Sina nia mbaya wala lengo la kuwaharibia biashara zenu, ila ninyi kama taasisi kubwa nchini inayotumia resources nyingi kwenye tafiti mbalimbali za kilimo, hili la matunda yenu mmeshindwa kabisa.
Mfano mmoja kati ya mingi ni haya maembe yenu ya kisasa utakuta kati ya maembe na mapera 10...