Bodi ya mikopo ya wanafunzi kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo vikuu ilikuwa ikiiba pesa za wanafunzi hewa, walioacha masomo na hata waliofariki. Bahati mbaya hakuna hatua ya maana iliyochukuliwa.
Kuna mtindo mpya wa wizi. Vijana wetu wanapomaliza masomo na kufuatilia vyeti, huambiwa...