SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
WIZARA YA MIFUGO & UVUVI, SUA ZATEKELEZA MAAGIZO YA RAIS SAMIA
Kufuatia maelekezo aliyoyatoa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ishirikiane na Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kuwawezesha vijana kujiajiri yaanza kutekelezwa baada ya pande hizo mbili...
Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB.
Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali.
Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
Imesikika repoti ya Dr. Mwakyembe akitaka kuiaminisha Dunia hii ya werevu ati kuwa sheria ni fani adhimu na special sana. Haijulikani ni kwenye lipi msomi huyu akilenga.
Hawa hapa ni SUA wakikodolea ubingwa katika tafiti na uvumbuzi:
Mkakati wa SUA kuwa kitovu cha utafiti, uvumbuzi
Ma lawyer...
Wakati wenzetu wakiendelea kuvumbua teknolojia mbalimbali ikiwemo akili ya bandia (Artificial Intelligence), wasomi wetu wa SUA wanakimbizana na panya eti kuwafundisha panya kubaini magonjwa na kugundua sehemu ambazo mabumu ya ardhini yametegwa.
Kwa maoni yangu huu ni mtindio wa ubongo kwani...
Naomba ambaye amesha confirm SUA admission anisaidie how to do it. Naweka user name, PW to get into my inbox for joining instructions and confirmation vinakataa. Nawapigia simu anapokea mtu binafsi, kero tupu.
Kwema wakuu.
Ebana ndugu yangu amechaguliwa kozi tajwa hapo juu chuo cha sokoine pale Morogoro, naona Kama hajaridhishwa hivi na hii kozi, lengo lake lilikua asome MD ila vyuo vyote vya medicine alivyoomba hawajamchagua sababu ya ushindani kuwa mkubwa sana mwaka huu. Matokeo yake ya kidato cha...
Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa.
Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...
Huu ni ujumbe mahsusi kwa form six na diploma wanaotegemea kutuma maombi chuo cha SUA.
Natoa rai tu,kama unataka kusoma SUA basi omba kozi zote upendazo ila achana na kozi hizi hapa chini.
1. Bachelor of laboratory Sciences (BLS).
2. Bachelor of education zenye physics.
Hiyo BLS ni kozi ya...
"Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege
Chanzo: EastAfricaTV
Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
Haiwezekani iwe ni Asubuhi, Mchana na hasa Usiku unakutana nao tu barabarani na katika Vilinge vya Starehe wakati nijuavyo kwa Vyuo Vikuu serious kama changu Takatifu na Tukuka cha SAUT Mwanza, Mzumbe, Tumaini na UDSM kwa Msuli walionao huwezi kukuta Wanafunzi wao wanazagaa hovyo kama Mbuzi wa...
SUA hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnatuwazia nini?Hili ni swali ninalojiuliza ila hadi sasa hakuna majibu.
Watanzania kazi iendelee.
Katika mambo yanayoonekana kuwa na matatizo ni jinsi baadhi ya vyuo vikuu vinavyotekeleza mambo yake,leo nitaandika mambo...
Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa...
Introduction
Nimeamua kuanzisha uzi huu mahsusi unaohusu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kama njia ya kukienzi chuo hiki kikongwe na cha kipekee nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Awali ya yote naomba ku declare interest kwamba mimi ni mhitimu kutoka SUA miaka mingi iliyopita wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.