sumu

  1. TheGreatASA

    Kwanini wanasema simu ya mpenzi wako sumu?

    Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia. Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu. Lakini sasa hivi kama...
  2. MK254

    Washika dau kwenye soko la mahindi Tanzania wakiri wenyewe tatizo la sumu ni changamoto kwao huko

    Wamekutana na kujadili namna ya kushughulkia hilo tatizo ili kuboresha soko ukanda wote huu, ikikumbukwa walivyopiga makelele wakati walipoambiwa warekebishe, wenyewe wanafahamu hilo tatizo kimya kimya halafu walitaka kulazimisha kwa kupiga ukunga. Wamelalamika kwamba TBS ndio huwakwamisha kwa...
  3. Replica

    Tabora: Mganga wa jadi afariki akinadi kinga yake dhidi ya sumu

    Mtu mmoja ambaye amebainika kuwa ni mganga wa jadi, Robert Masumbuko, amefariki dunia mkoani Tabora wakati akijaribu kuwaaminisha wateja wake kwamba ana uwezo wa kuwapatia kinga dhidi ya sumu yoyote ambayo mtu anaweza kuinywa pasipo kudhurika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo...
  4. Erythrocyte

    Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  5. R

    Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

    Nakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe. Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna...
  6. Analogia Malenga

    Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro amesema watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 40-42 yaliyotokea katika mtaa wa Kanyerere kata ya Mkuyuni mkoani humo. "Kando ya mwili wa marehemu kulikutwa ujumbe uliosomeka...
  7. Libya

    UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  8. Analogia Malenga

    Je wajua, ni 7% ya nyoka ndio wana sumu inayoweza kuua binadamu?

    Duniani kuna zaidi ya aina 3,000 zilizogundulika hadi sasa. Katika aina hizo ni 600 tu ndio wenye sumu. Katika nyoka wenye sumu, ni aina 200 sawa na 7% ndio wana sumu ya kuweza kumuua binadamu. Nyoka wengi huonekana nchi kavu, lakini 70% katika aina za nyoka waliopo wanapatikana kwenye maji...
  9. Analogia Malenga

    Suala la sumu kuvu Tanzania, liligundulika tangu 2016

    Hivi karibuni kuibuka mjadala baada ya Kenya kuzuia mahindi kutoka Tanzania kwa sababu yana sumu kuvu inayopelekea vifo vya wakenya Katika maktaba tumegundua suala la sumu kuvu ambayo huiotea mazao mengi ya nafaka imekuwepo tangu 2016 ambapo katika wilaya za Chemba na Kondoa Wilaya ya Dodoma...
  10. Analogia Malenga

    TBS na SUMUKUVU: Vichochezi, Madhara na Udhibiti wake

    SUMUKUVU, VICHOCHEZI, MADHARA YAKE NA UDHIBITI ________________________________ ______ 19 AUG, 2020 USUNGILO HOTEL (Yusto Wallace) Utangulizi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Ni shirika la umma chini ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, lililoundwa chini ya Sheria ya Viwango, Nambari 3...
  11. Victor Mlaki

    Ifahamu sumu kuvu (mycotoxins)

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya pamoja na Shirika la chakula na Kilimo Duniani (2018) wanaitafsiri sumu kuvu kuwa ni aina ya ukungu unaojitokeza kwenye nafaka kutokana na kuvu (fungi) jamii ya Aspergillus, Fusarium na Penicillium. Sumu kuvu "mycotoxins" huweza kuzaliwa kwenye nafaka, matunda...
  12. J

    Waziri Mkenda: Tunaendelea na zoezi la kumwaga sumu kuua nzige ambao sasa wameelekea Monduli pia Simanjiro!

    Waziri wa Kilimo Prof Mkenda amesema kesho zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige litaendelea baada ya rubani aliyetelekeza ndege pale Kilimanjaro kurejea. Mkenda amesema kuna kundi la nzige wadogo wameelekea Monduli hivyo wanawafuatilia ili wawatekeze. Pia Simanjiro zoezi halikukamilika kutokana...
  13. J

    Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya. Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho...
  14. Red Giant

    Huu uongo kuwa nyongo ya mamba ni sumu ulianzishwa na nani?

    Nyongo ya mamba ni nyongo kama nyongo zingine. Hizi habari kwamba ni sumu zilitoka wapi?
  15. Offshore Seamen

    "MV PROBO KOALA" meli ya Sumu, iliyoleta maafa Ivory Coast

    MV PROBO KOALA hii ilikuwa ni meli ya kubeba mafuta iliyokuwa imekodiwa na kampuni ya Traffigura yenye makao makuu nchini Singapore. Meli hii ilikuwa na usajili wa nchi ya Panama na kumilikiwa na kampuni ya wagiriki Prime Marine Management Inc. Meli hii ilikuwa imebeba petrol yenye ubora wa...
  16. Analogia Malenga

    Jamaa kakopa sumu kaenda kujiua, nikawadai ndugu zake?

    Nina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini Kuna jamaa jana kaja kakopa sumu ya panya nikampa akiahhidi kuwa angelipa asubuhi, kumbe kaenda kujiua, sasa nawaza ndugu zake wanilipe kwa kuwa ndio faida yenyewe aisee Kwa huku Nilipo mara nyingi mzigo naufuata Ifakara sasa nawaza...
  17. Miss Zomboko

    Tunduru: Mama aua mtoto wake kwa sumu ya panya kwa masharti ya kupata kazi za ndani Arusha

    MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda. Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
  18. Miss Zomboko

    Manyara: Mama aua watoto 3 kwa kuwalisha sumu kutokana na ugomvi wa kifamilia na mume wake

    Mama mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Regina Daniel (24) mkazi wa Louxmanda Kijiji cha Bashnet Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara, anatuhumiwa kuwauwa watoto wake watatu kwa kuwalisha maembe yenye sumu inayodaiwa ni ya Panya . Tukio hilo la kusikitisha limetokea Desemba 5 mwaka huu ambapo...
  19. GENTAMYCINE

    Ni nani aliyepandikiza Sumu hii isiyo ya Kiutu ndani ya Mioyo ya Waswahili (Watanzania) wengi hasa hasa Siku hizi?

    Unakuta Ndugu au Rafiki yako kabisa labda amepatwa na Msiba wa Mzazi wake lakini Wewe ambaye pengine kwa sasa anakuona huna Kipato (Pesa) hakutaarifu au unakuja Kusikia kutoka kwa Watu wengine. Na kama haitoshi hapo hapo tena unakuta Ndugu yako kabisa labda anauguza Mzazi wake lakini hakutaarifu...
  20. Z

    Wapinzani wanapinga miradi ya Awamu ya Tano na kuwalisha sumu watu kwamba haina maana

    Kwanza: Wao sera yao ni ya majimbo .hivyo miradi mikubwa ya kitaifa kwao haina maana maana miradi mikubwa ya kitaifa ni kwa ajiri ya taifa na siyo jimbo.Hivyo mtu kutoka majimbo ya sera ya chadema anaona wivu mkubwa kwa sababu anahisi kodi yake ingebaki jimboni Kwake ili inufaishe watu wake...
Back
Top Bottom