suluhisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je Una Changamoto Ya Kusoma Biblia Kila Siku Au Ukisoma Huelewi? Suluhisho Limepatikana.

    Moja ya kitu ambacho hupaswi kukiruhusu ni siku yako kupita bila kusoma biblia yako na kutafakari. Tumekuandalia kundi zuri la wasap la kusoma biblia kila siku na kutafakari, sio hivyo tu, unapata ufafanuzi au uchambuzi wa sura moja ya biblia kila siku. Hii inakusaidia kuelewa kwa usahihi kile...
  2. Suluhisho Kubwa za Kemikali kwa Viwanda na Migodi

    Kuwezesha Ukuaji na Ufanisi: Suluhisho Bora za Kemikali na Huduma Zetu kutoka ISMANI COMPANY LTD! Tunatoa kemikali za hali ya juu kwa bei ya jumla na rejareja, zilizotengenezwa kwa viwango vya kimataifa. Tumejitolea kuleta ubora, usalama, na ufanisi katika shughuli zako za viwandani na...
  3. Msaada kwenye hili maana nishafika hospitali mara 2 lakini suluhisho bado

    Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia ni scabies nikapewa dawa lakini bado sioni mabadiliko, vinapona hapa na kuibuka kwingine. Ni...
  4. Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Kama kweli furaha inatokana na kitu fulani ambacho unakihitaji jee kwa nini baada ya kupata kitu hiko bado kuna vitu vingine vitakukosesha furaha na kukutia stress ? Yaani utajikuta umepata mtoto tayari,lakini kodi ya nyumba inakunyima raha ,je ni ipi faida ya furaha ya mtoto kama furaha hiyo...
  5. Ndumba mama ya Simba iliyofukuliwa uwanja wa Mkapa kipindi cha marekebisho itawagharimu sana, kuchezea uwanja wa karibu wa Uhuru sio suluhisho

    Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kutumika Simba imekuwa ikipata matokeo mabaya, Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare, Yanga imejipigia zake 5, Leo hii umetumika uwanja wa uhuru lakini bado hili sio suluhisho. Kipindi cha marekebisho ya uwanja, Yanga waliwazidi kete Simba...
  6. Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

    Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama...
  7. Msaada: Nini suluhisho la simu kupata moto sana, yaani iko overheated sana

    Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated...
  8. B

    Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

    Salam wadau Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado. Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili 1. Kufungua akaunti ya dola...
  9. Kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme inaweza kuwa suluhisho la tatizo la umeme?

    Habari. Nasikia zamani Dar watu binafsi hawakuruhusiwa kumiliki daladala za abiria. Usafiri ilikuwa shida sana. Baadaye serikali ikaja kuruhusu na ahueni ya usafiri ikapatikana. Serikali kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme. Huku miundombinu ya umeme iwe kama barabara zinavyotumika na...
  10. SoC03 Suluhisho juu ya bandari na mitaala ya elimu kwa Tanzania na jinsi ambavyo tutapata unufaikaji

    NAWAZA MENGI SANA NGOJA NISEME KITU ILI KILETE MABADILIKO KIDOGO Bandari zote hapa nchini zinaingiza Sh. Bil.795.226 kwa mwaka lakini TPA wanatumia asilimia 99% kwa upigaji tu (Kwa mujibu wa Majukwaa Mengi kwa sasa Yanavyoinasibu kuwa Bandari inawekezwa kwa sababu kuna upigaji Sina Takwimu...
  11. SoC03 Kujenga Madarasa Mapya kila mwaka sio suluhisho kwenye Elimu ya Secondary

    Tutajenga Madarasa Mapya hadi lini? Je kujenga Madarasa kila mwaka sio suluhu Kama kadri wanafunzi wanavyo ongezeka na madarasa mapya yanajengwa basi ni hatari na kuna wakati itafikia maeneo mengi yatakuwa yamegeuka kuwa shule, kwa hali ya sasa hadi viwanja vya michezo vya shule baadhi...
  12. Kwa hisia kubwa, kwa uzoefu wako, eleza chanzo na suluhisho cha tatizo hili

    NB: Mzaha uwe kando, chukulia ndo madogo zako
  13. R

    SoC03 Watoto wafundishwe haya mashuleni kwa suluhisho la ajira

    Tatizo la ajira kwa vijana limekuwa moja kati ya matatizo makubwa sana yanayosumbua jamii zetu. Tatizo hili limekuwa chanzo cha matatizo mengine mengi kama vile uporaji (panya road), ulevi uliopindukia, umalaya, migogoro mbalimbali kwenye familia inayopelekea familia kuvunjika. Vijana wanaambiwa...
  14. Risasi sio suluhisho (kumbukumbu zangu 1996)

    Ilikua usiku wa manane simu ikaita, na mara nyingi namba za nje ya nchi inamuwiaga vigumu kupokea..Akapokea na moja kwa moja sauti akaitambua ni ya nani""Safari hii mpigaji anazungumza vizuri kiswahili kuliko awali"". Mpigaji alikuja na ofa na akaiweka wazi kwa mlengwa namaanisha mpigiwaji...
  15. SoC03 Kilio cha vibarua viwandani

    Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu, Inafahamika wazi kabisa kwamba...
  16. SoC03 Uwajibikaji: Suluhisho la Changamoto za Sekta ya Afya na Ubora wa Huduma za Afya

    UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA Imeandikwa na: MwlRCT I. Utangulizi Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania? Uwajibikaji una faida nyingi, kama vile kuongeza uwazi, ufanisi, usalama, uaminifu, ushirikiano...
  17. Kama umechoshwa na Tabia mbovu ya Mwanamke wako , pitia hapa upate suluhisho na Umbadilishe Kirahisi

    Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ". Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !! Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia...
  18. SoC03 Mfumo wa miche ya Mahindi suluhisho kwa maeneo yanayo pata mvua Chache Tanzania

    Kutokana na Mabadiliko ya Tabia nchi, kumekuwepo na maeneo mengi sana ya nchi ambayo hupata mvua ndani ya mwezi na nusu tu na mvua hupotea mazima, au wanapata mvua miezi miwili pekee. Arusha ni moja ya maeneo ambayo kwa miaka mitatu sasa wanapata mvua chini ya wastani na hivyo mazao hasa...
  19. SoC03 Suluhisho la ajira wahitimu wa Vyuo Vikuu/ Kati, Veta

    Umaskini ni hali ya kukosa kumudu mahitaji ya msingi kwa binadamu,mfano Chakula,mavazi na malazi. Janga hili kwa sehemu kubwa bado Lina ikumba bara la Africa,Mwalimu Nyerere,alisema "taifa lina adui watatu ambao wanapaswa kuwatokomeza ambao ni Ujinga,maradhi,na umaskini".Kwa kiasi kikubwa ujinga...
  20. Suluhisho la maisha ya kuungaunga kwa watumishi wa umma haliko mikononi mwao bali liko mikononi mwa Serikali

    Salamu tawapa mchana! Watu wengi wannamini watumishi wanapaswa kujiongeza kwa kufanya shughuli zingine nje ya career yao au nje ya ofisi ndipo wataweza kuishi kwa ustawi. Mtumishi hakupaswa kabisa kujishughulisha na shughuli yoyote nje ya shughuli za serikali anazopangiwa na mwajiri wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…