tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

    Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋. Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
  2. D

    Umri wako ni tabia yako! Hivi ndivyo ilivyo jifunze tabia 14

    Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti 1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa 2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani 3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi na matamanio (haudumu) 4.miaka 18~25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa...
  3. Tabia za Uzandiki, Unafiki,Umasikini,na Roho za kwanini za Watanzania

    Hii nchi imejaa majitu ya ajabu sana, majitu yenye roho za kwa nini,machawi,yenye wivu,husda na kuombea wengine mabaya Pumbavu kabisa, Kuna mapumbavu ,linaweza likaenda hotel,bar au sehemu limealikwa au limetolewa out kwa uzuri tu,Ila likafika sehemu husika vizuri tu,kwanza likashangaa...
  4. Mdomo wa Adam Mchomvu, tabia na mwenendo wake

  5. Madam zangu muige Tabia za mke wa Deepond

    Hapana Shaka yoyote wengi wetu humu ndani tunajua harakati za DeepPond na mama j, ni mastory ambayo Yana vituko na burudani na mafunzo ndani yake, binafsi huwa sikosi kumsoma huyu mwamba. Lakini wote tunakubaliana humu jukwaani kwamba Hakika kama mkewe angekuwa mtu WA kufuatilia Simu ya mumewe...
  6. Hii Tabia siipendi, unapanda kwenye daladala mwanamke anagandisha makalio kwenye mkwaju

    Hii Hali imenipata mara kadhaa. Hizi daladala za bongo mnajaa wanaume na wanawake na wamama walivyo na maeneo laini yaani unahisi kabisa kitu laini kinakugusa. Hii hali siipendi basi tu. Mola akinijaalia kauwezo nipate kausafiri niachane hii adha. Wanamama Muda mwingine hudhan tunapenda...
  7. Japo leo ni siku yenu, sindano zangu hizi ziwaingie ili mbadilike kwa tabia zinazotuchosha wanaume

    1. Uvivu kitandani (kubaiolojika). 2. Uchafu hasa ule wa kutupa hovyo na kiholela taulo zenu za kike mitaani na uvivu wa kunyoa mapori yenu ya Kibaiolojia. 3. Kuibiana waume/mabwana kimakusudi. 4. Kuwa na VICOBA (mikopo) zaidi ya mmoja ila maendeleo sifuri. 5. Usiri wa maendeleo yako...
  8. Wanawake acheni hii tabia mara moja

    Morng guys Hua sijawai kuwaelewa wanawake ambao wanaenda pub kama vile juliana ana agiza serengeti lite moja kuanzia saa nne mpaka saa tano huwa mnatafuta nini? Ninyi ni omba omba pauperism kwa kiingereza. Ila pongezi kwenu wanawake ambao mkifika mnajaza savana kwenye meza ninyi pesa sio shida...
  9. Serikali itoe tamko la kulaani tabia mbaya

    Dunia inaendelea kupiga hatua za kimaendeleo ikichagizwa na ukuwaji wa sayansi na teknolojia, ukuwaji huu unaenda sambamba na kuongezeka kwa tabia au mfumo mbaya ambao unaenda kuvunja na kuharibu kabisa tamaduni za Afrika lakini pia hata sheria za dini tofauti. Maendeleo haya ya teknolojia bado...
  10. Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

    I hope y'all are doing just fine, and so Do I. Straight kwenye mada... #1: 4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa akiugua ugua ila alitoa taarifa kwenye uongozi wake wa Choir, back then nami nilipenda kushiriki...
  11. Tabia yake ilimponza akaharibu meeting

    Habari za muda huu wakuu? Ninaimani mnaendelea poa, lakini poleni kwa wale mnaokabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo 'Kiafya' na nina imani mtarejea katika utimamu. Wakuu, katika kuhakikisha tunapashana na kupeana yale yanayoweza kutuongezea elimu na kutusogeza mbele, leo nashuka na uzi huu...
  12. Ukiona una tabia hizi basi jua unaanza kuzeeka

    Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda: 👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa 👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa? 👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila...
  13. Kumkamata Aliyepiga picha watoto wakiwa chini ni kumuonea, zipo shule nyingi watoto wanakaa chini

    Kufuatia sakata la picha liyopigwa ikionesha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sinde wakiwa wamekaa wakisoma chini bila madawati na Serikali ikionekana kung'aka kwa kumuweka ndani anayesemekana kupiga picha hiyo ni sawa na mbuni kujifunika kichwa huku mwili ukiwa nje na akidhani kajificha. Soma...
  14. Sifa na Tabia za Mtu Mvivu Pamoja na Changamoto Zake. Mvivu ni Sawa na Mchezaji Aliyechoka Kufunga Goli Wakati Golikipa Hayupo

    Sifa na Tabia za Mtu Mvivu Pamoja na Changamoto Zake: Endapo mtu ni mvivu lakini ni mwenye afya, nguvu, hana ulemavu wowote wala matatizo ya kiakili mara nyingi huwa na sifa na tabia bainishwa zifuatazo: 1. Mtu mvivu hupenda kulala na huthamini usingizi kuliko kujituma: Mvivu yeyote hutumia...
  15. M

    Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

    Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
  16. U

    Tabia 6 za buibui zinazotofautisha kati ya maskini mchapakazi na tajiri mchapakazi

    1. Uwezo wa kukamata wadudu au fedha. Maskini na watu wapambanaji huwekeza muda wao wa kazi kuzipata fedha wakati tajiri huwekeza muda huo huo wa kazi kujenga mali itakayomsaidia kutengeneza fedha kwa ajili yao. Kivipi? Buibui hufanya kazi kubwa kutengeneza utando utakaomsaidia kudaka wadudu...
  17. Ukisikia taarifa za tabia za mwanao kutoka kwa watoto wenzake au majirani zako usipuuze wala usiziamini papo hapo

    Katika malezi ya watoto si kila wakati wote awe mkubwa au mdogo kuna wakati watoto wanafanya mambo wakiwa mbali na wazazi wao na huficha yasijulikane nyumbani. Ukisikia lawama juu ya mtoto wako au kuwa anatabia ya aina fulani ambayo wewe huijui usikimbilie kumuadhibu/ kumuonya au kumtetea...
  18. Zijue tabia za Kanisani

    Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine? Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na...
  19. Hii tabia ya watangazaji wa mechi Azam TV na kutumia Neno "Madhambi" mmeitoa wapi?

    Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa mara kutoka kwa mtangazaji Gharib Mzinga kwa namna anavyopenda kutumia neno "madhambi" kwenye...
  20. Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

    Kwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo? Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya. Mabinti wengi wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…