swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Ninaweza kuongeza mkopo benki kabla ya kurejesha mkopo wa awali?

    Habari wakuu, nina swali; Nimekopa hela CRDB na kufungua biashara yangu, ila kutokana na mahitaji zaidi kuna kifaa natamani kuongeza kwenye biashara yangu, kutokana na uhitaji wake wa haraka. Je, ninaweza kwenda Bank kuongeza mkopo? Watanipa?
  2. Z

    TANESCO hawana namna ya kufanya umeme usikatike maeneo ya Hospitali?

    Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni. Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike...
  3. U

    Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

    Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi. Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF. So...
  4. Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

    Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya. Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu...
  5. Swali: Hivi ni kwanini Tanzania hakuna Profesa au Daktari (Phd holder) ambaye ni mkulima?

    Ni kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo na wanaishi maisha yao yote kwa kulima?
  6. J

    Swali kwa wapinzani: Je, Samia agombee 2025 au ampe kijiti chuma kingine kama Magufuli?

    Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea. Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi. Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na...
  7. Kama jibu lake ni ndiyo, swali lako litakuwa lipi?

    4
  8. Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

    NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi. Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?
  9. Nimepiga sana simu Ofisi ya Rais - UTUMISHI, haipokelewi!

    Hello JF, Samahani hivi hii namba ya ofisi ya Rais utumishi, unaweza piga muda wowote au ni muda wa kazi tu? Nimepiga sana haipokelewi.
  10. Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

    Hellow Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti Ipo hivi kuna familia ina watoto wa kike 3 na wa kiume mmoja wa kike wote hawajaolewa mama yao anasema watoto wake wamerogwa ili wasiolewe...
  11. T

    Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

    Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida...
  12. Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

    Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu... Mimi ninalo jibu...
  13. Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

    Swali makini: Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
  14. R

    Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali) 1. Kama mkataba una manufaa, kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri...
  15. Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

    Habarini nyote, Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine. Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo. Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo? Ni hayo tu 🙏🙏🙏
  16. Swali kwa Great Thinkers tu. Kama shetani ni baba wa uongo, kwanini kashindwa ku fake miujiza hii?

    Shetani anatajwa kwenye maandishi matakatifu kuwa ni baba wa uongo, na tumeamini hivyo, lakini kuna vtu ambavyo shetani na makuwadi wake wa soķo huria wakiwemo manabii feki, wachungaji feki, mashehe wa mchongo, waganga na wachawi hawajawahi kuiiga. 1. Bikira kupata mimba bila mwanaume 2...
  17. F

    CCM mnasema IGA sio mkataba bali mikataba itakuwa ni HGA, sasa wajibuni Watanzania swali hili

    Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari. Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria...
  18. M

    Naomba nisaidiwe hili swali langu

    Habarini wote. Samahani mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka Jana 2022. Nikachaguliwa chuo cha udsm lakin kutokana na matatizo ckufanikiwa kwenda kusoma. Nikaomba wanicancell ili niweze kuomba tena mwaka huu....lakin tatizo linapokuja kuna baadhi ya vyuo nikiomba kinakubali ila chuo cha muhas...
  19. Wanaume njooni tujibu swali la huyu mrembo!

    Mimi namjibu kama ifuatavyo. Fanya kama mchezo wa kombolela Mwanamume anadokoa kidogo unakimbia sebuleni akikushika anadokoa tena unaponyoka unaludi chumbani anadokoa hakikisha kilA Akidokoa asitumiee sekonde 25. Karibuni kwamajibu zaidi.
  20. Prof Mbarawa kuhusu DP WORLD selection, naomba kufahamu haya

    Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender. Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified Hadi DP WORLD kupita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…