taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  2. Clark boots

    Mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine kupitia ESS naomba msaada wenu

    Naombeni mnifahamishe utaratibu mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine hapa inakuwaje.. Naona inakuja option ya kuchagua mikoa badala ya kuja orodha ya taasisi then nichague taasisi ninayoitaka/ninayoitaka kuhamia. Hapa panakuwaje wakuu..?
  3. Roving Journalist

    Majaliwa: Taasisi za serikali zinazodaiwa na TEMESA kukiona

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Lazaro Kilahala, kuwasilisha Ofisini kwake orodha ya Taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na Wakala huo ili aweze kuwaandikia baraua ya kusisitiza kulipa madeni yao. Agizo hilo amelitoa leo, Agosti 20...
  4. DodomaTZ

    Taasisi zatoa elimu ya utekelezaji wa Sera ya Nishati ya Mwaka 2015 kwenye Tamasha la Kizimkazi

    Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye Kijiji cha Kizimkazi, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Kisiwani Zanzibar. Katika tamasha hilo la Kizimkazi Wizara na taasisi zinatoa elimu ya...
  5. Dr Matola PhD

    Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

    Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami. Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
  6. Stephano Mgendanyi

    Juhudi za Serikali Zawezesha Wachimbaji Wadogo wa Madini Kuaminika na Taasisi za Fedha

    JUHUDI ZA SERIKALI ZAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO KUAMINIKA NA TAASISI ZA FEDHA ● Kiasi cha Shilingi Bilioni 10 zakopeshwa kwa wachimbaji wadogo kutoka CRDB ● Ni mkopo wa Mtaji,manunuzi ya mitambo na utoaji huduma migodini - Waziri Mavunde aipongeza Benki ya CRDB kwa kuinua sekta ya madini -...
  7. Zed

    Taasisi ya Jeshi la Polisi Iundwe Upya!

    Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua...
  8. GenuineMan

    Tutaje Kampuni, Taasisi, au Mabosi ambao Wanajali Wafanyakazi

    Kuna uzi humu unaongelea makampuni ambayo hayajari wafanyakazi wake., wengine wananyanyasa kabisa wafanykazi. Upande mwingine kuna makampuni au Taasisi ambazo zinajari wafanyakazi au waajiriwa, nao wanastahiri kutambuliwa na kupewa pongezi hapa JF. Mimi naanza na Boss wa Tronic, kampuni ya...
  9. Roving Journalist

    APHFTA: Tumesikitishwa na Aga Khan kusitisha huduma ya NHIF, Taasisi nyingi za Afya zinaweza kusitisha pia

    Wiki iliyopita Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam inayomilikiwa na Taasisi ya Aga Khan ilitangaza kusitisha mkataba kati yake na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika Vituo 11 kati ya 24 vinavyomilikiwa na Taasisi hiyo Nchini ikiwemo Hospitali ya Aga Khan Dar kwa sababu ya changamoto za...
  10. Jack Daniel

    Biashara ya duka na vitimbwi vya taasisi

    Ni tarehe 12 mwezi wa nane, Je una duka la vifaa vya ujenzi? Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi? Vipi ulilipwa kwa wakati? Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje? Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu...
  11. M

    Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

    https://youtu.be/wwNSR3I_daQ?t=157 Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al- Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 100 ambao wapo tayari kuoa.
  12. G

    Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

    Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? " kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
  13. Roving Journalist

    Mkurugenzi: Majengo ya Kituo cha Afya yaliyotelekezwa Mkuranga sio yetu, iulizwe taasisi iliyohusika

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi wanalazimika kwenda umbali wa Kilometa 7 kupata huduma ya afya, ufafanuzi umetolewa. Kusoma hoja ya Mdau...
  14. BARD AI

    Rais Ruto asaini Mpango wa Kupunguza Fedha kwenye Bajeti za baadhi ya Taasisi

    Rais William Ruto ameidhinisha Muswada wa Matumizi ya Ziada na Mpango wa Kupunguza Matumizi ya takriaban Tsh. Trilioni 3.02 (Ksh. Bilioni 145) katika Bajeti iliyotengwa kwaajili ya Serikali. Bajeti za Wizara zitapunguzwa kwa Tsh. Trilioni 2.90, Bunge Tsh. Bil. 77.27, Mahakama Tsh. Bil. 43.86...
  15. Yoda

    Kwanini Taasisi ya LHRC imepotea sana kwenye ramani?

    Hii taasisi ya Legal and Human Rights Centre (LHRC) ilikuwa maarufu sana enzi ikiwa chini ya Helen Kijo-Bisimba lakini tangu aondoke ni kama haisikiki tena kwenye mambo makubwa na mazito ya kitaifa, mara ya mwisho niliwasikia wanampa karipio Oscar Oscar wa Kaliua kuhusiana na memes zake...
  16. Yoda

    Taasisi za wanawake Iran washinikiza wanawake wawili wanaharakati wasinyongwe

    Taasisi za utetezi wanawake nchini Iran zinashinikiza utawala wa nchi hiyo kutowanyonga wanawake wawili wafungwa wa kisiasa waliopewa hukumu ya kifo hivi karibuni.
  17. stabilityman

    Ili uwe salama chukua dada wa kazi kwenye Taasisi zinazohusika na wadada wa kazi

    Kuna taasisi zinahusu wadada wa kazi hivyo chukua kule.ukipata shida wanafatilia mpaka kwao
  18. BLACK MOVEMENT

    Simba na Yanga ni taasisi ,Wawekezaji wanaweza vuna pesa za kutosha kwa sababu ya Ujinga wa wanachama na mashabiki.

    Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu...
  19. realMamy

    “Njoo Kesho” kwenye Taasisi za umma ni Kidonda Ndugu

    Ifike mahali hiki kitu kikomeshwe mara moja. Baadhi ya watumishi kwenye Taasisi za umma ni kero na hawana adabu hata kidogo. Kuna baadhi ya Taasisi za umma ziko maeneo ya Mkoani au mjini kabisa mtu anatoka zake madongo kuinama anatumia nauli kubwa anafika hapo ili ahudumiwe lakini cha achabu...
  20. SAYVILLE

    Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kuidharau na kuidhihaki Mahakama ya Tanzania kiasi hiki

    Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki, kuidharau wala kuitukana. Kwa hiki kinachoendelea siku hizi mbili na kauli za viongozi wa Yanga akiwemo...
Back
Top Bottom