Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA..
Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake..
Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences
Nawakaribisha.
Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.
Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu...
Kwa waliosoma Mzumbe na SUA miaka ya nyuma watakuwa wanamjua huyu jamaa chek-bob.
Wajihi wake
Mrefu
Mweupe
Bichwa kubwa Sana lenye kipara
Miwani juu ya kichwa
Jinsi muda wote
Makalio makubwa
Huyu jamaa alikuwa ànapatikana kwenye Bar za Morogoro Mjini 24/7.
Alikuwa mishen town na mtoto wa...
The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) wishes to invite suitably qualified individuals, who are able to work full time in a dynamic academic environment to apply for two (2) positionsat the SACIDS Africa Centre of Excellence for Infectious Diseases of Humans and Animals in...
The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) wishes to invite suitably qualified individuals, who are able to work full time in a dynamic academic environment to apply for two (2) positionsat the SACIDS Africa Centre of Excellence for Infectious Diseases of Humans and Animals in...
Overview
The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) wishes to invite suitable qualified individuals, who are able to work full time in a dynamic academic environment to apply for three (3) positions at the SACIDS Foundation for One Health. The Postdoctoral Research Fellow in...
Takribani miezi 4 sasa imeisha toka ujenzi wa barabara hii ya makongo juu kuzinguliwa (November 1) lakini ujenzi wake umezidi kusua sua kiasi kwamba unatia mashaka kama kweli mradi huu upo au ni danganya toto.
Miezi 4 sasa hakuna maendeleo yoyote yaliyofanyika na hata hii kampuni ya JASCO...
Bodi ya mikopo ya wanafunzi kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo vikuu ilikuwa ikiiba pesa za wanafunzi hewa, walioacha masomo na hata waliofariki. Bahati mbaya hakuna hatua ya maana iliyochukuliwa.
Kuna mtindo mpya wa wizi. Vijana wetu wanapomaliza masomo na kufuatilia vyeti, huambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.