1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe?
2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed?
3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa. Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao? Litafakari...
Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana katika mashamba ya chuo hicho hivi karibuni huku chanzo kikikwa bado hakifahamiki.
Ibada hiyo...
Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu.
Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za...
Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada
Tunatumaini
1)Uteuzi Mpya...
Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita?
Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini.
Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
Na Thadei Ole Mushi.
SUA wamekuja na panya wa Kupima Corona... Mimi nshaanza kuchoka na hawa panya wa SUA.
Sayansi hii ya kufundisha wanyama kunusa (Sniffing) kwa wenzetu ilianza muda mrefu sana. Ni mojawapo ya Technolojia ya kizamani kabisa. Huko Cuba Panya wameanza kutumika toka 1954 kunusa...
RESEARCH in the employment of rats to sniff landmines, TB bacteria and other hidden pathogens will soon enable the Sokoine
University of Agriculture (SUA) to field the rats to detect coronavirus infections.
Dr Georges Mgode, a senior researcher and manager of the SUA-APOPO rat research...
Baada ya mafanikkio makubwa ya utafiti wa matumizi ya Panya kwenye kutambua mabomu na vimelea vya kifua kikuu na mambo mengine, Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA wanasema kuna uwezekano mkubwa wa Panya hao kutumika kwenye kutambua maambukizi ya virusi vya Corona...
Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo?
Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo...
JOB TITLE: Lead Generator
Location: Iringa General Stores Branch - ABT
Job Summary
Provide specialist advise and support for day-to-day work, in order to execute predefined objectives as per agreed standard operating procedures (SOPs). Selecting this role has a compensation & benefit impact in...
Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI.
Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa!
Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi...
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya...
Uzi huu nimeamua kufikisha jamvin kwa lengo la kuonyesha njinsi Uongoz wa SUA unavyofanya mambo kwa kutokutafakari kwa kina kama Ifuatavyo;
Hivi punde uongoz umechukua maamuz ya kuwafutia pesa ya boom wanafunzi wa Esm na Brd huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa ya...
Wakuu habari zenu hapa ndani?
Nimeandika uzi huu kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii kwa ujumla, hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za serikali zinaendeshwa kwa utendaji mbovu, sasa leo naandika machache kuhusu chuo cha kilimo cha sokoine (SUA), kilichopo...
Kama ni muhitimu wa mafunzo ya kilimo kuanzia Diploma mpaka Degree basi njoo hapa tupeane updates za ajira/kazi hata temporary term iwe serikalini, Taasisi za kiserikali, kampuni binafsi, Mashamba mbalimbali makubwa n.k
KARIBUNI SANA VIJANA.
Habari ya muda huu wanajukwaa!
Naomba kufahamishwa / kuelekezwa namna ya kupata INVOICE kwa ajili ya kulipia ya Accommodation (makazi) na Tuition Fee (Ada) kwa chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA).
Maelekezo yaliyopo kwenye Barua ya kukubaliwa kujiua chuo na yale yaliyopo kwenye...
Habari zenu wakuu,
Nimetumiwa hili tangazo ya kuwa SUA wameshafungua raundi ya pili ya application. Naomba tukumbushane ndugu zetu, tuombe kabla ya tarehe 18/10/2020.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.