Nawalinganisha kama ifuatavyo:
1. Viongozi
Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara.
Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati Nyerere, Magufuli na Sokoine.
Kwa sasa, kuna Tundu Lissu, Jerry Slaa, Joseph Warioba, n.k., lakini...