MALEZI BORA SULUHISHO LA YOTE.
Ni wazi kwamba sisi sote tumekuwa wa kwanza na wapenzi wa misemo ya kiswahili hususani "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo", " samaki mkunje angali mbichi", " Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu". Je Hawa walimwengu ni kina nani haswa ambao watamfunza?, Je...