanya zote na kuziweka kwenye Uzi mmoja ili iwe rahisi kwa mtu kuzipata. 1. Naitwa Analyse na hii ndio...
  20. Mwachiluwi

    Short story ya maisha ya jeshini

    Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi tulikuwa majuorner yaan wadogo wale ndio sinior Alikuwa anaishi kama afande yaani p staf hukuti...
Back
Top Bottom