Stress kwasababu ya Kazi inapokuwa kubwa kupita kiasi, inaweza kukuathiri kimwili na kihisia
Kwa watu wengi, sio rahisi kuepuka 'Stress' hata kama unapenda kile unachofanya
Unarudi vipi kwenye mstari mambo "yanapokuwa mengi" kazini?
=====
Work-related stress can get the best of us all...
CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye...
Nakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai.
Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha...
Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime-shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi humu.
" Mnikome sana. Mnanisema mmenizaa nyie?na mkipata shida msije omba msaada mbwa nyie...mtaishia...
Nilikopa benki 20 mil nimeimaliza na mademu na pombe. Msinitukane nihurunieni.
Chanzo cha haya mambo ni kushushwa cheo. Magufuli alifanya wazembe wote wakaa pembeni. Wahuni mtatuua
Ghafla baada ya kuingia mama Samia, akapangua pangua. Bahati mbaya tukaathirika kwenye eneo langu na nikawekwa...
Habari za leo wakuu.
Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi
Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari.
Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu.
Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa
Au kama unaweza kunielekeza...
Habari Wana JF,
Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over.
Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu.
Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa.
Muda mwingi analalamika hata likitokea...
1. Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako!
2. Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu...
Inakuwaje wanajamvi!
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).
Hasa stress ya kufulia huna hela ama stress ya kugongewa waifu ama demi stress za usaliti na kudhulumiwa.
Ukicheza na kuendekeza stress bila kuchukua njia mbadala za kuidhibit utakufa kizembeeee...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wadau wa mifugo kutoa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili kuwawezesha kufanya ufugaji wa kisasa ambao utaepusha ng'ombe kutembea umbali mrefu kutafuta malisho na kusababisha nyama yake kuwa ngumu
Akizungumza wakati wa kufunga maonyesho ya...
Ni Asubuhi nzuri yenye utulivu,kwani mwili uwa wenye nguvu ya kufanya kazi zaidi kwa wale wezetu wamachinga,wakulima,na ata wale wafanyakazi wa maofisini.Na hali ya hewa furani yenye kuvutia, kwa kweli Asubuhi inavutia.sio kama mchana jua Kali la kuchoma utosini, karaha mbalimbali kama kutokwa...
Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amewataka baadhi ya wanaume ambao bado wana mfumo dume wa kunyanyasa wanawake kuacha tabia hiyo hasa kwenye masuala ya uchumi.
Dkt. Gwajima ameyasema hayo mjini Morogoro Wakati akizungumza kwenye Kongamano ambalo...
Salama wadau, kuna mambo ambayo binafsi naona hayapo sawa, inawezekana tunayachukulia poa lakini ukiyatazama kwa undani ni wazi kuna kitu hakipo sawa katika maisha ya Wabongo wengi.
Tangu zamani inajulikana ndani ya daladala ni sehemu ya vituko vingi, kuna matukio mengi kwa kuwa asilimia kubwa...
Wadau,
Nimeoa baba wa watoto 07 na mke1.
Katika kipindi miaka 02 iliyopita tuliingia kwenye mgogoro na mke wangu.
Sababu kubwa alipoteza uaminifu na mimi.
Hii ilitokana na aina yangu ya maisha na kazi ninayofanya ambayo kwa kipindi hicho ilinilazimu kurudi usiku wa saa 2 hadi 3 na nilikuwa...
Wakuu wa ukumbi huu hemu tujielekeze hapa pia., Mkuu alitwambia wale wenye Stress za 2025 atawapa nafasi zaidi akimaanisha atawaweka pembeni ili wakajiandae zaidi., nataka kufahamu hakuna Mawaziri ambao ni kina mama waliojiingiza kwenye hizo Stress za 2025? nimeona sura 5 sijuwi 6 tu, Lukuvi...
Habarin wanajukwaa Nina Imani nyote wazima afya 💯💯
Mapenzi wanasema yanaendesha dunia na pale mtu yanapomkuta ya kumkuta Hali inakuwa si Hali
Je ni vioja gani vinavyoweza kusababishwa na stress za mapenzi Ukiachana na vifuatavyo;
1, Kunyoosha nguo bila kuwasha socket
2,Kuchomeka Kadi ya mpiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.