Naomba kuuliza wataalamu wa jamii check. Maisha yangu yote naamini kuwa nyongo ya mamba ni sumu, lakini kuna bosi wangu mmoja tumebishana vikali akidai kuwa si sumu bali ni nyongo tu kama ya binadamu. Ukweli ni upi?
Watoto wawili wa Familia ya Tandula Ngasa, katika Kijiji Cha Mwakiloba Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamepoteza maisha na wengine saba kunusurika kifo baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu.
Akiwa kwenye mkutano wa Jukwa la tatu la Ushirika Mkoa wa Simiyu ambapo alikuwa mgeni rasmi, Mkuu...
Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi
--
Anaitwa DJ Brownskin...
Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote.
Mmoja wa...
Kiongozi wa wapiganaji wa Chechnya (kundi la waislamu) ambao wanampigania Putin na ambao wanafahamika kwa ukatili uliokithiri, amelia lia kutiliwa sumu nusra afe...
Kuna kipindi aliomba kama vipi Putin abonyeze vitufe vya nyuklia tu maana wamechoka...
Chechnya's battle-hardened leader...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako na doria za nguvu na zenye tija katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio makubwa ikiwemo kukamata watuhumiwa 14 kati yao wanaume ni 11 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa kusafirisha vipodozi vyenye viambata sumu na...
Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale.
Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu yote hivi inakuaje manjemba watatu wote wanakuja guest na mafuta...
OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wasafirishaji wa kemikali wamesema hakuna dereva anayepoteza maisha kwa kuathiriwa na kemikali kutokana na uhifadhi usiofaa wakati wakusafirisha.
Ufafanuzi huo umetolewa Mara baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii iliyorekodiwa na raia wa nchi...
Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni mali ya CCM anaweza sema ukweli na chama kikamla kichwa wewe mwingine ni nani upone baada ya kusema...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu (majina yanahifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi) wakazi wa Tunduma kwa tuhuma za kuingiza nchini vipodozi vya aina mbalimbali vilivyopigwa marufuku vyenye viambata sumu pamoja na bidhaa za magendo kupitia njia za panya.
Kamanda wa...
Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba?
Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
Huu uongo umekuwepo miaka mingi sana. Ukweli ni kuwa maziwa hayana nguvu yoyote ya kutibu sumu. Mtu anayekunywa maji na anayekunywa maziwa baada ya kunywa sumu wote wapo sawa.
Unakuta mtu anafanya kazi kiwandani, mgodini au sehemu yenye vumbi, jioni anapiga maziwa kwamba anazuia sumu. Na wenye...
Nimekuta mjadala huu sehemu. Inasemwa kuwa mijusi ina sumu na ni hatari. Pia imesemwa kuwa Mtume alisema atakayeiua atapata thawabu. Mambo haya yana ukweli wowote?
Nakumbuka siku hiyo nikiwa na miaka kama 12 hivi tukiwa Marekani mimi na familia yangu. Siku ilianza tu vibaya nikawa nimeamshwa na dada wa kazi saa 12:45 badala ya saa 1:00 (saa moja kamili) kweli nlikasirika sana. Sema tu yule dada wa kispaniola alikuwa mrembo sana ana shape hatari akaniomba...
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu...
Afisa uhifadhi wa wanyamapori daraja la kwanza wa hifadhi ya Taifa ya Serengeri, Deus Mwakajegele ameuawa kwa kuchomwa mshale na watu wasiojulikana alipokuwa akitekeleza majukumu yake.
Tukio hilo limetokea jana Jumamosi Januari 21, 2023 katika eneo la Nyanungu wilayani Tarime baada ya kuchomwa...
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.
Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba...
Takriban watoto 18 wamefariki dunia nchini Uzbekistan baada ya kunywa dawa iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa India Marion Biotech, kulingana na Wizara ya Afya ya Uzbekistan.
Wizara hiyo imesema watoto 18 kati ya 21 waliokuwa na ugonjwa wa kupumua waliotumia syrup ya Doc-1 Max papo hapo...
Kwa wafugaji wa mbwa naombeni ushauri nitumie sumu (dawa) gani kupambana na viroboto
Nimetumia kwa nyakati tofauti na kwa ushauri wa watu mbalimbali dawa kama ticks fix, alpha dip, dawa unga ya kunyunyizia, bens attack, dawa ya kuua wadudu wa pamba sabuni ya unga na maji moto ila nakuwa kama...
Takriban watu 22 wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa hospitali nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu.
Vifo hivyo vimetokea katika vijiji viwili kwenye jimbo la Bihar, ambapo uuzaji na unywaji wa vileo umepigwa marufuku.
Katika tukio hilo wanaume katika wilaya ya Saran walianza...
Ng’ombe 15 wamekufa katika kijiji cha Losirwa wilayani Monduli Mkoa wa Arusha wakidaiwa kuwa wamekula majani yenye sumu yaliyoota maeneo mbalimbali kijijini hapo.
Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Monduli, Fank Mwaisumbe amesema hadi jana zaidi ya ng'ombe 15 wamekufa kwa kula majani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.