syria

  1. Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  2. Yanayojiri: Vita ya Syria na Waasi

    Jeshi la Syria limetangaza hatua ya "kuondoa majeshi kwa muda" katika mji wa kaskazini-magharibi wa Aleppo, ambako makundi ya waasi yalizindua shambulio la ghafla dhidi ya maeneo yanayoshikiliwa na serikali kwa mara ya kwanza katika miaka mingi. Jeshi lilisema Jumamosi kuwa makumi ya wanajeshi...
  3. Putin nyuma ya Syria katika mgogoro wa Syria na Uturuki

    Hapa sasa nachanganyikiwa niwe upande upi. Maana Uturuki ndo Ottoman Empire yenyewe na movies zake zinaoneshwa sana Azam. Sasa wanapopambana na Syria... Napata kigugumizi. Putin safi sana.
  4. Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

    Wanaukumbi. Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad. Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria. UP DATE=============== ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia...
  5. Uasi Syria

    Majeshi ya waasi yamefanya mashambulizi makubwa Kaskazini-Magharibi mwa Syria, na kuyateka maeneo ya wanajeshi wa Rais Bashar al-Assad, huku wapiganaji 180 wa pande zote mbili wakiuawa kwenye mapigano pamoja na raia 19. Kundi hilo la Hayat Tahrir al-Sham (HTS) tayari limechukua vijiji kadhaa...
  6. U

    Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
  7. Hakuna Cha โ€˜Pray for Israelโ€™ au Iran - Wacha Wapigane Hadi Wachoke! Mpalestina wa Buza na Muisrael wa Bonyokwa kaeni kwa kutulia

    Miโ€™ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida. Kwa nini? Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
  8. Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi

    Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi. ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡
  9. Vikosi vya anga vya Uturuki vimeshambulia maeneo ya wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria na Iraq

    Kawaida ya watu wenye roho mbaya,wauaji,makatili na wenye ushetani. Huwa wakimaliza kula wengine wanarudi hadi kwao. Uturuki ni Taifa la Kiislamu. Imagine linashambuliwa. Huko Ulaya ambako kuna makafiri wengi Waislamu ndo wanapenda kukimbilia.hawataki kwenda Egypt,Saudia...
  10. ISIS wanajikusanya syria kumdunda assad

    Wale wamba wanaojinasibisha na uislam ilhali mate do yao siyo, wanajipanga kumuondoa madarani Assad Jamaa hao ambao waumiapo huenda kutibiwa Israel, wameonekana kuwa na morali safari hii Syria ni njia inayotumika kupeleka silaha gaza na lebanon. Wakati huohuo netanyahu na msaidizi wake...
  11. U

    Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
  12. Yani Syria imegeuka kuwa dampo la biashara na shughuri haramu za mataifa maana ni ngumu kuwa detected hapo.

    Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
  13. Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

    Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!. Mwenye jibu anisaidie.
  14. Russia yatungua makombora 13 Israel huko Syria

    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ Jeshi la Russia limetungua makombora 13 ya Israel yaliyolenga mji wa Tartus ilipo Naval Base ya Russia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia shoots down Israeli missiles? Israel launched missiles to attack targets in the Syrian city of Tartus, where a Russian naval base is located. As a result, all 13...
  15. Hizbullah waingiza uwanjani kombora la FAD-3.Wapiga milima ya Golan,jimbo la Syria lililotekwa na Israel mwaka 1967

    Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo, Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
  16. Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

    Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria. Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Marekani, ilifanyika mwanzoni mwa wiki. Vyombo vya habari vya...
  17. Ndege ya Kivita ya Marekani imeangushwa huko Syria Pilot kutokome kusiko julikana

    Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army. BREAKING: According to initial reports, an American fighter jet crashed in government-controlled eastern Syria...
  18. I

    Mshukiwa wa Shambulio la Kigaidi Ujerumani Achochewa na Itikadi za Islamic State, Waendesha Mashtaka Wasema

    Kijana mmoja raia wa Syria siku ya Jumapili aliamriwa kushikiliwa kwa tuhuma za mauaji na uanachama katika kikundi cha kigaidi cha kiislam cha Isis kuhusiana na shambulio la visu la Solingen nchini Ujerumani lililosababisha vifo vya watu watatu na wanane kujeruhiwa katika tamasha la kuadhimisha...
  19. Vikosi vya Arab Force's vyawatimua Wamarekani huko Syria

    Vikosi vya Arab Force's vinavyomuunga mkono Bashir Asad vimeteka visima vya mafuta vilivyokua vikidhibitiwa na Marekani vya Al Omar oil refinery pamoja Water station wanajeshi wa Marekani waonekana wakipaniki kutuma ndege vita kushumbalia mwisho Marekani kuiba mafuta middle east umefika...
  20. U

    Msafara wa magari makubwa ya Kijeshi uliobeba silaha nzito kutoka Syria kwenda Lebanon wasambaratishwa na ndege za kijeshi za Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea Lebanon Mungu ibariki Israel Hezbollah claims convoy of trucks struck by Israel on Syrian-Lebanon...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