taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Kuna balozi huwa "zinaajiri" waandishi wa habari ili ya kuwapa taarifa za mambo yanayohusu nchi zao katika vyombo vya habari, hii pia ni espionage

    Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo. Ila sijamsema Sugu na Bongo flavor honour
  2. M

    Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajira za ualimu ambazo usaili ulisitishwa, atujulishe hapa.

    Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine...
  3. A

    KERO Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijalipa wawezeshaji wa mradi wa SEQUIP kwa miezi miwili mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  4. Waufukweni

    Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  5. Eli Cohen

    Israel imeahidi kitita cha Tsh Bilioni 13.2 ($5M) kwa yeyote atakayesaidia kurudisha mateka kutoka Gaza

    Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9. === Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu...
  6. Ojuolegbha

    Password (nywila) imara ni muhimu ili kulinda taarifa zako katika vifaa vya kielektroniki na programu tumizi

    PASSWORD (NYWILA) IMARA NI MUHIMU ILI KULINDA TAARIFA ZAKO KATIKA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI NA PROGRAMU TUMIZI Password au Nywila imara na ya kipekee ni muhimu ili kulinda taarifa zako na programu tumizi (application) zilizopo katika vifaa vyako vya kielektroniki. Password au Nywila ni ya kwako...
  7. K

    Ripoti za kila siku zinaonekana kama ni fake! wananchi hawapati taarifa

    Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu. Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie...
  8. jingalao

    Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  9. BLACK MOVEMENT

    Kenya kikao cha Balaza la mawaziri kikiisha lazima taarifa itolewe ya walicho azimia, Tanzania ni kimya

    Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa. Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
  10. Bitcoinbase

    DOKEZO TAMISEMI Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama

    Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama. Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena lakuhamisha taarifa zake ahangaike kiasi Cha zaidi ya Miaka. Huu ni uonevi kwa watumishi , sio...
  11. The Watchman

    Umewahi kupotoshwa na chanzo cha taarifa ulichokuwa unakiamini? hali ilikuwaje na ilikuathiri kwa kiwango gani?

    Salaam wakuu, tayari ni weekend Mimi mara kadhaa nimekutana na upotoshaji kutoka vyanzo vya taarifa ambavyo nimekuwa nakiviamini sana, jambo ambalo linanithibitishia kuwa upotoshaji unaweza kufanywa na yeyote kwa kujua au kutokujua. Je wewe Umewahi kupotoshwa na chanzo cha taarifa ulichokuwa...
  12. Matulanya Mputa

    Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
  13. B

    LGE2024 TAMISEMI: Msifiche taarifa toeni lakini mlinde amani

    https://m.youtube.com/watch?v=n0BhBYsZeyw Dkt. Grace Magembe naibu katibu mkuu OR TAMISEMI awapa ukweli waandishi wa habari na serikali kwenda kijiditali katika kuelimisha umma wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari wasambaze taarifa sahihi na hasa kipindi hiki kuelekea 27...
  14. JamiiCheck

    Swali la siku: Taarifa gani umekuwa ukizisikia kuhusu Ugonjwa wa Kisukari unahitaji kujua Uhalisia wake?

    Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii. Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa. Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari? Pia...
  15. The Watchman

    SI KWELI ITV wamechapisha taarifa Lissu amesema, "safari yetu imejaa mashaka, hatuaminiani ndani ya chama chetu"

    katika pitapita zangu katika mtandao wa X nimekutana na chapisho hili kumhusu Tundu Lissu Wakuu uhalisia wa chapisho hili ni upi?
  16. Roving Journalist

    CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Dodoma, Tanzania Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana. Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina...
  17. Aramun

    Kwanini hakuna mpango wa maalum wa kujuza umma ikitokea kiongozi amepata maradhi?

    Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia! Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo vikubwa viliripoti. Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?
  18. GENTAMYCINE

    Hizi taarifa nne muhimu mnazificha ili iweje? Sasa Mwamba wa taarifa zilizojificha nazianika hapa

    1. Inadaiwa Wachezaji Aziz K na Kibwana Shomary WALIPIGANA Vyumbani baada ya Mechi kumalizika huku kila Mmoja akimlaumu Mwenzake. 2. Kuna tetesi zinasema Mwanachama Mwandamizi Mmoja mwenye Bifu Kubwa na Boss wa Timu baada ya kunyimwa Fedha zake na Madaraka aliyekuwa akiyataka na sasa Katengwa...
  19. JamiiCheck

    Fanya hivi ili kujilinda na taarifa zinazopotoshwa kuhusu wagombea wa uchaguzi

    Wakati wa uchaguzi, TaarifaPotofu husambazwa kwa wingi ili kuwasafisha au kuwachafua wagombea. Hakikisha Unahakiki kila Taarifa kabla ya Kuiamini.
  20. B

    CHADEMA tovuti yenu mtandaoni haifunguki, sasa wanachama wanapataje taarifa?

    Hiki ni kipindi muhimu sana katika chama chochote cha upinzani hasa tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa 2024. Lazima chama kionekane kipo active katika kipindi hiki muhimu kwa kwa kuhakikisha taarifa zake za mabadiliko ya kisiasa yapo muda wote kwa wananchi. Ndani ya tovuti kunakuwa na mawasiliano...
Back
Top Bottom