Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
Zaidi ya vijana 70 wanaounda Taasisi ya GoodWill Foundation wamemuunga mkono Rais Samia suluhu Hassan kwa kujitokeza kujitolea damu kwenye Kituo cha damu salama kilichopo Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi walijumuika kutoka Vyuo mbalimbali vya Dar es salaam, wamefika uamuzi huo baada ya...
Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo yake itakuwa na madhara makubwa sana haswa Kwa watumishi wa umma ambao changamoto hii ni kubwa sana...
TLS ni body corporate, ina common seal, ni chama chenye historia kubwa katika nchi, ndio maana serikali imeingiza mipango yake kwenye TLS, sheria za nchi hii haziwezi kwenda bila kushirikishq TLS, ndio ukitaka kuchukua hatua za kinidhamu kwa mawakili, TLS wapo kama wajumbe, ukitaka kupata...
Kwa muda mrefu sasa Marekani imekuwa ikijinasibu kuwa ni kinara wa usawa duniani, ikijitangaza kwa msingi wa katiba yake na maadili yake, inatenda haki kwa watu wake wote bila kujali rangi, dini au wanakotoka. Na mara nyingi ikiwa ikitumia kisingizio hicho kama ni mamlaka ya kimaadili, na...
Familia na dini zimekuwa zikiaminika kama taasisi muhimu katika hatua za awali za malezi na makuzi ya watoto wadogo na hata vijana wa rika balehe kwa kuwapa mafunzo na miongozo inyowajenga kiimani, kiakili na kiroho.
Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi kufikia 2024 katika nchi ya Tanzania kumekuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
Kuna mambo Yako wazi kabisa na hauwezi kumlaumu Rais yoyote wa JMT kwa sababu Katiba imetoa Mwanya
Rais wa JMT ni sawa kabisa na Mfalme ndio sababu first Born wa Rais wa awamu fulani humu Mitandaoni alibatizwa kama Prince
Tangu enzi za Nyerere taasisi ya urais iliwahusu pia Ndugu na...
Wakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash wakanipa huduma. Ila ukihakiki ile control number inaonesha ipo invalid maana yake kuna wajanja wanakula...
Naomba nijue ni chuo hiki au nini nimeingia kwenye website yao ila sijaridhika sana yaani nimeshindwa kukifahamu kiundani majukumu yake na kipo chini ya wizara gani. Kama ni chuo kinatoa course gani Kwa level gani?
Wiki kadhaa niliingia CRDB na shida zangu kama mteja. Baada ya kukutana na wafanyakazi na kuwaeleza shida yangu ikawa kama mteja mkorofi. Jamaa nikashangaa wanakuwa wakali, eti "unatakiwa uwe na CRDB App". Nilipowajibu siitaki ikawa kama nimewaambia wasinihudumie, hii imenishangaza kwa kweli...
Taasisi hii ilianzishwa kwa lengo la kupambana na rushwa, na pia taasisi hii haikuanzishwa kwa lengo la kukamata wala Rushwa wadogo Pekee bali walaji wa aina zote wa rushwa.
Mara nyingi sana tumekuwa tukisikia viongozi wakiwaamrisha maafisa wa Takukuru "kamata yule weka ndani" lakini wengi...
Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na TEMESA ili kupunguza changamoto za ukosefu wa fedha kwa Mashirika hayo.
"Nampongeza Mheshimiwa Rais...
UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI
Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
Utangulizi: Ukifuatilia kwa umakini zaidi kuhusu Maendeleo ya Nchi nyingi zilizoendelea hapa Africa, America na hata Ulaya, Utagundua kabisa kuwa mambo mengi au vitu vingi ukiacha miundo mbinu iliyofanywa na serikali!, Vingi pia vya kuvutiaKama Hoteli kubwa, Shule, Viwanda Nk. vimefanywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.