TAARIFA KWA UMMA
ACT Wazalendo tunaipongeza Tume ya Haki za Binaamu na Utawala Bora (THBUB) kwa taarifa yake iliyotoa kwa umma kwamba inafuatilia matukio mawili ya mauaji yaliyotokea hivi karibuni hapa Zanzibar, tukio la kwanza lililotokea Kidoti, Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja tarehe...
Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM.
Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya...
Wazungu kuna kitu wanaita classified information! Hizi ni taarifa kificho zinazofahamika kwa kaliba fulani ya watu ndani ya mamlaka ya nchi..
Hizi huwa ni taarifa za siri zinazowahusu viongozi wa nchi mambo yahusuyo nchi ambazo kama zikivuja kwa wakati huo nchi inaweza kuingia matatani
Huitwa...
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
Wananchi wa Kijiji cha Ikuvilo, Kata ya Luhota, Wilaya ya Iringa Vijijini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao ili waweze kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao.
Hayo yamesemwa na Mdau wa maendeleo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakili Sosten Mbedule mara baada ya kuhakiki...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
Wadau hamjamboni nyote?
Msako magaidi duniani kote unaendelea
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
December 31, 2024
France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria
By Reuters
Today, 12:19 pm
France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali.
Kama utakuwa free unaweza ukafanya hivi pia nyumbani kwako
Ahsante
Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa
Kukosekana kwa maji kwa muda mrefu kumegusa maisha yetu ya kila siku na kumeunda hatari...
Salaam Wakuu,
Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi.
Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni.
Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya siasa wengine wanaotajawa katika hizi stori ni viongozi wa juu kabisa.
Hivi kiuhalisia serikali...
Nimesoma sehemu ila sina uhakika kama ni kweli
A US-made F-16 aircraft was shot down in the Zaporizhia region as it was preparing to launch a missile strike, Russian News Agency, Tass, reported.
“The F-16 aircraft was in position to launch a missile strike on the region, and it was shot down.”...
Adili Mkwela, almaarufu kwa Jina la Adili Chapakazi, Hosabati, ametoweka hewani na nyumbani kwake hajapatikana wala kuonekana kutokea majuzi.
Adili ni msanifu wa michoro (graphics designer), mwanamuziki, basketballer, pia ni movie director na producer.
Ametwnheneza na kuongoza videos za...
Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024.
Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.