sumu

  1. X

    Mke wa mtu sumu, cheki kideo

    Jamaa kafumaniwa Hotelini, kaona mambo yasiwe mengi kaamua kujirusha kutoka ghorofani
  2. B

    Pre GE2025 CHADEMA, ACT, CUF na wengine, na hofu ya kuonja sumu

    1. Nani asiyejua hatari ya kuonja sumu kwa ulimi? 2. Upo wito halali wa kutelemka mabarabarani 23/24. 3. Pamoja na kuwaita ndugu wa damu tena wale nguli washindao mitandaoni 24/7 kwa majina yao: "Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote." 4. Ni mwendo wa kupita juu kwa juu, kama jambazi...
  3. I

    Natafuta sumu au mtego wa paka pori

    Kuna paka ananitia hasara ya kula kuku na bata, kila nikimvizia kwa lengo la kumuua nashindwa. Je nitumie sumu au mtego gani ili afe?
  4. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  5. sky soldier

    Utamaduni wa wamarekani weusi huchangia kuwa nyuma zaidi kimaendeleo, Vitu kama muziki wao wa hiphop sio wa kuendelea kuusikiliza unasambaza sumu

    Ni kweli kabisa wamarekani weusi walipitia utumwa lakini sio sababu ya wao kuendelea kuwa nyuma, Walichobaki kukipigia kelele ni kulipwa fidia za utumwa wa mababu zao ila ni kusubiri maembe chini ya mpera, hata waafrika wenzao weusi wanaohamia Marekani wanazidi kuwachapa gepu. Shule zipo...
  6. JanguKamaJangu

    Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu...
  7. Nsanzagee

    Kipimo cha ujinga cha wenye chuki dhidi ya Paul Makonda, ni kutokunywa sumu wafe!

    Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
  8. S

    Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

    Hali ya maisha ni ngumu sana Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani Unakuta familia inakutegemea lakini wewe...
  9. Mhaya

    Mwandishi aliyewahi kupinga vita vya Ukreini awekewa Sumu

    Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu. Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
  10. Erythrocyte

    Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
  11. Roving Journalist

    Mwalimu Mkuu aliyepewa fedha za TAKUKURU Afariki Dunia, yadaiwa amekunywa kimiminika chenye sumu

    Mnamo tarehe 14.09.2023 majira ya saa 1:30 asubuhi huko katika nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari Mtanila iliyopo Kijiji cha Igangwe Wilaya ya Chunya, Mkuu wa Shule hiyo aliyefahamika kwa jina la MAGWIRA NKUTA [41] alifariki dunia baada ya kunywa kimiminika kinachodhaniwa ni sumu. Chanzo...
  12. L

    Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  13. wankuru nyankuru

    TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

    Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani. Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake? Au ni bomu limetegwa?
  14. hermanthegreat

    Udini na Ukanda ni sumu kwa taifa lolote, Watanzania tujaribu kuizuia

    Habari wanajf. Swala hili linaloendelea mitandaoni watu wakijaribu kulinganisha swala la bandari na udini na Ukanda linazidi kukua. Likiwa kubwa litatoka kwenye mitandao litaanza kulitafuna taifa letu. Nasema ni sumu Kali kwasababu halijawahi kutulizwa kirahisi likianza hasa kwenye nchi za...
  15. Roving Journalist

    Wananchi watahadharishwa upandaji maua kiholela, yaelezwa kuna maua yenye sumu

    Msimamizi wa kituo cha Taifa cha kudhibiti matukio ya Sumu (NPCC) iliyopo katika Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali(GCLA) Yohana Goshashy ametahadharisha jamii kuacha kupanda maua majumbani kiholela badala wake wawaone wataalamu ili aweze kuwaonesha maua ambayo hayana madhara. Wakati wa...
  16. BigTall

    DOKEZO Nakatuba Mkoani Mara kimekuwa Kijiji cha watu kuuawa kwa sumu na ushirikina, Serikali iamke hali inatisha

    Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha imani za kishirikina na kuuana katika kijiji hicho hadi kusababisha baadhi ya vijana kukimbia na...
  17. Nyendo

    KWELI Maharage mekundu yenye umbo kama figo yasipopikwa vizuri huweza kuwa sumu

    Wakuu kinachosemwa juu ya sumu kwenye maharage mekundu ni kweli? Nimeona machapisho mtandaoni kuwa maharage mekundu ni hatari kwa afya zetu nikapata hofu ukizingatia maharage ndio mboga kuu kwetu wengi. Msaada wa kujua ukweli wa jambo hili.
  18. Saint_Mwakyoma

    Tuliowahi kuvuniwa mazao yetu shambani kimaajabu tukutane hapa tafadhali tutoe sumu

    Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground. Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu zimejaa haswa unapolima kilimo cha biashara sio kile cha gunia tatu au nne. Wote tuliowaipitiwa na...
  19. BARD AI

    DJ aliyerekodi Video wakati mkewe akinywa Sumu hadi kufa, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio hilo ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu cha 225 (c) cha Kanuni ya Adhabu. Upande wa Upelelezi umesema DJ huyo aliacha bila kuchukua hatua...
  20. SAYVILLE

    USM Alger waishitaki Yanga kwa kupuliziwa hewa isiyo salama vyumbani

    Taarifa inayosambaa ni kuwa Klabu Bingwa mtarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF, USM Alger wameishitaki Yanga kwa shutuma za kuwapulizia hewa isiyo salama katika vyumba vyao vya mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa. Pia taarifa zingine zinasema USM Algers walitishia kutoendelea na mechi hiyo ya...
Back
Top Bottom