Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji.
Medical system haipo kwa ajili ya kutibu na kufuta magonjwa bali kuyaongeza na kuyaongeza zaidi, watu...
UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni
Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea...
"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)
_"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)...
Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. Hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa maziwa. Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha madhara u anayoyapata kwa kutumia maziwa mara kwa mara...
Nchini Tanzania ni kama maeneo mbalimbali barani Afrika, kumekuwa na ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uvunaji wa mazao yake ili kujipatia fedha lakini bahati mbaya kumekuwa na uvunaji wa mazao machache huku mazao mengine yakiwa hayajulikani.
Kwa ufugaji wa kisasa Nyuki huvunwa mazao sita ambayo ni...
Limeandikwa na BBC
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
21 Agosti 2021
Imeboreshwa 10 Septemba 2021
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya...
Karibu watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi katika nchi jirani ya Angola, waziri wa mazingira anasema.
Eve Bazaiba alisema watu 12 walikuwa wamefariki dunia. Alisema kuwa DR Congo itauliza fidia ya uharibifu...
Niliwahi kuwa nawashwa sana masikio kwa ndani, nilijaribu sana kwenda hospitali nikatumia dawa zikawa zinatuliza ila sikujua kuwa kuna kitu ninachokula karibia kila siku ndio kinacho tengeneza sumu kwenye damu kiasi kwamba nikila Karanga, Tangawizi, Parachichi… nasikia masikio yana washa sana...
Watafiti nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka ya jararacussu ambaye sumu yake ina protini ambzo zinavyoweza kupambana na #COVID19
Vitu vinavyopatikana katika sumu ya Jararacussu inaweza kupambana na PLPro ambayo ni enziyamu ya Corona bila kuathiri seli nyingine, ufanisi wake ni 75%...
Aina ya sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu.
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada...
Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka sana. Moja ya dalili za sumu hii kwa mwanadamu ni kizungu zungu, kuuumwa kichwa, kuharisha na...
Watu 24 wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Sokoto.
Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Ali Inname amewaambia waandishi wa habari kwamba familia hiyo ilitumia kimakosa kemikali ya mbolea ambayo ilionekana...
Uvumilivu wa kisiasa ni miongoni mwa kanuni kuu katika dhana ya demokrasia. Hata hivyo katika jamii yetu bado tunahitaji kuukubali ukweli huu ili kuwa na demokrasia yenye kuchochea utawala bora katika nyanja zote.
Kuna umuhimu na ulazima mkubwa wa kutambua kuwa, si kila mtu atakuwa na...
Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani
Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka kufanya Kwa Mbowe!
Huku mtaani kuna tetesi zinazagaa kuwa Mama umesimamishwa Uongozi wako na Jeshi...
Wana JF, salaam nyingi.
SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA:
“Naongea na simu”.
Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini?
Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
Kuna kuku wangu hapa amekula sumu ya panya nikamkuta amelegea nikamuwahi kumchinja sasa hapa mguu nje mguu ndani kuhusu kumla.
Yaani kuna akili inanijia nimuepuke wakati huo si mara ya kwanza kula nyama ya namna hiyo basi nachanganyikiwa tu.
Nimeshakula nyama zilizotokana na ajali ya kugongwa...
Habari wana JF.
Leo nimefuatilia live wakati Eng. Mfugale anaagwa Dar. Kwa maelezo machache ya familia, idara na wizara ni wazi kabisa Eng. Mfugale alipewa sumu.
Wito wangu kwa Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwa kutumia vyombo na njia zote. Kwa sababu bado hajazikwa nafasi ya uchunguzi wa...
Mnamo agosti tarehe 20 mwaka wa 2020, kiongozi wa Upinzani wa Urusi na mwanaharakati wa kupambana na ufisadi Alexei Navalny aliwekeea sumu ya kulemaza neva kwa jina Novichok na kukimbizwa akiwa hospitalini katika hali mbaya .
Uchunguzi ulionyesha kupatikana kwa smu hiyo katika damu yake na hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.