1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania...
Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien.
Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
baada
caf confederation cup
cs sfaxien
dhidi
jeshi
jeshi la polisi
kuvunja
mashabiki
mchezo
police
polisi
simba
simba sc
taarifa
tamko
tukio
uwanja wa mkapa
viti
vurugu
wengi
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara.
Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena.
Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu.
Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Menejimenti ya Wizara hiyo kusimamia na kuviwezesha vitengo vya Mawasiliano kwa Umma vilivyopo katika Vyombo vya Ulinzi ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji katika utoaji wa taarifa akiamini taarifa ni hitajio la msingi la...
USAJILI WA WASICHANA NA WAVULANA WALIOKATIZA MASOMO YA ELIMU YA SEKONDARI
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima kupitia mradi wa SEQUIP-AEP unaotekelezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Benki ya Dunia imeanza usajili wa wasichana na wavulana waliokatiza masomo ya Elimu...
Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa.
Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea.
Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima nyingine wakaboresha...
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza masikitiko yake na kulaani vitendo vya upendeleo vinavyodaiwa kufanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). TEF limezitaka taasisi zote zinazojihusisha na haki za binadamu, kama LHRC, kulaani vitendo vya ukiukwaji wa haki bila kuegemea...
Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi.
Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye nilibaini ni tapeli alijitambulisha kwamba ni Afisa Utumishi Mkoa wa Mwanza, alikuwa akiwapigia...
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha, Mawasiliano Salama, na Usalama wa Kidigitali.
Mafunzo haya yalilenga kuwapa washiriki ujuzi muhimu wa...
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?
Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,
Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa...
Hii scene ilipangwa tu
1. Kwanza unakamatwa kwa purukushani na inadondoka begi lenye vitambulisho wala si simu wala kingine! Ni ili watu watambue katekwa Nani
2. Millard Ayo anafanya coverage ya masaa 24 ku report kinachoendelea wakati siyo tabia yake
3. Inatoka report ya polis aina ya...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kung'ara katika uwanja wa usimamizi wa fedha za Umma. Katika hafla ya tuzo iliyofanyika usiku wa tarehe 29 Novemba 2024, DCEA ilitangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa...
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.
Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.
Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia.
Hii iwe hata kwa matangazo mengine...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi kuwasaidia wapiga kura kusoma orodha ya majina vizuri ili wote waliojiandikisha wapate fursa ya kupiga kura.
Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya...
Wakuu,
Sarakasi za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaendelea huko Mbeya mambo yameanza kuchanganya!
Zoezi la upigaji kura katika kata ya Ubaruku limesitishwa kwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi. Hadi kufikia saa tatu asubuhi, hakuna taarifa rasmi au maelezo ya kina yaliyotolewa kuhusu sababu ya...
Kwa muda mrefu sasa,Kampuni ya Ukopeshaji Pesa ya Mtandaoni ijulikanayo kama BahariPesa imekuwa na Tabia ya Kutoa siri za wateja wao hasa wale wanaodaiwa na kutuma taarifa zao kupitia namba za watu wengine bila kuwahusisha watu hao pindi wanapotumiwa taarifa hizo. Pamoja na BahariPesa licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.