sudan

Sudan (; Arabic: السودان‎ as-Sūdān), officially the Republic of the Sudan (Arabic: جمهورية السودان‎ Jumhūriyyat as-Sūdān), is a country in northeastern Africa. It is bordered by Egypt to the north, Libya to the northwest, Chad to the west, the Central African Republic to the southwest, South Sudan to the south, Ethiopia to the southeast, Eritrea to the east, and the Red Sea to the northeast. Sudan has a population of 43 million people (2018 estimate) and occupies a total area of 1,886,068 square kilometres (728,215 square miles), making it the third-largest country in Africa and also the third-largest in the Arab world. Before the secession of South Sudan from Sudan on 9 July 2011, the united Sudan was the largest country in Africa and the Arab world by area. Sudan's predominant religion is Islam, and its official languages are Arabic and English. The capital is Khartoum, located at the confluence of the Blue and White Nile. Since June 2011, Sudan is the scene of an ongoing military conflict in its southern states.
Sudan's history goes back to the Pharaonic period, witnessing the kingdom of Kerma (c. 2500 BC–1500 BC), the subsequent rule of the Egyptian New Kingdom (c. 1500 BC–1070 BC) and the rise of the kingdom of Kush (c. 785 BC–350 AD), which would in turn control Egypt itself for nearly a century. After the fall of Kush, the Nubians formed the three Christian kingdoms of Nobatia, Makuria and Alodia, with the latter two lasting until around 1500. Between the 14th and 15th centuries much of Sudan was settled by Arab nomads. From the 16th–19th centuries, central and eastern Sudan were dominated by the Funj sultanate, while Darfur ruled the west and the Ottomans the far north. This period saw extensive Islamisation and Arabisation.
From 1820 to 1874 the entirety of Sudan was conquered by the Muhammad Ali dynasty. Between 1881 and 1885, the harsh Egyptian reign was eventually met with a successful revolt led by the self-proclaimed Mahdi Muhammad Ahmad, resulting in the establishment of the Caliphate of Omdurman. This state was eventually destroyed in 1898 by the British, who would then govern Sudan together with Egypt.
The 20th century saw the growth of Sudanese nationalism and in 1953 Britain granted Sudan self-government. Independence was proclaimed on 1 January 1956. Since independence, Sudan has been ruled by a series of unstable parliamentary governments and military regimes. Under Gaafar Nimeiry, Sudan instituted Islamic law in 1983. This exacerbated the rift between the Islamic north, the seat of the government and the Animists and Christians in the south. Differences in language, religion, and political power erupted in a civil war between government forces, strongly influenced by the National Islamic Front (NIF), and the southern rebels, whose most influential faction was the Sudan People's Liberation Army (SPLA), eventually concluding in the independence of South Sudan in 2011. Between 1989 and 2019, Sudan experienced a 30-year-long military dictatorship led by Omar al-Bashir. Due to his actions, a War in Darfur Region broke out in 2003. Bashir was accused of ethnic genocide. Overall, the regime left 300,000–400,000 dead. Protests erupted in late 2018, demanding Bashir's resignation, which resulted in a successful coup d'état on April 11, 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Sudan: Mpinzani Mkuu wa Rais ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mashtaka ya ugaidi

    Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
  2. Mwanamuziki maarufu auawa katika vita Sudan

    Shaden Gardood (37) ameuawa wakati mpigano ya kugombea madaraka yakiendelea kati ya vikosi vya Jeshi la Sudan dhidi ya Rapid Support Forces (RSF) katika Mji wa Omdurman, ikiwa ni siku moja baada ya pande hizo zinazopigana kuafikiana kupunguza mapigano. Gardood alikuwa mmoja wa watu maarufu...
  3. Kwa jinsi hawa waarabu wa Sudan wananyukana, tunaelekea kuwa na Somalia nyingine

    Saudi Arabia imejaribu kuwapatanisha ila wapi, kila upande una ubabe wa balaa....milipuko mjini Mahasidi wenyewe ni Abdel Fattah al-Burhan anapigana na kamanda Mohamed Hamdan Wakiachiwa hivi wataibadilisha hiyo nchi na kuwa kama Somalia, na hawatakawia kujilipua kwa mobomu hawa...
  4. UN: Viongozi wa Jeshi wanaopigana Sudan hawana nia ya kumaliza tofauti zao

    Umoja wa Ulaya (UN) imetoa angalizo hilo baada ya kuzungumza na pande mbili zinazopigana katika vita ya kuwania madaraka ambayo imeanza Aprili 15, 2023. Martin Griffiths, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa UN amedai kuwa mwendelezo wa mapigano umefika hatua mbaya na kutoa wito wa kuruhusu misaada ya...
  5. L

    China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  6. Jeshi Sudan laelekea kushinda vita

    Upepo wa mapambano kati ya majenerali wawili nchini Sudan unaonekana kubadilika ghafla dhidi ya Hemedti. Jeshi linaloongozwa na generali Burhani limesema kwa sasa wananchi wate waliobaki mjini Khartoum wabaki ndani na wasichungulie madirishani kwani wameanza kutumia vifaru kushambulia kutoka...
  7. Majeshi yakubaliana kusitisha Mapigano kwa saa 72 nchini Sudan

