Hichi ni kisa cha kale kinachopatikana katika hekaya za zamani za waigiriki na miungu yao, iliyokuwa ikiabudiwa kipindi hicho kabla ya KRISTO.
Tofauti kubwa kati ya miungu yao na MUNGU anayeabudiwa na wakristo ni kwamba miungu yao nayo ilikuwa na hulka mbalimbali za kibinadamu tofauti ni...