Napenda kupendekeza kwa Mama. Hayo maendeleo pekee haita kuwa sababu ya watu kukusamehe kwenye sheria mbovu za chaguzi hasa kama vyama vikuu vya upinzani vitagomea uchaguzi. Ukweli ni kwamba huko ndiko tunaelekea. Hao wanao kudanganya mambo yatakuwa powa sio kwako ni kwao. Mambo hayatakuwa powa...
Kwema Wakuu!
Ni Stress hapa!
Ni sonona hapa! Kihoro kinakaba kama pumu huku. Yaani hapa mambo sio mambo.
Kuna Watu wanakuambia umri ni number tuu lakini huko ni kufarijiana tuu!
Hakuna kitu kinauma na kuleta mfadhaiko na mtagusano kulinafsi kama kuona jua lile linazama halafu wewe mambo...
Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana.
Demu huwa hataki...
Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu.
Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza...
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi
Mie ni mtumishi wa umma makao ya nchi kiukweli siku za hapa karibuni nimekuwa na majuto ambaye yanapelekea ufanisi wangu wa...
Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani?
Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
Mwagona
Miaka Kama kadhaa nyuma nilipitia wakatii mgumu Sana kimaisha kiasi kwamba nikaanza tabia ya kujitenga na watu wa rika yangu.
Hali hiyo iliendelea kukomaa taratibu imefika kipindi najiona Mimi ni watofauti Sana na wenzangu (in positive way)
Kinachonisumbua kwa Sasa hivi naona Kama...
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.
Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.
Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale...
Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya.
1. Dada wa kazi.
Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule...
JINSI YA KUJENGA NYUMBA YAKO BILA STRESS AU KUVUNJIKA MOYO: VIGEZO VYA KUMCHAGUA FUNDI WA UJENZI MWENYE UZOEFU NA UBORA
Mwandishi: MwlRCT
UTANGULIZI
Je, unajua kwamba uchaguzi wako wa fundi wa ujenzi unaweza kuathiri sana ubora na gharama ya nyumba yako?
Kama unataka kujenga nyumba yako, ni...
Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia.
Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia.
Bongo zetu ni mashine za mawazo, bila kujali ni mazuri au mabaya. Yenyewe inachapisha tu.
Sasa pale ubongo unapochapisha mawazo mabaya...
Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa!
Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo!
Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza;
~ Ni kitu gani nataka?
~ Kitanifanya nijisikiaje?
~ Je, kitanisaidia kusonga mbele?
~ Ni kitu gani ningependa kitokee?
Ukishajipatia majibu ya hayo...
Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili
Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa zilizozopita nimetoka kumaliza kumeza kidoge kimoja kukamilisha dozi yangu ya siku ya 28 ya dawa za PEP (...
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress...
Asikwambie mtu!
Stress inaumiza sana watu pasipo sababu!
Haya hapa ni mambo machache tu yanavyoweza kuongeza stress!
Kushabikia litimu ambalo linafungwa au kubahatisha ushindi
Kuwa na mme mlevi asiyejali familia (kwa wanawake)
Kuwa na mke ambaye period haitabiliki (kwa waume)
Kuwa na bosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.