Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.
Naomba wahenga na wadau wa masuala ya jinsia na mshikamano kwenye jamii mtusaidie, hii tabia inayokuwa Kwa kasi ya wadada/ wanawake kutosalimia mzizi wake ni nini.
Binadamu Hazina yake kubwa ni utashi wa kusalimiana. Kusalimia sio kutongozwa, na haimanishi ndio unajenga masndalizi ya...
Habari.
Bila kupoteza muda ndg wanajamvi kwa masikitiko makubwa naandika kwanini serikali inalea baadhi ya watumishi wa afya wa kiume waliyopo kwenye kitengo cha upimaji wajawazito.
Kule wilayani Ludewa mkoa wa Njombe kuna kijana namfahamu kwa jina moja Imma au jina la utani Mapulupulu...
Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni
Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi...
Mtanzania ukimpa sababu, umemaliza, ataitumia sababu hiyo kila sehemu. Ukizungumzia umasikini wa bongo watasema ni kwa sababu ya ukoloni ambao umeisha miaka 60 iliyopita lakini bado hakuna hatua serious. Kwa sasa dunia ipo kwenye agenda ya Mabadiliko ya Tabia nchi, na Tanzania imeichukua suala...
Naandika uzi huu kwa kumuunga mkono mtangazaji mkongwe (mstaafu) ndugu Leonard Mambo Mbotela aliyekuwa akitangazia Voice of Kenya (VoK) na baadaye Kenya Broadcasting Corporation (KBC) katika kipindi maarufu kilichovuma wakati huo kwa jina la “Je huu ni uungwana?” Katika kipindi hicho, Leonard...
"Hivyo wewe mwanadamu, utoapo hukumu juu yao na bado unafanya mambo yale yale, unadhani utaepuka hukumu ya Mungu?" Warumi 2:3 NEN.
Wapo watu hupenda kusema usiangalie tabia yangu bali zingatia ninachokuambia au ninachokuhubiri au ninachokufundisha.
Hatujui kuwa watu hujifunza zaidi kwa matendo...
sizungumzii wale waliokaza mafuvu wanafanya tabia kwa kujielewa na walishakataa ushauri, hapa ni wale ambao tabia wanazofanya zinakera wengine ila hawana hatia kamili kwenye tabia zao aidha wao hawajui kwamba wanachofanya ni tabia mbaya, wameishi na watu au sehem flan kwa mda mrefu iliyowafanya...
Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo kubwa katika jamii, hivyo ni muhimu kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya kujikinga na ugonjwa huo.
Ni muhimu kuhimiza watu kuchukua tahadhari kwa wale ambao hawajaambukizwa na wale waliokuwa na maambukizi kuzikubali hali zao na kufuata masharti yanayotolewa...
Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa!
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko superior au less superior to the opposite sex, bali sote tunategemeana katika kuyaishi maisha haya...
1. Mommy Types
Ni aina ya wasichana au wanawake ambao huonyesha tabia ya umama. Hupenda kujali kupita kiasi. Mfano katika mahusiano usipomtumia ujumbe wa kufika sehemu uliyomwambia unaenda tarajia kupokea simu zisizopungua 10.
2. The Listener
Ni aina ya wasichana au wanawake inayopendwa na...
Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo.
Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk!
Binafsi kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nimeona mabadiliko makubwa ya tabia nchi tofauti na kipindi...
1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k.
2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji, uporaji lakini pia ushenzi.
3. Mwananyamala kisiwani kwa kopa.
4. Mburahati madoto hadi festini...
Moja kwa moja.
Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea.
Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia.
Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri ili kupata kura za wajumbe.
Amesema kazi ya kupambana na rushwa ni ya kila mmoja na rushwa ipo...
Wabongo ni watu waajabu sana, tuna viimani vya kipumbavu sana, sijui tumetoa wapi tabia zisizo na maana yeyote.
Hii tabia ya kukata hela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote,
Kila pesa nayoishikilia iwe jero, buku, kaki hata msimbazi hukosi kukuta...
Wabongo ni watu waajabu sana,tunaviimani vya kipumbavu sana,sijui tumetoa wapi tabia zisizonamaana yeyote.
Hii tabia ya kukata ela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote,
Kila pesa nayoishikilia iwe jero,buku,kaki hata msimbazi ukosi kukuta haijakatwa pembeni...
Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford.
Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu.
Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.