sumu

  1. JanguKamaJangu

    Naibu Waziri Abdallah Sagini: Mto Mara hauna sumu, endeleeni kutumia maji

    Mbunge wa Jimbo la Butiama (MB), Jumanne Abdallah Sagini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amewataka wananchi wa jimbo lake la Butiama kuondoa hofu kuhusu Mto Mara uliokuwa unasadikika kuwa na sumu. Akizungumza na Wananchi wa jimbo lake la Butiama aliwaomba kuamini taarifa...
  2. Roving Journalist

    Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
  3. JanguKamaJangu

    Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Juzi kati niliona memba humu JF akiandika juu ya taarifa za kemikali zenye sumu kutoka mgodini zilivyoharibu mazingira kwenye Mto Mara na kusababisha vifo vya samaki na pamoja maji kuwa meusi. Baadaye habari hiyo ikasambaa na kuwa kubwa mwisho Serikali ikiingilia kati na kufanya uchunguzi...
  4. John Haramba

    Madai ya sumu Mto Mara kutoka migodini, wananchi wazuiwa kutumia maji, kula samaki, uvuvi, Serikali yatoa tamko

    Sakata la maji ya Mto Mara kubadilika rangi huku Samaki wakifa ikielezwa kuwa kuna kemikali za sumu limechukua sura mpya baada ya malaka husika kutoa kuhusu kinachoendelea. Maji hayo yamebadilika rangi na kuwa meusi huku wakazi wanaoishi katika vijiji vilivyopo kandokando ya Mto Mara wakiwa...
  5. JanguKamaJangu

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

    Tuweke mzigo mezani Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma: BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA Jitihada zimefanyika ili kujua...
  6. BigTall

    Mbeya: Polisi wamkamata kijana akisafirisha vipodozi vyenye sumu

    Mnamo tarehe 06.03.2022 majira ya saa 02:00 usiku, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Kata ya Chimala, Tarafa ya Ilongo Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya na katika msako huo alikamatwa mtuhumiwa EMANUEL MSIGALA [42] Mkazi wa Uyole – Mbeya akiwa amepakia na kusafirisha vipodozi...
  7. Analogia Malenga

    Lindi: Mama amnywesha mwanaye wa mwaka mmoja sumu kwa kushindwa kukaa naye

    WATOTO wawili mkoani Lindi wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwamo la mama mzazi kudaiwa kumnywesha sumu ya kuua magugu kutokana na kinachodaiwa kuchukizwa na kitendo cha mkwe wake kukataa kumchukua mjukuu wake huyo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka wilayani Nachingwe na Ruangwa...
  8. John Haramba

    Ukatili wa kijinsia ni ‘sumu’, Watanzania wapewa somo la utayari wa kutoa taarifa

    Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
  9. K

    Rwanda yapata chanzo kipya cha umeme kutokana na gesi ya sumu

    Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya cha umeme kitaweza kuchangia hadi 30% ya matumizi ya umeme wa nchi nzima
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mwanza: Mwanamke amuua mama mkwe wake kwa sumu

    Jeshi la polisi linamshikilia mwanadada NEEMA MWAMBUSI USWEGE(29) mkoani Mwanza kwa kosa la kumlisha mama mkwe wake sumu kwenye chakula na kumsababishia umauti. Inadaiwa kuwa mama wa JAMES BULAYA (38) bi ANETH MANYIRIZU umemkuta umauti huo tarehe 13/1/2022 saa 12:00 mchana alipopelekwa...
  11. gimmy's

    Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

    Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau. Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
  12. MK254

    Kenya yashikilia meli iliyosheheni sumu ya nyuklia iliyokuwa inapeleka Tanzania

    Mashini za kukagua miyonzi ya nyuklia zinaonyesha humo kuna kontena moja lenye sumu ya nyuklia, kulingana na sheria za kimataifa, Kenya inalazimika kuagiza meli irudi ilikotoka kule India, ila sasa Watz watang'aka kwamba wanahujumiwa, itabidi waalikwe waje waone wenyewe kwanza, maana hata sijui...
  13. scatter

    Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

    Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu...
  14. Frumence M Kyauke

    Fira: ni nyoka wenye sumu ambao ni wana wa nusufamilia Elapinae katika familia Elapidae

    Uainishaji wa kisayansi Himaya:Animalia (Wanyama) Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo) Ngeli:Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini) Oda:Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka) Nusuoda:Serpentes (Nyoka)...
  15. J

    #COVID19 Chanjo hazina viambata hatari na sumu

    Je, chanjo zina viambato hatari na sumu? Hapana. Ingawa viambata vilivyo kwenye lebo za chanjo vinaweza kutisha, (k.m. zebaki, alumini, na formaldehyde) kwa kawaida hupatikana katika mwili, chakula tunachokula na mazingira yanayotuzunguka - kwa mfano, katika tuna. Kiasi katika chanjo ni kidogo...
  16. C

    Pata huduma ya Kusafisha tumbo. Kile unachokula ndicho kinachokuja kuwa sumu mwilini kwako !

    Copy & Paste kutoka kwenye hii link ya Group la WhatsApp. Safisha tumbo lako mara kwa mara ili uboreshe afya yako. Afya yako ni mali zaidi ya mali yako! Chanzo kikuu cha magonjwa mengi ni matokeo ya chakula tunachokula kugeuka kuwa sumu mwilini. Ndio maana Watalaam wa afya wanahimiza sana...
  17. Analogia Malenga

    Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

    Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula. Mtu mmoja anaweza kula...
  18. Fantastic Beast

    Madodoso ya namna hii ni sumu inayoua ufanisi wa kazi, ndiyo maana taasisi nyingi za umma tija ni ndogo

    Nikiambiwa nim-rate huyu mkuu wa idara aliyeandaa hili dodoso kwa wafanyakaze wake basi nitampa 0/5. Huyu hata taratibu na sheria za utumishi wa umma hazijui na kama anazijua basi ameamua makusudi kuihujumu taasisi yake. Kiwango cha ufanisi wa mfanyakazi hupimwa kwa OPRAS na sio kwa madodoso ya...
  19. Yoda

    Demokrasia na umaskini ni kama mafuta na maji, umaskini ni sumu ya demokrasia

    Bila kuuondoa umaskini ni vigumu sana kusimika demokrasia. Nchi zote zenye demokrasia iliyoshamiri zimefika hapo baada ya kupiga hatua kubwa kuuondoa umaskini. Mambo matano ya yanayofanya umaskini kwa sumu kwa demokrasia ni; 1. Umaskini unadumuza kwa kiasi kikubwa uwezo wa raia kufikiri na...
  20. Analogia Malenga

    TBS: Juisi ya Ceres yenye sumu haijaingia nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamesema sharubati(Juisi) ya Ceres ambayo ilitahadharishwa kuwa na sumu kuvu haijaingia nchini Tanzania Mamlaka ya Kimataifa ya Kudhibiti Usalama wa Chakula(INFOSAN) ambayo ipo chini ya FAO na WHO walitahadharisha kuhusu juisi hiyo TBS walichukua hatua ya...
Back
Top Bottom