TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza tukio la kifo cha Yosia Johani Keya (25) mwanachuo mwaka wa tatu katika chuo Cha kilimo cha Sokoine (SUA).
Tukio hilo limefahamika tarehe 9.3.2025 asubuhi huko katika eneo la makazi ya wanachuo hao kampasi ya Mazimbu, kata ya...
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea.
Sasa wengi hawajui...
Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani Morogoro...!
Ikumbukwe marehemu alifanya kazi na Marais wastaafu Mwl Julius Kambarage Nyerere, Ally Hassan...
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
Taarifa hii ni kutoka Azam TV siku ya jumapili.
Chuo Cha SUA wameweza kuanzisha teknolojia ya mimea inayopandwa shambani na kuweza kuzalisha nyama inayoweza kuliwa na mwanadamu, mhariri wa taarifa hii ni Claud Mshana kutoka Azam TV.
Wataalam njooni mtuambie hiyo inakuwa ni nyama au mbogamboga...
Me nilikuwa na wazo kuhusu pass mark kwa vyuo vikuu Kwa mfano pass mark ya SUA ni 50+ambayo ni 40-49D
50-59 ni C
60-64 B
65-69B+
70-100A
Hii inawapa wakati mgumu vijana kwenye ajira Kwa mfano mtu mwenye G.P.A ya 3.5 SUA vyuo vingine anakuwa na G.P.A ya 4.3.
Kwahyo kwenye qualifications za...
Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa.
Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi angeruhusiwa kufanya hivi?
Mamlaka husika zichukue hatua.
Anonymous
Thread
barabara
maji taka
mwaka
sokoine university of agriculture
sua
Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
Wakuu, Heri ya mwaka mpya 2024.
Barua hii ni taarifa kuhusu ubora wa elimu inayotolewa katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwa ufundishaji na utoaji wa masomo ya Shahada za elimu zenye masomo ya Fizikia yaani, BSc. Education (Physics and Chemistry), BSc. Education (Physics and...
Baada ya kumaliza kula michembe na maziwa nimekaa zangu kwenye duka la Muha nikaona mdahalo unaoendelea muda huu kupitia TBC 1 ambapo wadau mbalimbali wanajadili masuala mbalimbali hususani uendeleshwaji wa kilimo kwa kileo wanaita uchumi wa blue.
Kwa uelewa wangu mdogo nimeona na kujifunza...
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga...
Sina nia mbaya wala lengo la kuwaharibia biashara zenu, ila ninyi kama taasisi kubwa nchini inayotumia resources nyingi kwenye tafiti mbalimbali za kilimo, hili la matunda yenu mmeshindwa kabisa.
Mfano mmoja kati ya mingi ni haya maembe yenu ya kisasa utakuta kati ya maembe na mapera 10...
Jina la Clemence Mtenga, aliyefariki dunia nchini Israel, limetajwa kuwa miongoni mwa wahitimu katika mahafali ya 42 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).
Wakati mahafali hayo yakifanyika hiyo jana, mwili wa Mtenga uliagwa usiku wa kuamkia jana mjini Tel Aviv, Israel na kushuhudiwa na...
Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii.
Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano.
Leo napenda kuupongeza uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) kwa kufuta udahili wa kozi za shahada ya elimu zenye somo la fizikia.
Wamefanya hivi baada ya kukosa wanataaluma wenye uwezo na weledi wa kufundisha kozi husika ijapokua...
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema miongoni mwa njia wanazozitumia kudhibiti ujangili na utoroshwaji wa bidhaa zinazotokana na wanyamapori ni kukagua mizigo bandarini kwa kutumia panya wenye mafunzo maalumu kutoka Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA).
Kauli hiyo imetolewa na...
BURUA YA WAZI KWA MKUU WA CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA)
SERIKALI KUTO ITAMBUA SHAHADA YA MAENDELEO VIJIJINI (BACHELOR OF RURAL DEVELOPMENT) KATIKA AJIRA ZINAZOTOLEWA NA UTUMISHI WA UMMA KITENGO CHA SECRETARIET YA AJIRA TANGU SHAHADA HIYO ILIPO ANZISHWA MWAKA 2004.
Kwako Mheshimiwa Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.