Ndugu watanzania wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo.
Kwa kifupi sana, nadhani baada ya Tundu Lissukuona trend ya kampeni za Mh. Magufuli: Dodoma, Tobora, Shinyanga, Simiyu, Mara, na baadaye mapokezi yake kule Mwanza, wanamwanza ndiyo walivunja rekondi...
Ndugu zangu,
Kwa kifupi,
Nilikuwa namsikiliza Mh. huyu katika maongozi yake, ila inaonekana kama amekaa kaa kishari kishari vile
()
Kama akishindwa itakuaje sasa? Maana sioni vyama vingine kama vinatoa vitisho tisho kama hivi, upande huu kuna nini?
Asante,
Nawasilisha
Kejuu
Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui.
Inaelezwa kuwa Alexei ambaye amejipambanua kama mwanaharakati wa kupinga rushwa amewekewa sumu hiyo kwenye chai yake...
Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
Kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 1984 wa Prof. Norman Nyazema mbobezi wa Pharmacology wa huko Zimbabwe anasema nyongo ya mamba siyo sumu na taarifa zinaonesha ikikaushwa na kusagwa inauzwa nchi za Asia kama uchina kwa matumizi ya kuhamasisha tendo la ngono ( aphrodisiac ) kama lile vumbi la...
Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu.
" Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga "
Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu.
" Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? "
Msaga Sumu anaendelea.
" Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi...
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Beatrice(42) amewaua wanae wanne kwa sumu, Mjini Naivasha Kenya. Watoto hao ni wana umri kati ya miaka miwili hadi minane
Imedaiwa ya kuwa mwanamke huyo alikuwa amesimamishwa kazi kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali, NGO mjini humo miezi miwili iliyopita...
Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli
------ UPDATE----
Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Nami niungane...
Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana.
Kinachoumiza ni kutokamatwa wala kuhojiwa kwa watesi wake licha ya kuwatambua na kuwataja kwa majina...
Hii Corona ukiifikilia kwa undani ipo na Siri kubwa. Kwa wanaotafakari kwa undani lazma wajiulize hivi ilikuwaje. Mara Waziri wa afya Uingereza kaugua korona, kidogo Waziri mkuu oh Mara imeingia ikulu ya Marekani. Kwa wataalamu wa Mambo huwenda ilikuwa sio kwa bahati mbaya ili ionekane wazi kuwa...
Mwanzoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu, tulimwona Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa, akiongea na waandishi wa habari, akielezea tukio la kulazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mzee Mangula.
Katika taarifa yake hiyo alitutueleza...
Taharuki!kiwanda cha A -Z chadaiwa kutiririsha maji machafu yanayosababisha athari kwa watu na mifugo.
Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wananchi wa kata ya Ormoti jijini Arusha wamekilalamikia kiwanda cha A -Z kwa kutiririsha maji machafu yanayoleta athari kwa wananchi na mifugo...
Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma.
Mungu ibariki Chadema
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ikishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na Taasisi mbalimbali imebaini kwamba ndani ya mwili wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Mangula kulipatikana na sumu,uchunguzi kuhusu tuhuma ya sumu hiyo ilivyoingia mwilini upelelezi bado unaendelea...
Watoto wawili nchini Uganda wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula kitafunwa aina ya chapati kilichotengenezwa kwa sumu ya kuua wadudu badala ya mafuta.
Watoto wote 13 wanatoka familia moja magharibi mwa Uganda na inasemekana kwamba waliokuwa walikuwa na umri wa 5 na...
Kwa hali ya Maisha iliyopo saivi Ni bora nisioe au nioe basi tuu maana kuzini kumekuwa kama jambo la kawaida. Nipo hapa geto naishi na jirani yangu ambaye ni mfanya kazi mwajiliwa wa sarikali, pia ameoa, NA mimi ni mwanafunzi bado.
Sasa kinacho nipa shida kila siku ni kuwaza kuhusu hawa...
Tumepita hapa Magomeni tukaona watu wanakimbizana kushuka kwenye vioo vya basi nikahisi linawaka moto dereva wetu akasimamisha, kusogea naona watu wanashuka na kukimbia
Kuulizia tunaambiwa kuna mtu kaacha mfuko alie pembeni akahisi una kitu alipofungua ni nyuki wanapishana kwenye viti na kuuma...
Michael Aroni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda amenusurika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata Daraja la IV la alama 26 katika matokeo ya Kidato cha 4 yalitolewa jana
Michael amehitimu Shule ya Sekondari St. Agrey na alitarajia kupata ufaulu wa Daraja la kwanza ila matarajio yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.