Mimi ninaweza kukaa siku nzima fresh tu nikiwa na mawazo ya kawaida ila inapofika saa moja jioni aisee mikazo naona ndo inazidi..yaani likianza tu giza kidogo
-mawazo ya majuto kuhusu mikopo na madeni sugu.
-majuto ya hela nilizotumia kunywa bia zilizogeuka kuwa mkojo,
-mawazo kuhusu hela...
Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress anadhihirisha,
Wanyamapori hawakutakiwa kukaa katika zoo au cages, Zoo na Cages ni mojawapo ya...
1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote.
2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie,
3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu.
4. Andaa matangazo ya ajira mishahara...
Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .
Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain status yako.
Kuna ukweli hapa?
Ili urudi ulipo toka lazima ukubali kwamba umeshuka na uwe tayari kuishi maisha ya chini ambayo yanaendana na budget yako iLi pesa unazozipata uweze kusave upate mtaji uanze kurudi kwenye mfumo mdogo mdogo.
Fact ni kwamba mtu yeyote aliye katika level yoyote ikiwa aliwahi kuwa na pesa za...
Soma vzr halafu useme UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
(Siyo really story)
Una rafiki Yako Ambae tangu uoe hajawahi kumuona mke wako na mnaishi vijiji tofauti tofauti (vya mbali
Habari za smart phone ni ndoto ya mchna kuwa nayo.
Basi rafiki Yako anaamua kuja kukutembelea.
Akiwa katika Kijiji...
Hawa jamaa historia inawahukumu sana, 60% ya wazungu wote wana depression ambayo imekuwa affected na historia ya hio race.
History ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya wazungu.
Uzuri wazungu sio wanafiki ulaya yote mashuleni wanasoma history yenye slave trade ndani...
Salaam, shalom!!!
Ninapata malalamiko mengi Kwa vijana wangu wengi Walio mtaani wanaopambana kujitafuta Ili wapate chochote kitu Cha kujikimu mahitaji Yao na ya wanaowategemea.
HESLB, bodi ya mikopo, unapomkopesha mwanafunzi wa chuo, lazima unakuwa na taarifa zake, namba ya simu IPO, namba ya...
Kada mnazoongoza kujiua ni watu wa Afya madaktari, watu wa fedha TRA mna mshahara mkubwa ila bado mnajiua.. Watu wa usalama mapolisi na jeshi nao mnakufa kufa mnajiua. Mainjinia hakuna Kujinyonga ni wanakula tu maisha hawamsikii Profesa Janabi wanakula na kunywa na kucheza mziki.
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.
Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Umeshindwa kulipa deni, benki wanakuja kuchukua nyumba
Magonjwa yasiyo na tiba unasubiri kifo
Kufilisika na huna ujuzi wala mtaji
Kugundua watoto sio wako
kuingia 18 za vyombo vya dola,
N.k.
Wengi kimbilio la kupunguza stress huwa ni pombe, ngono, bangi, madawa, n.k. na mwishowe huwa waraibu...
Katika maisha yangu yote, sijawai kuona sherehe isiyo kua na furaha, wanandoa watakodi range, au V8 kwa ajili ya kuzurura na kupiga picha.
Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa inaanza kukosa nuru mwisho wasiokua wavumilivu wanakimbia na kuacha ndoa zao, imenifanya niwaze kwanini watu wanaoana kwa...
Why Stress is Ruining Your Health: The Hidden Epidemic and How to Fight Back
Introduction
The crushing headaches were unbearable, followed by weeks, then months, of missed work, canceled plans, and the growing fear of a life spiraling out of control. Doctors ran tests but found nothing...
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni.
Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno.
Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya vitu vyenye tija katika maisha yako kama kuendesha biashara yenye kukuingizia faida.
Muda wote huna...
Habari wana JF,
Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam.
Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini.
Nifanye nini kupambana na hii hali...
Mara nyingi nikiwa na stress na kupelekea kukosa usingizi, huwa navuta sigara ili kupunguza stress hizo. Hata iwe usiku wa manane nitajitahidi niende kwenye Club zinazokesha nikafuate sigara.
Suala la kuwa inanisaidia au lah, sidhani lakini pale napokuwa navuta huwa nakuwa katika hisia nyingine...
Vishukuriwe vijiwe Tanzania wanaume tunainjoi maisha Japo account zinasima zero.
Majobless huo tunakutana vijiwen tunapiga story na kupeana michongo ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu nyingi n'a malipo kidogo Ila kimtindo life linasonga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.