Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha.
Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
Anonymous
Thread
kazi
mpya
nembo
taasisitaasisi za umma
ubunifu
umma
wabunifu
zao
Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa.
Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika?
Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
Hili wazo limenijia kitambo ila nilikuwa bado sijapata msukumo wa kuliwasilisha.
Kuna kipindi mtandao wa Twitter ulikuwa ni uwanja unaoheshimika, ukijaa malumbano ya kisiasa na kijamii na kuna kundi fulani la raia ilikuwa imejikita kule katika kukosoa na "kuirekebisha" serikali. Ikafika wakati...
Bajeti ya magari ya serikali kila mwaka Bilioni 600, Hii pesa haimaanishi kuwa inanunua magari pekee na pesa ikaisha.
Hivyo kwanini Serikali iwe na utaratibu mzuri Kila Taasisi Ijinunulie Magari yake kutoka kwenye Mishahara Ya wafanya Kazi, tuone kama watanunua V8 na VX kama wanavyofanya sasa...
✳️ UVCCM YACHANGIA WHEEL CHAIR TANO (5) KUWAUNGA MKONO TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO
🗓️07 Aprili, 2024
📌Karimjee, Dar es Salaam.
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi imechangia Wheel Chair tano kuunga mkono jitihada zinazofanywa na taasisi ya Mama ongea na Mwanao ya kuwasaidia...
Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.
Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?
DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona...
Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination.
Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini...
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ni imani yangu ujumbe huu utafika kwa wote, na kadhalika utawafikia Walengwa na mara Moja wataacha Tamaa na tabia zisizoridhisha..
Kwanza niwasifu baadhi ya Maafisa wa Serikali wanaofanya kazi kwa weledi sana, na kujituma na kuifanya sehemu ya kazi kuwa kama ni...
Anonymous
Thread
kuomba
kupokea
ofisi
rita
rushwa
sheria
taasisi
taratibu
uhamiaji
vifo
Rais ambaye ndiye mlinzi namba moja wa KATIBA ya nchi anasema ni KIJITABU.... na hakuna uwajibikaji wowote kwenye hilo (Ibara ya 26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria za Jamhuri ya Muungano.)
Bunge letu linapokea na kupitisha kwa mbwembwe miswada yote ambayo ina...
Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe.
Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
Awali Member wa JamiiForums.com anadai baadhi ya Maafisa wa Afya wamekuwa wakichezea mifumo ili ionekane baadhi ya Dawa na Huduma hazipo kwenye vituo vyao wakati Wanufaika wa Bima ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wanapohitaji, akitoa mfano hali hiyo imetokea katika Taasisi ya Moyo Jakaya...
Maofisa watendaji wakuu wa taasisi yoyote ile ni maofisa waaandamizi kabisa wa kampuni au taasisi yoyote ya umma.
Kwa miaka mingi kumekuwepo na teuzi na tenguatengua za watendaji wa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali jambo linoonyesha kuwa kuna tatizo kwani taasisi hizo ama zimeitia...
Ndugu wapendwa!
"Ukitaka kuokoka lazima utambue uwepo wa shetani kwanza"
Siyo kwa ubaya ukweli ni kwamba Rushwa ipo ndiyo maana tuliunda taasisi ya kupambana na rushwa!
Huwezi kupambana na kitu ambacho hakipo!
Siku moja nikiwa nafanya kazi yangu ya ufundi umeme bosi wangu akanitania kwa...
Hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Hospitali ya Kijeshi ya Mbalizi ikihudhuriwa na Brigedia Jenerali wa JWTZ Charles Mwanziva, Mwambata wa Kijeshi wa Ubalozi wa MarekaniLuteni Kanali Gerald Mathis, Mkurugenzi Mkazi wa WRAIR-DoD Tanzania, Mark Breda na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua MRINDOKO amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kusimamia taasisi za serikali kutunza mali na maeneo yote wanayoyasimamia ili yasivamiwe.
RC Mhe. Mwanamvua MRINDOKO ameyasema hayo katika mkutano wa kusikiliza kero uliofanyika tarehe 05 Machi, 2024...
Mtwara. Kwa kutambua ugumu unaowakabili baadhi ya wanafunzi kukidhi mahitaji yao muhimu, taasisi ya Dido Mwanafunzi Initiative (DMI) kwa kushirikiana na Female Future Program Cohort 9 imetoa msaada wa sare za shule, madaftari na viatu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Mtwara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.