Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa...