swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Swali Fyatu: Sijui Nicheke au Nilie?

    Nikicheka ntaambiwa nina dharau najifanya najua sana. Nikicheka kimyakimya ntaambiwa nina kiburi. Nikilia ntaambiwa kwani we ndo unauchungu kuliko wengine? Unalia nini sasa kwani hukujua? Nikishika hamsini zangu ntaulizwa kwani hujali? Hakuna kinachotokea ambacho hakikutabirika au kujulikana...
  2. Swali: Je kuna watu kwenye mapenzi wana kipaji au uchawi kujua kila unachofanya wao wakiwa mbali na wewe?

    Wasalaam, Jamani hii dunia Mungu aliumba watu, nilikuwa na demu wangu huyu demu alikuwa anajua kila kitu ninachotaka kufanya hasa kama nina mpango na demu mwingine, aidhq atajua huyo demu ana madhara au hana mfano kama demu ana majini au mashetani au mchawi sana huyo demu wangu alikuwa anq...
  3. Mkoa wa Pwani unasubiria nini kufungua minada ya soko la ufuta?

    Kinasubiriwa nini kufungua minada ya soko la ufuta? Au hadi akina Kangomba wamalize kuukusanya Kwa wakulima? Wakulima wataendelea kudhulumiwa Kwa bei za unyonyaji hadi lini?
  4. Swali Fyatu la Mwezi: Wakimpa Sifa Zake, Watapunguza za Kwao?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna watu ambao tunawakumbuka kwa umahiri na weledi katika kazi, vipaji au matendo yao. Michael Jordan aliichezea timu ya mpira wa vikapu ya Chicago Bulls na kujionesha kuwa ni mchezaji bora Zaidi wa mchezo huo duniani. Wengi wanalijua jina la Michael Jordan lakini ni...
  5. R

    Swali la kizushi: Kwanini Tundu Lisu na Mbowe hawako active humu JF?

    Nikisema hawako humu namaanisha by their true identity. Wanaweza kuwepo kwa fake IDs, but to me , it is most unlikely kuwa wapo kwa fake IDs.
  6. Punyeto: Kila unachopaswa kujua

    Punyeto ni nini? Punyeto ni tabia ambayo inajulikana sana kwa vijana na hufanyika kwa kujichua sehemu za siri kwa ajili ya kujiridhisha kimapenzi. Hata hivyo, tabia hii ina madhara mengi kiafya ambayo yanaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya. Katika makala haya, tutajadili madhara...
  7. Uliza swali lolote kwenye masomo (PCM/PCB/PMC)

    Kama title inavyosema hapo juu. Kama una swali lolote la PHYSICS, CHEMISTRY, MATHS AND CUMPUTER STUDIES. Uliza hapa...
  8. Hili swali lina nitafakarisha sana?

    Wadau salaam. Naamua mpo safii kabisa, kwa wenye changamoto basi ni dua zangu Mungu akufanyie wepesi. Kabla sijaingia katika mahusiano swali langu kichwani lilikua " hivi hawa watu wanaitana wapenzi, nini wanaenjoy na vipi wana feel kufuatana fuatana....!?!?!" Sikupata jawabu zaidi ya...
  9. Swali chokozi kwa wanawake wote walio kwenye mahusiano

    Kwanini unaendelea kugawa namba kwa wanaume wanaoonyesha nia ya kukutaka kimapenzi wakati tayari uko kwenye mahusiano na mwanaume wako?
  10. Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
  11. Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

    Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika Tuliza kicha tafakari hili swali Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
  12. SWALI: "Ni akina nani" watakuwa na ujasiri wa kununua mali za Musiba hali wakijua mali hizo zilikopatikana na namna zilivyo patikana?

    Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
  13. Swali kwa wajuzi wa Kiswahili:"executioner" inatafsiriwa vipi Kiswahili.

    Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa vipi Kiswahili? Naona tafsiri hapa;"mchinjaji","mnyongaji". Certainly ni "mchinjaji" na...
  14. Swali kwa Baraza la Madaktari na Wizara ya Afya

    Ombi: Sijapita muda mrefu hapa JF, naona jukwaa jipya la ku fact check mambo. Sasa sijui tunasubmit issues namna gani hapo, kwa sasa natumia jukwaa hili la mchanganyiko nikiomba mods kunisaidia kama hii thread yangu inaweza kuhamia kwenye jukwaa la Jamii Check. Swali langu kwa wadau wa afya...
  15. D

    Uliza swali lolote kuhusu lishe ya mwanadamu

    Wakuu mnakaribishwa kuuliza chochote kuhusiana na lishe na afya ya mwnadamu kwa ujumla.Ili kuelimishana na kuongeza maarifa lakini pia kujifunza njia salama za ulaji kuepuka matatizo ya kiafya.
  16. Msaada: Swali from C++ programming language

    1) Identify element of process operator overloading 2) Expalain stream unary and binary operators
  17. H

    Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

    Habari zenu Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako...
  18. Zipi sababu za Club ya TP Mazembe kuporomoka kimafanikio?

    Wanamichezo wenzangu wana-jf, Nimejiuliza hili swali ila bado sijapata jibu kwamba nini kinapelekea Mazembe kupitia wanayopitia siku hizi? Nimekosa majibu hebu nijibieni, maana wamenishangaza sana?!
  19. F

    Je, umeweza kujibu swali hili maarufu? Kati ya kuku na yai nini kilitangulia?

    Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa? 1. Ni kuku kwanza, halafu yai. Kimamtiki ni sawa na ndivyo tunavyoona kila siku, kuku anataga yai. 2. Ni yai kwanza, halafu...
  20. M

    Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

    Naam, Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa. Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…