sumu

  1. Buyaka

    Mihogo mibichi inayouzwa barabarani Mwenge hadi Africana ina sumu!

    CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI! Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona. Sisi tukitaka kuua mtu tunampiga na mawe, petroli, viberiti... taharuki. Lakini njia moja ya kuua mtu bila kuzua...
  2. The Assassin

    Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

    Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali. Putin anasema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu. Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi...
  3. mtwa mkulu

    Kenya 2022 Mfahamu George wajackoyah: Mgombea urais Kenya anayesisimua kwa Bangi na sumu ya Nyoka

    Mgombea George Wajackoyah Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
  4. M

    Ukraine imejikuta katika wakati mgumu wa kulazimika kuzikubali ndoa za jinsia moja. Misaada ya mabeberu ni sumu

    Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
  5. Gama

    Ukraine yadai Urusi imetumia makombora ya sumu (phosphorus)

    Mamlaka za Ukraine zimesema kuwa majeshi ya Urusi yamekuwa yakitumia kemikali aina ya Phosphorus kufanya mashambulizi katika maeneo kadhaa ya mapambano. Kemikali hiyo ikiwa imechanganywa na mpira huwaka na kutoa moshi mweupe na joto kali. My take: majeshi ya urusi yametumwa kupunguza uwingi wa...
  6. OKW BOBAN SUNZU

    #COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

    Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo. Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza...
  7. Pascal Mayalla

    Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni. Serikali ya...
  8. Suley2019

    Tabora: Amuua mke wake kwa kisu kisha ajiua kwa kunywa sumu. Aacha Ujumbe

    Mwanaume mmoja wilayani URAMBO Mkoani Tabora amemuua mke wake kwa kumchoma visu na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe wa barua kwa familia ya mke wake. "Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja, mtuzike pamoja". Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mwenyekiti wa kitongoji cha...
  9. JanguKamaJangu

    Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

    Bunaza Doto Manyanda (34) anadaiwa kumuua mpenzi wake, Happiness Mzalile Zakaria (23) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni kisha naye kujiua, marehemu wote wakiwa ni Wakazi wa Charambe kwa Mbiku Wilayani Temeke, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea jana Jumatano Juni 8, 2022 ambapo...
  10. Nyankurungu2020

    Uzembe wa January Makamba umesababisha sasa Migodi kuvujisha sumu maeneo mengi hapa nchini

    Mh Waziri Mkuu nashangaa sana kusikia ukilalama siku ya Mazingira duniani huko Dodoma na kutupia mpira wananchi eti wao ndio wapambane kudhibiti utililishaji wa maji ya sumu toka kwenye migodi. Hii ni ngumu sana. Chanzo na tatizo ni January alipokuwa ofisi ya Makamu wa rais Mazingira. Hapa...
  11. Dr Matola PhD

    Je, wajua kwamba kunguni wanasumbuwa Ulaya na Marekani? Kama na wewe unasumbuliwa na kunguni hii ndio sumu kiboko yao

    Kunguni ni wadudu wadogo wa familia ya Cimicidae Wadudu hawa huishi kwa kufyonza damu ya wanyama wenye damu moto (mamalia na ndege). Spishi hii huishi mara nyingi katika vitanda vya watu na masofa majumbani kwetu. Watu wengi kwakutokuelewa wanadhani na wanaamini kunguni uwapata watu wachafu...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Nilipeleka Posa kwa binti mrembo, nimeitwa Kisabengo

    Kwema Wakuu! Tokea Tangazo la Walamba Asali kujitangaza kuwa Mzinga wa nyuki umejaa pomoni ukifurika asali, wakasema huu ndio wakati wa Kula masega ya asali na asali yake. Nilidhamiria kujiunga na umoja wa familia za Walamba Asali kivyovyote. Wapo walionibeza kuwa ninapenda mserereko, wengine...
  13. C

    Wachambuzi wa Moroco na Afrka Kusini hawajakaangia sumu teams zao?

    Yaliyotokea yanasikitisha sana, Walibya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya Berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nchi hizo waanze kuzishukia teams zao kwa hasira zote maana simba hapa kuna team ilipewa escort ya pikipiki moja ikalalamika wachambuzi...
  14. kyagata

    Hofu ya maji yenye sumu tena yatanda mkoani Mara

    Jipatie nakala yako
  15. Pascal Mayalla

    Wito kwa NEMC kuhusu uchafuzi wa mazingira kwa sumu, usiishie kwenye fine tu, wafidie waathirika na kama sumu hiyo ni Lethal, wapandishwe kizimbani!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya Leo ni wito kwa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC, Kuwapiga Faini Mgodi Kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwa Sumu, usiishie kwenye kuwapiga tuu fine tuu, bali wawafidie waathirika na kama sumu hiyo ni lethal...
  16. P

    Kunyweni sumu wote mliochukizwa na kazi za awamu ya tano

    Mliochukizwa na ununuzi wa ndege, kunyweni sumu Mliochukizwa na upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, kunyweni sumu ya panya Mliochukizwa na ujenzi wa reli mnywe sumu, mliochukizwa na ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji, mnangoja nini kunywa sumu.? Mliochukizwa na flyover Dar kwa nini msinywe...
  17. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Habari zenu wanajamvi, naandika haya nikiwa nahofu kutokana na hali ninayohisi; nahisi mwili kupungua mwilini, nahisi baridi tofauti na awali bila mabadiliko ya hali ya hewa. Nilishawahi kuleta Uzi humu jukwaani kuhusu maswaiba ya kazini na mauzauza kisa cheo, Sasa nahisi nimelishwa kitu...
  18. BigTall

    Rais Museveni atoa amri wanaozungumzia kifo cha Spika Oulanya kuwa alipewa sumu wakamatwe

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua. Pamoja na hivyo, bado familia ya...
  19. JanguKamaJangu

    Baba Mzazi wa aliyekuwa Spika wa Uganda asema mwanaye alipewa SUMU iliyosababisha kifo chake

    Nathan Okori ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah amesema Mtoto wake (Spika Jacob) alipewa sumu ambayo ndio imesababisha kifo chake. Mzee Okori ametoa kauli hiyo leo wakati wa shughuli za mazishi ya Spika Jacob. "Sitaki niomboleze na kulia kwa ndani tu...
  20. JanguKamaJangu

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Mgodi wa Dhahabu wa North Mara wakanusha kuhusika na uchafuzi wa maji

    Baada ya kuwepo kwa tetesi juu ya uwepo wa kemikali za sumu kwenye maji ya Mto Mara ambapo imesababisha samaki kufa na maji kuwa meusi, Mgodi wa Dhahabu wa North Mara umekanusha kuhusika katika uchafuzi wa maji ya mto huo. Hili hapa tamko kamili... **** Mgodi hauhusiki na uchafuzi wa maji ya...
Back
Top Bottom