Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ametangaza mabadiliko makubwa katika utoaji wa huduma za Mamlaka ya Usajili na Utambuzi wa Watu (NIDA), ikiwemo kuanza kutoza ada kwa wananchi na taasisi...
Ikumbukwe Kuwa Mheshimwa Raisi alitoa muda wa mwaka Mzima kwa wananchi waliokosea taarifa zao NIDA zirekebishwe.
Lakini cha ajabu NIDA Amekaidi kurekebisha mwaka wa kuzaliwa tuu wanaweka mazingira Magumu Kama kihitisha cheti cha darasa la 7 nk.
Nahisi haya ni mazingira ya Rushwa Kama Rais...
Ndiyo, NIDA ni haki yako kama raia, kwa sababu taarifa za utambulisho wa taifa ni sehemu ya haki zako za msingi za kutambuliwa kisheria na kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi kupitia NIDA. Kupitia NIDA unaweza kupata Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN), kufungua akaunti ya benki...
Mimi kuna kitu huwa kinanichanganya hususani katika suala la kuomba kazi utaambiwa vigezo ni namba za Nida au kitambulisho cha taifa lakini bado utaambiwa ulete barua mbili za wadhamini..
Sasa mimi huwa najiuliza ikiwa tayari umeambatanisha namba zako za Nida barua za wadhamini ni za kazi gani...