    Pande mbili zinazopigana Nchini Sudan zimefikia makubaliano hayo mapya ikiwa ni kutokana na majadiliano yanayoshinikiwa kutoka Mataifa ya Marekani, Uingereza, Umoja wa Mataifa na Nchi majirani. Sitisho hilo liliwekwa ili kuruhusu wananchi kuondoka pamoja na shughuli za kuwaondoa Raia wa Nchi...
  8. Aliyekimbia vita Sudan ajuta kurudi kwao

    Ahmad Shams ni mfanyabiashara aliyekimbia vita vya wenyewe nchini Lebanon takriban miaka 17 iliyopita. Akiwa Sudan alifanikiwa sana kibiashara baada ya kuanzisha mkahawa karibu na uwanja wa ndege wa Khartoum na jirani ya makazi ya watu wenye uwezo kimaisha. Machafuko yalipoanza wiki mbili...
  9. Pale dunia inapofumbwa kwa yale yanotokea nchini Sudan

    Mgogoro na vita baina ya Jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF umeingia siku ya 10 huku kukiwepo na amri ya kusimamishwa mapigano kwa masaa 72. Amri ya kusimamisha mapigano kuruhusu uokozi wa raia wa kigeni ilianza kutokea siku ya Ijumaa iliyopita ambapo watu waliruhuswa kusheherekea siku kuu ya...
  10. WHO yatoa tahadhari ya hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan

    Shirika la Afya duniani linasema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan na kusambaa kwingine. Wanamgambo wa RSF wametwaa maabara ya kitaifa yenye sample mbalimbali za magonjwa hatari ya mlipuko yanayojumuisha Polio, Tetekuwanga, Kipindupindu na mengineyo zilizokuwa zimehifadhiwa...
  11. Sudan: Kituo kinachofuga Simba chapungukiwa chakula kutokana na vita, wafanyakazi waanza kukimbia

    Kituo hicho cha Sudan Animal Rescue Centre (SARC) kinachofuga Simba 25 pia kina wanyama wengine wakiwemo gazelles, ngamia, nyani na fisi, kipo karibu na Jiji la #Khartoum ambapo kuna vita ya kugombea madaraka inaendelea. Simba mmoja anakula kilogramu 5 hadi 10 za nyama kwa siku jambo ambalo...
  12. Wamarekani wanaokimbia Sudan wakumbwa na ujambazi na uporaji

    Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha wameendelea kuhangaika ili na wao waweze kuihama nchi kuelekea Marekani. Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa...
  13. Marekani yasema Majenerali wanaopigana Sudan wakubali kusitisha mapigano kwa siku tatu

    Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini ambayo yameua mamia ya watu na kujeruhi maelfu ya wengine. Makubaliano ya awali ya kusitisha...
  14. Sudan: Wanadiplomasia na raia wa kigeni waendelea kuhamishwa kwa kasi

    Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum. Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Hispania, Argentina, Colombia, Ireland, Portugal...
  15. Mapigano yasababisha huduma za Intaneti kuzimwa Sudan

    Mtandao wa #NetBlocks umeripoti kuwa Vita ya pande mbili za Majeshi zinazopigana Nchini #Sudan imesababisha upatikanaji wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti kushuka hadi kufikia 2%. Mapigano hayo yaliyoanza Aprili 15 kati ya vikosi vinavyomtii Mkuu wa Jeshi, Abdel Fattah al-Burhan na vya Makamu...
  16. Uraia pacha huenda ndiyo sababu ya Sababu vita ya wenyewe kwa wenyewe Sudan

    Kila mmoja lazima ashangae kuzuka vita vya mara kwa mara nchini Sudan. Hii ni nchi ya kiislamu na ina wasomi wengi wa hali ya juu wa dini hiyo. Kumbe ina raia jumla 16000 wa Marekani wengi wao wakiwa ni raia pacha, yaani nusu ni wamarekani na nusu ni wasudan. Wakati vita vimepamba moto raia hao...
  17. M

    SUDAN: Maafisa wa ubalozi wa Marekani wameondolewa nchini Sudan

    Rais Joe Biden wa Marekani amesema jeshi la Marekani likiwa na ndege 6 za kijeshi za kubeba mizigo limewaondoa maafisa wa ubalozi na familia zao kutoka Sudan mpaka eneo la Siri nchini Ethiopia. Akiongea na waandishi wa habari, rais Biden amesema kwamba katika harakati hizo walishirikiana na...
  18. F

    Sudan kinachoendelea

  19. Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

    Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe. Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila...
  20. ACT Wazalendo’s statement on the situation in Sudan

    ACT WAZALENDO’S STATEMENT ON THE SITUATION IN SUDAN. ACT Wazalendo follows with great concern the on-going armed conflict in Sudan between Sudan Armed Force (SAF) and Paramilitary Rapid Support Force (RSF) from 15 th April 2023 and according to reports so far, the conflict has caused death of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…