Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu.
Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho.
Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc.
Sawa...
1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi )
2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF)
Kwanini ninunua cpu wakati ningeweza kununua waya wa usb wa hard disk ?
Hard disk iliyounganishwa ndani kwa cable zake maalum za...
Hivi ni baadhi ya vitu vilishawai kufanya nikajua kabisa hizi ni stress zinanisumbua, na wewe utaongeza ya kwako hapo chini kwenye comments:
1. Nilikuwa naongea na simu, mara ghafla nikaanza kujisachi kutafuta simu yangu nimeweka wapi huku nikidhani nishaibiwa. Nikakumbuka nipo nayo na muda huo...
Wassalahm allheikhum
Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA
Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana
Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki
Aka mzungu WA NNE
Usiforcee...
Wassalahm allheikhum
Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA
Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana
Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki
Aka mzungu WA NNE
Usiforcee...
Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi
Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani
Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako.
Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina...
Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki
Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, Ni kama vile inaanzishwa ligi ya kukutupia matatizo yao halafu ukikataa...
Nilijichanganya 2022 nikanunua 2009 Subaru forester.
Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2.
Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
Nipo mbeya kwa ajili ya mambo yangu ya kifamilia.
Nimekutana na mambo ya hovyo sana, nikasema ngoja niwaulize wadau.
Jamani eti kunywa beer 20 pekeyako ni starehe au ni stress.
Conclusion yangu ambayo haina tafiti ni kwamba, ukitoa ukimwi kinachoua watu wa nyanda za juu kusini ni ulevi...
Ukimya wa Mhe. Rais kisiasa umesaidia sana kufahamu ana maadui wangapi na marafiki wangapi. Ukimya wake umesaidia sana kuona comments za mitandaoni zinavyoweza kutafsiri jamii unayoiongozia.
Ukimya wake umewafanya viongozi wenzake waandike kila mtu kwa mtizamo wake kwenye makundi ya WhatsApp na...
📖Mhadhara (56)✍️
Unaishi miaka 70 mpaka unakufa hujawahi hata kuzunguka maeneo yaliyopo ndani ya nchi yako (Tanzania) ambayo yataifurahisha akili yako. Si kwamba huna hela, bali unaendekeza sana mambo ya hovyo kuliko mambo mengine mazuri.
Tanzania ni nchi ambayo imejaaliwa kuwa na vivutio vingi...
Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu.
Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni.
Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
Kimsingi wamevurugwa.
1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu.
2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali.
3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi.
4. Mtu...
Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex.
Chanzo Taarifa: manaratv
Yaani Mademu wa Kibongo hasa wa Tabata na Sinza wakujue ni Star halafu una Hela wakuache...
Picha linaanza daktari anakusomea majibu ya vipimo vyako bila kutarajia anakwambia una UKIMWI , ile hali na mshutuko utakaoupata baada ya hapo ndio STRESS zenyewe.
Just imagine umesota sana mpaka ukapata kazi mambo yako yapo vizuri, mke wako kajifungua mtoto mzuri wa kike. Bila kutarajia boss...
Kwenye industry ya forex sio lazima utrade huku Kuna fursa nyingi nje ya kutrade na ukapiga pesa Safi
1. Unaweza kuwa agent wa malipo ya pesa , Hawa ni watu wanaowasaidia traders katika kudeposit na kuwithdraw, , baadh ya nchi ni ngumu sana kudeposit na kuwithdraw kupitia bank , Sasa brokers...
Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi.
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu.
Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
wengi wao huishi ifuatavyo:
Ofisini jumatatu hadi jumamosi kuondoka majumbani alfajiri kurudi usiku, kukosa muda wa kuspend na familia
likizo pekee ni Christmas, Pasaka au Idi
wakiumwa biashara zinayumba, hospitalini hawana bima wanakamuliwa pesa nyingi
Marejesho ya mikopo kwa benki
Faini za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.