Ndg zangu ambao hatujuani mliomo humu, na wanachama wengne wote,
hope mko vizuri.
bila mambo mengi naomba nifanye kilichonileta hapa:
je siku watoto wa mkeo wakianza kukudhihaki na kukudharau kwa namna yoyote, utachukua hatua gani?
na kama hali hiyo iliwahi kukutokea ulijisikiaje, na ulifanya...